Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]The United States has announced a record $3 billion military aid package to Ukraine, White House press secretary Karine Jean-Pierre said.

Partners will provide Ukraine with the M2 Bradley armored vehicle for the first time. In addition, the package will include:

  • additional HIMARS missile systems
  • HUMVEE armored vehicles
  • armored vehicles with enhanced mine protection MRAP
  • Sea Sparrow anti-aircraft missiles
 
I know no one likes trouble, but I believe what is happening in Ukraine is a sin that will gnaw at all the members of Europe. Let's solve this together.
🙏🙏
 
Kwahiyo Soledar imeshaanguka?![emoji23][emoji23][emoji23] Halafu baada ya week mbili utarudi hapa tena utasema Wagner wameuzunguka Soledar?!

Last week ulituambia Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,vipi ulichukuliwa?!

Sasa hapo Bakhmut si tangu mwaka Jana Ukraine wanasema Hali mbaya sababu wao wapo kwenye defense Russia wapo kwenye offensive. Ulitaka msemaji asemaje?!
Kwani ulilala wiki nzima,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] opyte ilishanguka kitambo sana ndugu.mpaka nimeshasahau
 
Soledar ishanguka kama ilivyoanguka Malinka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Hapa sasa ndo nimegundua unatulisha matangopori. Usharudia tena tabia yako,mwaka mpya huu Shekhe Acha hizo bhana!!!!

It is possible to say that at least 60% of the city of Optyne is under the control of the Russian Wagner PMC, while the north of the city is still no man's land.
 
[emoji298]The United States has announced a record $3 billion military aid package to Ukraine, White House press secretary Karine Jean-Pierre said.

Partners will provide Ukraine with the M2 Bradley armored vehicle for the first time. In addition, the package will include:

  • additional HIMARS missile systems
  • HUMVEE armored vehicles
  • armored vehicles with enhanced mine protection MRAP
  • Sea Sparrow anti-aircraft missiles
Mkuu hio ndogo sana mbona SIZANI kama ITAKUWA inamasada maana washapeleka za kutosha ila wapi
In 2022, the Biden administration and the U.S. Congress have directed nearly $50 billion in assistance to Ukraine, which includes humanitarian, financial, and military support
 
Ilo ndo daraja lililovunjwa.lipo centre kabisa Bakhmut.kwa iyo Vikosi vya Ukraine kwa sasa vimerudi mpaka katikati ya Bakhmut, ndo maana wamevunja daraja.
Mbosa ivi vitu sio siri kwa sasa.we vumilia tu bro ndo ukubwa huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2471332
Nilikwambia Shekhe habari zako unatia Sana chumviii

Russian channels claim that the AFU has blown up the bridge in Bakhmut over the Bakhmutivka river, claiming a 'retreat'. This is false, the bridge was already down since 22-09-2022.

Photo from 22/09. And another one from 27/12/22. Geo by @AlbertoOlivie13.
 
Mkuu hio ndogo sana mbona SIZANI kama ITAKUWA inamasada maana washapeleka za kutosha ila wapi
In 2022, the Biden administration and the U.S. Congress have directed nearly $50 billion in assistance to Ukraine, which includes humanitarian, financial, and military support
Ila wapi?!

Waulize warusi nini kiliwaondoa Kherson, Kupiansk, Izyum, Lyman, Snake Island, Kharkiv na kwingineko.

Subiri counter offensive nyingine inakuja hapo Spring baada ya winter kuisha.
 
Ukraine hawana cluster bombs,Kwanza kichwa cha habari yako tu kinakuumbua

Biden administration has ‘concerns’ about providing Ukraine cluster munitions.

The White House is not actively considering the request, a person familiar with the issue said.

The Biden administration has “concerns” about fulfilling Ukraine’s request for cluster munitions, weapons banned by more than 100 countries that Russia is using to deadly effect on the battlefield, National Security Council spokesperson John Kirby said.

“According to our own policy, we have concerns about the use of those kinds of munitions,” Kirby told reporters Friday, declining to confirm any specific request from Kyiv.

Ukraine’s request for cluster munitions is just one of many that the Biden administration, for the moment, isn’t actively considering, said a person familiar with the situation, who spoke on condition of anonymity to discuss a sensitive topic. “It’s not a no, it’s not something that’s moving right now,” the person said.
Biden administration has ‘concerns’ about providing Ukraine cluster munitions
 
Nilikwambia Shekhe habari zako unatia Sana chumviii

Russian channels claim that the AFU has blown up the bridge in Bakhmut over the Bakhmutivka river, claiming a 'retreat'. This is false, the bridge was already down since 22-09-2022.

Photo from 22/09. And another one from 27/12/22. Geo by @AlbertoOlivie13.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] we jamaa unachekesha kweli.kwa kuangalia tu hayo madaraja yanafanana kweli hata tu mazingira ya maeneo[emoji23][emoji23][emoji23]. Ebu jiongeze basi kk
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Tushakuzoea Mzee wa fix. Daraja limevunjwa tangu September we unatuambia Ukraine wamevunja Leo.

Shekhe tuliza nchecheto km warusi watakamata hyo Soledar leta taarifa lkn sio kuweka chumvi
 
Soledar ishanguka kama ilivyoanguka Malinka[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ndugu yetu unatuambia Marinka imebebwa [emoji23][emoji23][emoji23]

#Mariinka-#Avdiivka

[emoji3591]Not much happening besides artillery battles in Avdiivka and continues fighting in the city center of Mar'inka.
[emoji3591]In Kurakhove due to rocket attacks on 04-01, a powerplant was severely damaged.
#Kreminna

[emoji3591]Footage emerged from late December where AFU troops targeted Russian forces around Kuzmyne, i have changed the area back to contested.
[emoji3591]The AFU repelled an attack north of Bilohorivka. [emoji3591]The AFU reportedly made gains west of Zhytlivka. Waiting for confirmation.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Tushakuzoea Mzee wa fix. Daraja limevunjwa tangu September we unatuambia Ukraine wamevunja Leo.

Shekhe tuliza nchecheto km warusi watakamata hyo Soledar leta taarifa lkn sio kuweka chumvi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifariji.vizuri, endelea kupingana na ukweli ila dawa imeshakuingia tayari
 
Ndugu yetu unatuambia Marinka imebebwa [emoji23][emoji23][emoji23]

#Mariinka-#Avdiivka

[emoji3591]Not much happening besides artillery battles in Avdiivka and continues fighting in the city center of Mar'inka.
[emoji3591]In Kurakhove due to rocket attacks on 04-01, a powerplant was severely damaged.
#Kreminna

[emoji3591]Footage emerged from late December where AFU troops targeted Russian forces around Kuzmyne, i have changed the area back to contested.
[emoji3591]The AFU repelled an attack north of Bilohorivka. [emoji3591]The AFU reportedly made gains west of Zhytlivka. Waiting for confirmation.
Mnachekesha sana kwa kweli.yani mnachukua habari ambayo mlevi ameongea alafu unaleta hapa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yani inamaana ujui kuwa Malinka ilishanguka
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifariji.vizuri, endelea kupingana na ukweli ila dawa imeshakuingia tayari
Dawa gani hiyo Shekhe muarobaini au mnyonyo?!

Nilidhani umeacha fix,mwaka Jana ulituletea picha za March ukasema ni December,Leo unaleta habari za September unasema ni za Leo[emoji23][emoji23].

Acha fix Shekhe mwaka mpya huu
 
Back
Top Bottom