Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

RUSSIA na PUT IN wakitaka SMO iishe nirahisi tu c wanaondoka UKRAINE

Ila kwakua hawataki SMO imalize punde wamesema wazi ili SMO imaliE UKRAINE wayatambue hayo maeneo kama ni RUSSIA la sivyo wanaendelea na SMO

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka Ukraine wayatambueje wakati walishapiga Kura na kusema hayo maeneo ni sehemu ya halali Urusi na kwamba watayalinda hata kwa silaha za nyuklia!!!!
 
Hivi si kuna kipindi Wagner walikua karibu kabisa kuingia Bakhmut mjini,baadae wakarudishwa nyuma!!!

Wiki mbili zilizopita ulipost hapa Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,baadae wakarudishwa nyuma.

Huo mji watapigana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri Ila shughuli ya Bakhmut si ya kuisha Leo wala kesho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ndo unatoka usingizini muda huu.Bakhmut sasa ivi hali ni mbaya sana kwa vikosi vya Ukraine.wanajaribu kuvunja madaraja ili kuwapunguza Warusi kasi ila bado ngoma ngumu.ilo eneo unaloliona hapo ndo daraja lilipo.

Kwa iyo Warusi wapo karibu kabisa na katikati mwa mji wa Bakhmut.
20230106_172015.jpg
 
Russia ana askari 900,000 wa wa kazi na anareservr ya 1,200,000 assume alopoteza ni 10,000 na hao wengi waliokufa sio well trained tunasema wasafisha njia. Nyie mnachukulia habari zenu wapi? Ukija kwa silaha russia anatumia za zaman sana hajatumia silaha kali kabisa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani ndo unatoka usingizini muda huu.Bakhmut sasa ivi hali ni mbaya sana kwa vikosi vya Ukraine.wanajaribu kuvunja madaraja ili kuwapunguza Warusi kasi ila bado ngoma ngumu.ilo eneo unaloliona hapo ndo daraja lilipo.

Kwa iyo Warusi wapo karibu kabisa na katikati mwa mji wa Bakhmut.View attachment 2471292
[emoji23][emoji23]Hali ni mbaya Ila sio kama unavyokoleza wewe hapa jukwaani,Kwa mujibu wa Ramani zako ulizoleta hapa ni kwamba Soledar imebebwa,nikiangalia Ramani zako umezitoa kwa ProRussia huko Twitter...Ramani za ProUkraine inaonyesha warusi wanasonga mbele Ila sio kama unavyotuletea wewe hapa ndio maana hata kupost sijapost maana sielewi yupi mkweli yupi Muongo.

Week mbili zijazo utarudi tena hapa utapost ramani utasema Bakhmut Hali ni mbaya Kwa vikosi vya Ukraine,mpk tutafika Pasaka ngonjera itakua hiyohiyo.

Narudia tena Bakhmut Ngoma bado mbichi,kama picha ndo Kwanza trailer. Kama unabisha nitakukumbusha week mbili zijazo.
 
Ikulu ya zele imejazwa vifusi vya mchanga na ulinz Kama wote ...hapo wanajua mda wowote kitu cha white house down part 3 kinatoka ...that means wanajua urusi anaeza kufika mpk ikulu ndio maana wamejiandaa ila kwa kua nyie Ni mashabiki hilo hamuezi kuliona
 
Hii Bakhmut kazi yake ishakwisha kwa sasa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Ukraine defence imezama kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zelensk kama vile namuona anavyotoa macho.
Screenshot_20230106-205434_Twitter.jpg
 
[emoji23][emoji23]Hali ni mbaya Ila sio kama unavyokoleza wewe hapa jukwaani,Kwa mujibu wa Ramani zako ulizoleta hapa ni kwamba Soledar imebebwa,nikiangalia Ramani zako umezitoa kwa ProRussia huko Twitter...Ramani za ProUkraine inaonyesha warusi wanasonga mbele Ila sio kama unavyotuletea wewe hapa ndio maana hata kupost sijapost maana sielewi yupi mkweli yupi Muongo.

Week mbili zijazo utarudi tena hapa utapost ramani utasema Bakhmut Hali ni mbaya Kwa vikosi vya Ukraine,mpk tutafika Pasaka ngonjera itakua hiyohiyo.

Narudia tena Bakhmut Ngoma bado mbichi,kama picha ndo Kwanza trailer. Kama unabisha nitakukumbusha week mbili zijazo.
Soledar kwa sasa sio ya kuongelea kwa sababu ishanguka ilo hakuna ubishi.Bakhmut nayo ndo inaenda kuanguka ivyo ivyo.kama unaona naongopa basi leta taarifa mpya kutoka kwenye vyanzo vyako vya kuonyesha Warusi wapo wapi hapo Soledar[emoji23][emoji23][emoji23].

Itabidi mzoee tu hamna jinsi japo inaumiza[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii Bakhmut kazi yake ishakwisha kwa sasa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Ukraine defence imezama kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Zelensk kama vile namuona anavyotoa macho.View attachment 2471306

From North and south
 
Kwani we hujui siraha za URUSI.
Sasa kama alitumia hypersonic missile muliifanya nini, maana hata Nato Na USA HAWANA hio.
Kwanza nikukumbushe
HII NI SPECIAL MILITARY OPERATION ZONE.
na wameweka limit ya matumizi ya siraha hata USA wanajua,
INGIA YOUTUBE TAFUTA DOCUMENTARY YA SPECIAL MILITARY OPERATION UTAIONA.
ILIKUWA CHANNEL NYINGI TUU YOUTUBE , NA WANZEE WA MAGHARIBI WALIIONDOA
ILA STILL IPO.
Yani we jamaa unachekesha,inaelekea hujui hata unachozungumza

Embu tuambie kwenye convectional weapons,ni silaha gani ambayo Urusi haijaitumia bado hapo Ukraine?!

Watu wanatumia mpaka Phosphorus munitions halafu wewe unatuambia eti wameweka limit ya silaha?! Haya tutajie convectional weapon ambayo Russia bado hajaitumia kwenye hii vita.
 
Screenshot_20230106-211013_Twitter.jpg
 
Back
Top Bottom