Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Hahahaha Yani Mimi niumie kisa Russia kaichukua Bakhmut [emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee Labda nyie mnaochukulia serious hii vita. Hata Russia aichukie Ukraine yote Mimi siwezi kuumia hata kidogo.Soledar kwa sasa sio ya kuongelea kwa sababu ishanguka ilo hakuna ubishi.Bakhmut nayo ndo inaenda kuanguka ivyo ivyo.kama unaona naongopa basi leta taarifa mpya kutoka kwenye vyanzo vyako vya kuonyesha Warusi wapo wapi hapo Soledar[emoji23][emoji23][emoji23].
Itabidi mzoee tu hamna jinsi japo inaumiza[emoji23][emoji23][emoji23]
In the Battle of Bakhmut, Ukrainian defenders repelled attacks by the Russian fascist invaders in the areas of Spirne, Soledar, Krasna Hora, Bakhmut, Klishchyivka and Kurdyumivka – all in Donetsk region.
–General Staff of the Armed Forces of Ukraine, 06:00, 6 January 2023
Halafu ww unatuambia Soledar imeshaanguka taarifa ambayo sijaona kwenye chombo au source yoyote.[emoji23][emoji23][emoji1787]
Wewe hapo Bakhmut acha wadundane Ila mpk tunamaliza January kutakua hakuna mabadiliko ya maana