Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Putin kasema akiba ya silaha anayotumia kwa sasa ni ya babu yake.bado ya baba na yake
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
emoji635.png
Kaka watu wanashidwa KUELEWA kwamba baada ya Soviet kuanguka, URUSI nazikusanya siraha nyingi sana karibu zote kutoka kwa washirika WAKE na anapeleka kwake. Na kipindi kile USSR ndie alikuwa mtengenezaji mkubwa na siraha DUNIA, kwa washirika WAKE zilibaki siraha chache sana.
Rusia kuishiwa siraha sio rahisi ANAHITAJI wapigane mda mrefu sana tena sana. Na vita vikubwa.
 
Huyo marekani na NATO ni vita gani alishawahi kushinda kwa siku tano!?
Russia ndani ya siku tano yuko mji mkuu na hao NATO wanamuomba kumtorosha huyo raisi,
Nani ambaye hatumii sense?
Russia hawajaenda kuteka kitu kule na hakuna cha kuteka utaona kilichowapeleka wakimaliza.
Hizo siku tano zinaenda miaka miwili huku super pawer akiangaika na tumji twa mpakani huko[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin kasema akiba ya silaha anayotumia kwa sasa ni ya babu yake.bado ya baba na yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Aandae hata akiba ya Babu wa Babu yake..,hii vita imetengewa bajeti ya miaka 5 na kuendelea shekhe

Mtakufwa vibaya nyieeeee !!

President Vladimir Putin’s defence minister has pledged to build a deeper arsenal of weapons, bolster aviation technology to better evade air defences and improve drone production after a series of battlefield humiliations in Ukraine.
AP23010422021569.jpg
 
Back
Top Bottom