Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Nani alisema Kiev inatekwa Siku 3?Vip ile speed ya Russia kuiteka kievi kwa siku tatu? Saiv ile military operation Putin anaita Vita [emoji14][emoji14]
Nani alisema Kiev inatekwa Siku 3?Vip ile speed ya Russia kuiteka kievi kwa siku tatu? Saiv ile military operation Putin anaita Vita [emoji14][emoji14]
Hiyo ni kweli kabisa hakuna aliyeingilia,kwani mpaka Sasa Putin anahenyeshwa na Ukraine tu!
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
southfront.org
Kwani nyie operation yenu ya kukomboa Bakhmut tangu mwezi May imeishia wapi?!Ivi ile operation yenu ya kukomboa Stavote na Kremina ilishiaga wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Usikariri maisha mkuu dunia kwenye mambo ya medani imebadilika sana ilipofika unapigwa na anayekupiga kajipumzikia nyumbani tu,Hizo ndege unazozizunguza kwa huwa zinarusha kitu gani ili kulata uharibibu au kifo na hayo ma iskandar,kalibr,tomahowk,scud,kh101 n.k kazi yake ni nini?
Umeongelea vifaru narudia tena dunia imebadilika teknolojia ya kifaru imepata tiba kukiua ndio maana dunia imehamia urushaji wa mokombora kutokea mbali
kifaru muhimu kwa zetu wenzetu walipofika wanahamia nuklia ndio mwarubaini wa vitisho taifa moja kwa jingine kila nchi ikimiliki dunia haitapigana tena ndio Korea anaogopwa na hao unaodhani wana silaha bora zaidi,tambua vita ni mbinu muhimu ushindi,sumbua ubongo wako usiishi zama za vita ya kagera au majimaji.
Sisi tumeonyesha tulipofikia.nyie je mmefika wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nyie operation yenu ya kukomboa Bakhmut tangu mwezi May imeishia wapi?!
Kama hizo taarifa ni za kweli ina maana atakua kapeleka wanajeshi takribani 1mKuna mtu anakaribia Tangaza Mobilization ya wanajeshi 500,000
Ukraine Intelligence ndo imesema hivyoKama hizo taarifa ni za kweli ina maana atakua kapeleka wanajeshi takribani 1m
Wakati wa uvamizi alianza na 190,000
Akafanya mobilization ya 300,000
Now anataka 500,000
Halafu kuna watu utawaskia eti hii ni SMO, Operation gani unafanya mobilization ya watu 1m huku ikitumia takribani mwaka mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Putin mwaka huu kapatikana
Nasubiria Russia ampige USAJamani hii vita US ndio imekua ya kwakwe jamani maana hayo ma package yanavyotoka mpk nashangaa.
Mara B 3 mara B ngapi cjui yaani ni balaa.
Saizi ni mwendo wa vifaru tu na magari ya kubeba askari
Na safari hii mataifa ya magharibi yamesimama nae Kweli. Alijifanya mjuaji kuwawekea pandikizi Trump sasa wamemridi yeye sasaKama hizo taarifa ni za kweli ina maana atakua kapeleka wanajeshi takribani 1m
Wakati wa uvamizi alianza na 190,000
Akafanya mobilization ya 300,000
Now anataka 500,000
Halafu kuna watu utawaskia eti hii ni SMO, Operation gani unafanya mobilization ya watu 1m huku ikitumia takribani mwaka mzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Putin mwaka huu kapatikana
Kama nyie tangu May mwaka Jana hamjachukua mji kwanini mlazimishe Sisi tulioanza counter offensive ya Svatove-Kreminna mwezi November tuwe tumechukua mji!!!!!!!Sisi tumeonyesha tulipofikia.nyie je mmefika wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thubutuuu! Ataanzia wp?Nasubiria Russia ampige USA
Alidhani watamchekea kama wakati anaichukua CrimeaNa safari hii mataifa ya magharibi yamesimama nae Kweli. Alijifanya mjuaji kuwawekea pandikizi Trump sasa wamemridi yeye sasa
Thubutu yake!Nasubiria Russia ampige USA
Ngoja tusubiri muda utaongeaUkraine Intelligence ndo imesema hivyo
Alishindwa kuwapoteza watalabani TU,achilia mbali wavietnam ataweza kwa Urusi?Thubutuuu! Ataanzia wp?
Ujue Russia wanataka kupotezwa ktk uso wa Dunia!