Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji1258] Nikolai patrushev,katibu wa baraza la usalama ambaye ni mtu wa karibu wa rais Putin anasema kwamba, kwa Sasa urusi haipigani tu na Ukraine Bali inapambana na NATO - SASa sijui wanasubiri nini kuwashughulikia hao NATO walioingilia operation Yao ya kijeshi ya kuwaondoa wanazimamboleo kama walivyoahidi[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo wewe ndo mwandani wa Putin au sio???

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mwandani wake ni yule anayebishana na alichokisema hadharani afisa wake.

During a visit to southern Ukraine’s Russian-occupied Kherson region in early May, Russian Senator Andrei Turchak declared that the current Russian presence in the region would be permanent. “Russia is here forever,” he stated. “There should be no doubt about this. There will be no return to the past.”
 
Mwandani wake ni yule anayebishana na alichokisema hadharani afisa wake.

During a visit to southern Ukraine’s Russian-occupied Kherson region in early May, Russian Senator Andrei Turchak declared that the current Russian presence in the region would be permanent. “Russia is here forever,” he stated. “There should be no doubt about this. There will be no return to the past.”
Kwani wameshaondoka Kherson?
 
Ngoja nikuambie dogo ..mnamo mwaka 1989 (pengine ulikuwa hujazaliwa) kulikuwa na vuguvugu la maandamano ya wanafunzi pale beijing wakipinga mamlaka ...Waliokuwa msitari wa mbele ni wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu. Basi bwana waanfunzi wale wakajazana pale kwenye uwanja maarufu beijing na china nzima ujulikanao kama Tiananmen Square. Dola ya China ikatoa ultimatum kwa wanafunzi hao kuwa waondoke pale uwanjani. Wanafunzi wale wakapuuza. Dola ya China ikapeleka vifaru, lakini kwa kejeli kubwa wanafunzi wale kwa maelfu wakawa wanawakejeli askari wale kwenye vifaru ambao walikaa tuli wakisubiri amri. Vijana wale wengine wakadiriki hata kupanda juu ya vifaru na kuwakejeli askari...Wanafunzi kwa maelfu wakawa wanashinikizwa na nyimbo wakidai ni za kimapinduzi...ikumbukwe huko ulaya Mashariki dola kadhaa za kikomunisti zilikuwa zimeanguka tayari...Huko Soviet Union alikuwepo Mikhail Gorbachev na glasnost na perestroika yake. kwa China alikuwepo kiongozi wa kikomunsti Huo Yaobang ambaye inadaiwa alikuwa mwanamageuzi lakini akafa ghafla na ikawa chanzo cha wanafunzi kwa maelfu kuandamana wakishinikiza reforms.
China ikatoa ultmatum tena kwa wanafunzi hao waondoke lakini wakakaidi. basi bwana usiku mmoja ukaingia na wanafunzi wakaendelea na vitimbwi vyao. Asubuhi moja watu wakaamka lakini wasiwaone maelfu ya wanafunzi pale uwanjani. Dunia ikashangaa na wengine na hasa USA na West wakahamaki. Vifaru usiku ule vilifanya kazi yao. Lakini hakuna hata tone la damu lilionekana uwanjani pale. Na wala hakuna hata picha moja iliyopigwa kudhihirisha 'mauaji' yale ya kutisha. inadaiwa wanafunzi wale waliokuwepo uwanjani pale walikanyagwa kanyagwa kama udongo. inadaiwa usiku ule ule uwanja ukasafishwa hata tone la damu hakuna. Na wala ushahidi haupo. Mawasiliano yote ndani ya China yalikuwa jammed. Hata satellites za kibeberu hazikuweza kupiga picha hata moja.
Huo ukawa mwanzo na mwisho wa vuguvugu la kinachoitwa reforms huko China. Communist Party ikaendelea kushika dola mpaka leo. Kale kanafunzi kalikokuwa kanaongoza maandamano hayo kakaenda Marekani baadaye. Inasemekana hakukuwepo uwanjani wakati wa tukio, kalikuwa kamejificha mahali huku kakiwachagiza wenzake waendelee na maandamano.
Nimeipata mkuu
1374461.0.jpg
 
[emoji1255] Russia at risk of becoming a failed state - financial times.
Yaliyotokea huko GANA soon yanajirudia urusi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lala kijana mwezi wa6 mlisema Russia kashindwa kulipa madeni kwaiyo kafilisika nashangaa had I leoo hii kauli haijajirudia
 
