Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Najua inauma, ila hakuna jinsi itabidi mzoee ru.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Mafuta na maji vimeanza kujitenga
20230106_232307.jpg
 
💥💥💥 The full composition of the new US military aid package to Ukraine:

▪️50 Bradley infantry fighting vehicles with 500 TOW anti-tank missiles and 250,000 rounds of 25mm ammunition;
▪️100 BTR M113S;
▪️55 MRAPS;
▪️138 HMMWV;
▪️18 155 mm self-propelled howitzers and 18 tractors;
▪️70000 155-mm artillery shells;
▪️500 155 mm Excalibur shells;
▪️1200 155-mm anti-tank mine system (RAAM) shells;
▪️36 105-mm towed howitzers and 95,000 105-mm artillery shells;
▪️10000 120 mm mines;
▪️ HIMARS ammunition;
▪️ anti-aircraft missiles RIM-7 Sea Sparrow;
▪️4,000 Zuni aircraft unguided rockets;
▪️about 2,000 anti-tank missiles;
▪️Sniper rifles machine guns and ammunition.💥💥💥
 
Nilikwambia Shekhe habari zako unatia Sana chumviii

Russian channels claim that the AFU has blown up the bridge in Bakhmut over the Bakhmutivka river, claiming a 'retreat'. This is false, the bridge was already down since 22-09-2022.


Photo from 22/09. And another one from 27/12/22. Geo by @AlbertoOlivie13.
Yani katika siku uliyoshangaza watu ni leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli umeshindwa kutofautisha kabisa hayo madaraja au uliangalia juu juu tu.mbona kuna vitu vingi ni tofauti kabisa wala haitaji utumie miwani
 
Yani katika siku uliyoshangaza watu ni leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli umeshindwa kutofautisha kabisa hayo madaraja au uliangalia juu juu tu.mbona kuna vitu vingi ni tofauti kabisa wala haitaji utumie miwani
Na Geolocation nayo inaongopa si ndio?![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Shida kwenye hii vita Uhongo umezidi sana tena sana, hasa kwa UPANDE wa zele na NATO. Kuna kipindi cha mwaka jana zilikuwa zinatoka habari usikiliza utafikili kama URUSI anaenda kushidwa vita kumbe Mia YAO ni kushawishi watu waende kupigana kule.
Sasa hivi VYOMBO vya habari vya magharibi kutangaza habari za Ukraine speed YAO ile ni mdogo sana.
Maana wameona propaganda hazisaidii.
Kuna mchinguzi mmoja mbongo nilimsikia kipindi vita vinaanza alisema URUSI itaanguka kiuchumi baada ya miezi kadhaa kwa sababu ya vikwazo[emoji38][emoji38][emoji38]
Vip ile speed ya Russia kuiteka kievi kwa siku tatu? Saiv ile military operation Putin anaita Vita [emoji14][emoji14]
 
Hapana mkuu, Russia wanakwenda na plans wana AB na C

Plan A iliishamalizwa na sasa wapo kwenye plan B ambayo ni kuizunguruka kabisa Kyiv yote na asitoke hata panya, na ndo maana raia wote waliambiwa waondoke.

Plan C ni kuhakikisha mji warejea katika hali yake yaani umeme, askari wa Russia mitaani na kutangazwa raisi mpya.
Plan zote zimefeli ?
 
Mimi nilisema toka Mwanzo...Putin ata pigana hii vita hadi 2030. Lengo lake siyo kushinda vita kama round 12 za ngumi. Hapana.
1. Anataka, Ukraine ifilisike jumla.
2. Malengo ya USA nchini Ukraine ya feli.
3. Tishio kwa Russia by NATO life jumla.
4. Kudidimiza USA na NATO kwa miaka mingi, kila member wa NATO, atoke vitani 2030 ame konda.
5. Kutanua himaya yake ya Mpaka upande wa Ukraine, kwa kuingia zaidi Ukraine.

Zile topic za History Sec. Hii ndio Practial Application yake karne ya 21. Tuvumilie tu wadau[emoji1787][emoji1787]
Ila Pro Russia mnaakili za kiwack sana...
 
Hii Bakhmut kazi yake ishakwisha kwa sasa.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]




Ukraine defence imezama kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]



Zelensk kama vile namuona anavyotoa macho.View attachment 2471306
Nitakufuta tarehe 31 uniambie progress ya Russia
 
Unaongea haya ukiwa mzima au umelewa?!

Sasa hiyo Russia ana equipment gani iliyoonyesha angalau uafadhali hapo Ukraine?!

Zile ndege zake za kisasa Su-35,Su-34 na nyinginezo mbona hamna cha maana ilichofanya,Airforce yake ni kama vile ipo grounded!!! Yani alishindwa hata kupata air superiority kipindi kile Ukraine haina sir defenses za maana,sasa kama NATO Wana weak equipment mbona Russia hathubutu kupenyeza ndege zake kwenye Range ya hizo air defenses?!

Tuje kwenye tanks,Wana T-90M. Hiki ni kifaru cha kisasa kabisa cha Urusi and on paper sifa zake ambazo kimepewa na kinachofanyika uwanja wa Vita ni tofauti,kifaru kinapigwa mpk na zile ant tank za cold war za Ujerumani (jina limenitoka) na kinatulia.

Tuje kwenye drones,Russia ni mbovu kwenye drone mpk kaamua akimbilie kuomba Kwa muajemi,Hizo Orlan zake zina kazi za kudondoka tu baada ya kupigwa EW na Ukraine. Ukraine iliikung'uta Urusi kipindi kile hawana silaha za maana,mpk jamaa kaamua kugeuza njia kakimbilia Donbass. Hizo HIMARS zimeingia mwezi July,NASAMS zimeingia November, IRIS-T October.
Sasa kama alishindwa kipindi kile Ukraine ikiwa na silaha maamuma za NATO ndo ataweza sasa hivi Ukraine ikizidi kupewa silaha nzurinzuri kidogo?!

Tutajie silaha ya Russia iliyoonyesha angalau uafadhali kwenye hii vita maana jamaa alishatumia mpk Hypersonic missiles!!!!!
Usikariri maisha mkuu dunia kwenye mambo ya medani imebadilika sana ilipofika unapigwa na anayekupiga kajipumzikia nyumbani tu,Hizo ndege unazozizunguza kwa huwa zinarusha kitu gani ili kulata uharibibu au kifo na hayo ma iskandar,kalibr,tomahowk,scud,kh101 n.k kazi yake ni nini?
Umeongelea vifaru narudia tena dunia imebadilika teknolojia ya kifaru imepata tiba kukiua ndio maana dunia imehamia urushaji wa mokombora kutokea mbali
kifaru muhimu kwa zetu wenzetu walipofika wanahamia nuklia ndio mwarubaini wa vitisho taifa moja kwa jingine kila nchi ikimiliki dunia haitapigana tena ndio Korea anaogopwa na hao unaodhani wana silaha bora zaidi,tambua vita ni mbinu muhimu ushindi,sumbua ubongo wako usiishi zama za vita ya kagera au majimaji.
 
Back
Top Bottom