Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
Nadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.

By the way umeona hiyo Sea based sea sparrow ant aircraft missile system, Ukraine si hawana Navy....itatumika kwenye nini au ndo washafanya modification za launchers iweze kurushwa nchi kavu!?
 
Asiye na akili ndo anaweza kusema hivyo Hilo halitatokea.hivi unajua marekani ameshazihamisha maabara zake zilizopo ukraine.kashaziondoa.marekani Hana ubavu wa kuweka base Ukraine.
Source malkauli kutoka Moscow.
 
Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
Marekani na washirika wake, wamekuwa wakitoa vifaa kulingana na hatua ya vita na changamoto ya wakati huo, nimeona mahali wachambuzi wa vita wanasema haya magari vita ni mazuri sana kwenye trenches warfare ambayo ndio vita iko sasa
 
Nadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.

By the way umeona hiyo Sea based sea sparrow ant aircraft missile system, Ukraine si hawana Navy....itatumika kwenye nini au ndo washafanya modification za launchers iweze kurushwa nchi kavu!?
Taiwan pekee ndio yenye land based launchers ila sidhani kama inaweza toa hizo. Sijajua Sea Sparrow watazitumia kwenye platform gani labda washapanga modification iweje si unakumbuka zile anti ship missiles walizomodify ziwe launched kutoka kwenye flatbed ya semi truck
 
Marekani na washirika wake, wamekuwa wakitoa vifaa kulingana na hatua ya vita na changamoto ya wakati huo, nimeona mahali wachambuzi wa vita wanasema haya magari vita ni mazuri sana kwenye trenches warfare ambayo ndio vita iko sasa
Ujerumani ndio inasitasita. Sasa Poland inaangalia uwezekano wa kutuma Leopard version ya zamani ila nadhani kwenye contract mpaka Ujerumani ikubali. Kwa kawaida Wajerumani wanasita kwanza, Marekani ikipeleka silaha fulani nao wanatuma.

Italy huyu mwanamama naye hayuko mbali tofauti na alivyotarajiwa.
 
Kichapo kinachotembea UKRAINE tuombe mungu tu. Ila Urusi ameamua kuingia mazima maana walisimamisha mashambulizi kwa sababu ya mazungumzo na UKRAINE hawakutokea. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846] hiki kichapo ni mwamuzi ni MUNGU tu.
Nadhani kipindi hicho pro Russia wengi mlikuwa katika Hali ya kubalehe, maana mlikuwa na mihemko mno,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kuna swali nimeuliza. Mtu anayepigwa na anayejua kua soon atamaliziwa halafu anayempiga anampa nafasi asimmalizie ila haitaki hiyo nafasi anataka kuendelea kupigana anakuwa anataka nini?
Nadhani mpaka Sasa utakuwa umeshapata majibu ya hili swali,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Urusi na team yao huku namtumbo hawaamini wanachokiona, walitegemea itakua nyepesi tu siku moja wamemkamata rais vita imeisha, wapi hahahaa wanaume wamesimama tambo za bure yani Ukraine anakuweka siku 4 unapambana tu halafu mnasema super power.
Wewe ulishangaa urusi kuchukua,siku 4 bado anapigana na Ukraine?? Unaelekea mwaka Sasa..,na dalili zilizopo ataenda Hadi miaka 5

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom