Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,077
- 4,525
Context.Kwa hiyo unataka kusema hypersonic missiles ni nadharia tu lkn kwenye uhalisia haiwezekani!?
Hebu funguka kdg mkuu ututoe tongotongo
First thing first ICBM zote zinatembea kwa Speed ya Hypersonic but they can not maneuver kama cruise missiles so it is possible to detect their trajectory.
Kwa sasa kuna aina mbili za hypersonic cruise missile ambazo zinameet criteria ya hapo juu (Hard to intercept) ambazo ni hypersonic boost-glide weapons, and scramjet-powered hypersonic cruise missiles. China na Russia wao wanasema zao zinatumia HBGV
Hypersonic Boost Glide Vehicles hizi hazina kabisa tofauti na Warheads za kawaida zilizoweka kwenye ICBM katika hatua za mwanzo za kuruka kwake, hizi zenyewe inabidi zibebwe na ndege vita into very high atmosphere ili zipate high velocity (inaweza fika hadi mach 20), In theory ukiichukua iskander ukaboost velocity yake inakuwa hypersonic.
1. Maintaining high temperature due to kinetic energy
Hili Cruise Hypersonic Missiles ziwe na maneuverability kama cruise zilizopo zinahitaji extra components ndani yake kuwezesha hili, but due to high Kinetic Energy they move with, inasababisha thermal energy (heat) kwenye kwenye air molecules around the glide vehicle, hii heat inatosha kabisa kuharibu surface ya missile na components za ndani, ili kusolve hili inahitaji very resistant material to heat (hii ni expensive and we don't have cheap technology yet).
2. Hypersonic Missile hazifanyi kitu ambacho missile za kawaida haziwezi.
Hapa ni swala la cost na efficiency.
Hata kama S-300 ikiwa ni good interceptor utahitaji kurusha makombora mengi kuliko inayoweza kuzuia kwa pamoja, mfano 100/10
In this case unaweza kutumia cruise missile 100 badala ya hypersonic ambayo cost yake moja inaweza ikawa ni zaidi ya cruise missile mia, ndio maana Russia alitumia akaacha.
3. Not all hypersonic missile provide advantage they claim to.
Mfano Hypersonic missile inayobeba Nuclear, imagine unazo ICBM ambazo haziwezi kuzuiliwa bado unataka tena uzibebe kwenye Hypersonic missile.