Umezungumza Kama mshauri wa Biden pale White House...the same old lies...Don't you know kwamba Ukraine ilikuwa pia inahifadhi silaha za nyuklia za iliyokuwa USSR?! Don't you know Ukraine imekuwa ikijilaumu kwa kuzikabidhi silaha hizo kwa Russia na kwamba hivi Sasa inajilaumu kwa kufanya hivyo?! Don't you know kuwa Ukraine ilikuwa mbioni kuenrich kisirisiri vinu vya nyuklia kwa maana ile mitambo ya umeme ya nyuklia ili kutengeneza silaha za nyuklia?! Unadhani kwanini miongoni mwa objectives za Russia kwenye hii SMO ilikuwa ni kuteka mitambo ya umeme ya nyuklia?! Pamoja na Ukraine kuwa na silaha za nyuklia wakati wa kuvunjika Soviet Union nchi hiyo pia ilikuwa ni kituo mojawapo Cha bombers za TU-160 ambazo hawakuzirudisha zote kwa Russia ..Hao wapumbavu wa Ukraine walizikabidhi baadhi ya bombers hizo Marekani ili kufanyia analysis ya technology...Lakini Hao USA pamoja na kuzivunjavunja bombers hizo kuwa vipande vidogo vidogo inaelekea Wamarekani walishindwa kupata walichohitaji....TU-160 ambazo Sasa zimekuwa modernized zimeendelea kuwa tishio kwa NATO nzima....
Nyie pro-NATO msituletee upuuzi wenu humu mkidhani watu hawajui what is going on.......mnapiga kelele Sana humu as if NATO ndiyo Kila kitu....Wapuuzi Fulani huwa wanazungumzia hata ile convoy iliyokuwa imejipanga Kama inaelekea Kiev kuwa eti ilikuwa wiped off na Ukraine....yaani Wapuuzi wachache wa JF ndio wanaodai na kuuliza kwa kejeli kuwa ule msafara wa Russia uko wapi? Lakini NATO na west pamoja na propaganda zao hawajawahi kuzungumzia msafara huo kuwa uliteketezwa...msafara ule ulirudi Belarus ....ila Sasa inaelekea for real front nyingine inaanzishwa huko mpakani mwa Belarus na Ukraine ambako majeshi ya Russia na Belarus yamejipanga kuingia Ukraine na kusonga mbele for real Hadi Kiev...Tayari imeshatangazwa kuwa kutakuwa na mazoezi ya kijeshi yanayohusisha Russia na Belarus katika eneo hilo kuanzia siku chache zijazo...zaidi ya Askari 70,000 wa Belarus watahusishwa huku Russia ikiwa idadi haijawekwa wazi...Tusubiri tuone Kama kweli hayo ni mazoezi au ndiyo game ya kumaliza sakata hili..
Halafu nyie watu acheni kuimba nyimbo za West bila kuelewa...Kila Mara kwenye maandishi utaona Putin, Putin, Putin etc...you are personalizing the conflict ionekane kuwa tatizo ni Putin na siyo Russia.....For your information huko Russia Kuna Hawks kuliko huyo Putin ambaye baadhi ya warusi wanamuona ni mpole mno...
We ndo mpumbavu kwa kudhani kuwa ili kutengeneza nyuklia Ukraine ina hitaji kuvuna kwenye vinu vya vyuklia.kam ni hivyo Iran ingekuw nyuklia tayali kwan wanavinu vya kuzalishia umeme.mmoja sababu kuvunjika kwa soviet union kukosekan fund we kwa akili yako mgando ulitegemea Ukraine itoe pesa wap?kama Russia yenyewe ilikuwa inapokea fund kutoka U.S ili kumaintain Nyuklia freet.Ukraine ulitaka wafanyaje ?
 
We ndo mpumbavu kwa kudhani kuwa ili kutengeneza nyuklia Ukraine ina hitaji kuvuna kwenye vinu vya vyuklia.kam ni hivyo Iran ingekuw nyuklia tayali kwan wanavinu vya kuzalishia umeme.mmoja sababu kuvunjika kwa soviet union kukosekan fund we kwa akili yako mgando ulitegemea Ukraine itoe pesa wap?kama Russia yenyewe ilikuwa inapokea fund kutoka U.S ili kumaintain Nyuklia freet.Ukraine ulitaka wafanyaje ?
Ahaaa sawa....Mimi mpumbavu...Safi...wewe endelea na hoja hizo...pengine ipo siku utapata ustaarabu wa lugha...inaelekea hujui kwanini Iran bado haijaenrich uranium...pitty...
 
Kwa taarifa yako, just for your information, hii ni kwa Elimu tu

Kuna Hypersonic Boost Glide Vehicles and scramjet based, Russia wanatumia HBGV which is technically a modified Iskander missile, also soma Avangard.

Hivi za Russia na China ni deterrent weapons tu, kuonesha they can strike with Nuclear very fast.

All Russia, China na USA wanafanya researchers za Scramjet and there is no any country ina Hypersonic missiles zinazotumia Scramjet zilizo operational.

Umeongea mengi kwenye hicho unachokiita 'elimu tu' ila hujajibu hoja nilizokua nataka ujibu.

Tuanze taratibu

Swali; Russia ana hypersonic missiles au hana?

Swali; elezea jinsi gani ICBM inawekwa kwenye ndege na kugeuka kuwa hypersonic missile?

Umegusia iskander kuwa modified, take note iskander ni short range ballistic missile sio ICBM
20230110_173039.jpg
 
Back
Top Bottom