Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Urus alipigwa mkwara na USA na Magharibi kwamba akitumia silaha za maangamizi watamjibu, na yeye Urus akausoma mchezo anaweza kuiharibu nchi yake bure, labda mifumo yake ya kuzuia makombora siyo imara. Rejea mashambulizi ndani ya Urus kutoka Ukrain yalivyopenya.


Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ndio mana nimesema uwoga umemcost, otherwise labda tunamuona so special na tuna expect kitu ambacho hana.
 
Shida kwenye hii vita Uhongo umezidi sana tena sana, hasa kwa UPANDE wa zele na NATO. Kuna kipindi cha mwaka jana zilikuwa zinatoka habari usikiliza utafikili kama URUSI anaenda kushidwa vita kumbe Mia YAO ni kushawishi watu waende kupigana kule.
Sasa hivi VYOMBO vya habari vya magharibi kutangaza habari za Ukraine speed YAO ile ni mdogo sana.
Maana wameona propaganda hazisaidii.
Kuna mchinguzi mmoja mbongo nilimsikia kipindi vita vinaanza alisema URUSI itaanguka kiuchumi baada ya miezi kadhaa kwa sababu ya vikwazo😆😆😆
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wamepokea kipombo kitakatifu mpaka wamekimbia machuma Yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
IMG_20230106_095343.jpg
IMG_20230106_095340.jpg
IMG_20230106_095337.jpg
IMG_20230106_095331.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
BREAKING:

Germany officially confirms that it will send a battery of its Patriot Missile Defense System to Ukraine.

Poland was offered a Patriot battery from Germany a few weeks ago and asked it to be sent to Ukraine instead.

Berlin would not agree to it at that point.View attachment 2470467
Huyu naye anatembelea kiki ya USA
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine watakoma kipondo kikali machuma yote ya msaada ya finyangwa na Russia ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

875/ The #AFU MLS-Shield 4x4 and Iveco LMV (via LostArmour). #Donetsk #Donbass
IMG_20230106_100122.jpg
IMG_20230106_100120.jpg
IMG_20230106_100118.jpg
IMG_20230106_100115.jpg
IMG_20230106_100020.jpg
IMG_20230106_100018.jpg
IMG_20230106_100016.jpg
IMG_20230106_095810.jpg
IMG_20230106_095636.jpg
IMG_20230106_095645.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu naomba kuuliza , hivi hivi vita vikiendelea mpaka mwaka kesho inamaa hii mikoa iliyotwaliwa na Shetani , muuwaji PUTIN watakuwa wanaishi tuu wanajeshi wa Russia ?maana naona mikoa mingine imekuwa magofu tuu . Alaaniwe Mshenzi Putin mavi kabisa .
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Silaha za Ukraine zimekutana vitu vizito Toka kwa Makomandoo wa Russia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635]

866/ MaxxPro M1224 and Poroshenko's MLS Shield. T-64BV, pic is recent but the exact time is unknown. #Donbass #AFU
IMG_20230106_100655.jpg
IMG_20230106_100652.jpg
IMG_20230106_100650.jpg
IMG_20230106_100648.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bradley IFV
Marder IFV

Kupelekwa Ukraine
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Russia atazibomoa kama hizo mlizopewa na zimebolewa kibabe,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji635]
IMG_20230106_102007.jpg
IMG_20230106_102005.jpg
IMG_20230106_102002.jpg
IMG_20230106_102000.jpg
IMG_20230106_101156.jpg
IMG_20230106_101141.jpg
IMG_20230106_101138.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Pigo baya kifaru Cha Ukraine kimepigwa turret imeruka na kutua kuzama ardhini Sasa hao jamaa walibaki majivu
IMG_20230106_102956.jpg
IMG_20230106_103001.jpg
IMG_20230106_102953.jpg
IMG_20230106_102949.jpg
IMG_20230106_102842.jpg
IMG_20230106_102844.jpg
IMG_20230106_102922.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine wamepokea kipombo kitakatifu mpaka wamekimbia machuma Yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2470570View attachment 2470571View attachment 2470573View attachment 2470574

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aisee hizi picha ni kama zimepostiwa tena
 
Acha ubishi, kuizamisha carrier sio rahisi
Kwa mujibu wa data za kimagharibi kudungua na kyizamisha carrier Ni kazi ngumu. Ni ngumu kweli Tena Sana kwa nchi Kama Kenya, shelisheli na Zimbabwe. Ila linapokuja swala la direct war na taifa kubwa Kama Russia Carrier Ni shabaha ya wazi zaidi.
Hebu fikiria kambi za ardhini hulindwa na airdefences za kila namna lakini hazikuwahi kufanikiwa kujilinda dhidi ya makombora mazito kutoka ndege ama ground to ground.
Ndio Iwee hiyo carrier ambayo movement yake inaonekana waziwazi kwa satellite?
I
 
Cease fire inahusu mpaka wanajeshi tunaokesha humu. 🙂
Ceasefire sababu ya Orthodox Church Christmas ambayo ni sikuku kubwa kwao uko Russia. Hizo siku mbili wataomba miungu yao. Siyo sisi uku tunasherekea Christmas bila kuomba miungu zetu mababu na mabibi zetu waliotangulia. Tunaomba miungu wa Israel, isiaka, Joshua, yakobo, Petro, etc. Na muslimu wanaomba miungu ya uko uharabuni. Tungekuwa tunaomba miungu zetu akina tembo, mapunda, mangi, mkwawa, mirambo, koku, rutashobya, etc. Ndo maana baraka zinatupita mbali mababu na mabibi zetu wanashangaa kwa nini hatuwaombi na kuwaombea. Badala yake unaomba miungu za watu wengine baraka zinaenda uko. Ndo maana wahindi, Japan, Wachina, wanaomba miungu yao wanapata baraka zote maendeleo na akili kubwa sisi tunabaki kuwa watazamaji tu. Wazungu na waharabu walituweza sana.
 
Ina maana Supa-pawa hakukamilisha zile assault ships project 23900 ? Au alitaka tu kuongeza teknolojia kutoka Ufaransa ?

Zile submarine zake kina Yasen hazijatumika mpaka Sasa ?...au zile ni kwa Vita ya nyuklia tu ?
Russia ana submarines mamia na za ziada kibao. Ukiskia mashambulizi Wenda Ukraine kwa kalibri missiles ujue Ni kutoka submarines.
 
Back
Top Bottom