Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.
Hii hapa Mil-24 Hind helicopter Marekani ilichukua Chad baada ya vikosi vya Muamar Ghaddafi kuvamia na kupigwa uko miaka ya 1970s, iliyobeba ni Chinook ya MarekaniView attachment 2472293

Huyu Victor Berenko alipangwa na CIA akatimua mbio hadi Japan kisha Wamarekani wakaenda uko kusoma ile ndege Warusi walikuwa wanatisha nayo kumbe kubwa jinga, after this incident ndio Warusi wakalazimika kuunda interceptor nyingine Mig-31 FoxhoundView attachment 2472294

Huyu alitorokea Uturuki na jetView attachment 2472295

Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
AFU MKUU, HIZO EQUIPMENT WANAENDA KUTEST TUU KAMA ZITAFANYA KAZI.
MAANA HAZIJAFANYA KAZI SEHEMU YOYOTE KWA HIO UKRAINE WANAENDA KUFANYA MAJARIBIO HUKO. NA MOTO UTAWAKA KWELI KWELI NA SINA UHAKIKA KAMA VITATOSHA.
MAANA UKRAINE NI NCHI KUBWA SANA. DAA.
 
Inaonesha kuna mtu kapigwa sana
Ujue kilichotokea ni kwamba baada ya Putin kutangaza Ile ceasefire ya masaa 36,baadhi ya wanajeshi wa Ukraine mfano hapo Bakhmut wakarelax wakijua kutakua na mapumziko[emoji23]. Kumbe ilikua ni kamtego,Wagner wakaanza kuvurumisha mizinga kwa Kasi wakasonga mbele na kuingia kusini mwa Soledar. Ukraine baada ya kuona Kasi ya Wagner wakaanza counter attacks Jana usiku ndio hiyo unaona mpk Leo wamerudisha hako Ka factory but Wagner wamesonga mbele kidogo na mapigano makali bado yanaendelea.

Ila Ukraine nao,Yani wakarelax kabisa na kumuamini Putin[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Axel Lloyd
Mkuu ndio hiyo hiyo video ya vice news nenda dakika ya 02:00 mpaka 03:00 utaona vifaa vilvyokamatwa na waasi wa donbass tena ilikuwa radar na communication system.
20230107_212821.jpg
20230107_212825.jpg
20230107_212828.jpg
 
Axel Lloyd
Mkuu ndio hiyo hiyo video ya vice news nenda dakika ya 02:00 mpaka 03:00 utaona vifaa vilvyokamatwa na waasi wa donbass tena ilikuwa radar na communication system.
View attachment 2472353View attachment 2472354View attachment 2472355

Mkuu nimekuomba lethal weapons ambazo Marekani ilipeleka Ukraine kabla ya tishio la hii Vita mpaka sasa hujanipa!!!!

Hizo radar na communication systems sidhani kama zinafit kwenye category ya offensive weapons.
 
MAANA NAONA WATU WANAHASIRA NA URUSI KAMA NINI , SIJUI AMEWAFANYA NINI [emoji28][emoji28][emoji28] , NCHI MOJA INAPINGWA NA NCHI KIBAO. KAMA 30
[emoji38][emoji38][emoji38] DAAA NATO BWANA NA USA WAO BWANA.
Marekani ni muungano wa nchi 54(states)+ 30 za nato.

Urusi dume kwlikweli. Inapiga nchi 80+
 
Huu mji wa Bakhmut watamaliza mwaka mzima wanapigana sehemu moja tu

[emoji298]️Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii Mysiahin.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] soledar gani iyo
 
Ilifikia hatua Urusi iliomba kuwa mwachama wa Nato ili wawe kitu kimoja kitu ambacho kingemaliza uadui kati ya pande hizo ,lakini Marekani alikataa maana alijua Ulaya ikipatana na Urusi basi soko lake la silaha litakuwa limekufa rasimi maana ana tegemea kuitumia Urusi kuitisha Ulaya ili wanunue silaha zake
Duh!..
 
Back
Top Bottom