Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Pigo baya kifaru Cha Ukraine kimepigwa turret imeruka na kutua kuzama ardhini Sasa hao jamaa walibaki majivu View attachment 2470625View attachment 2470626View attachment 2470628View attachment 2470629View attachment 2470630View attachment 2470631View attachment 2470633

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Picha zako nimezipenda.., endelea kutuwekea zaidi na zaidi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uongo unawasaidia nini!?

Eti kamuelekeza 'KUOMBA' ceasefire, loh! [emoji1787]

Putin instructs forces to observe a ceasefire over Orthodox Christmas

Putin has instructed Russia’s defence minister to introduce a ceasefire in Ukraine from noon local time (10:00 GMT) on Friday to midnight (22:00 GMT) on Saturday, in line with the Orthodox Christian Christmas. Al Jazeera.

"...Instruck forces to observe..." & "... Instructed (Shoigu) to introduce a ceasfire..." ndio inatafsiriwa kama "...amuelekeza kuomba ceasfire..."

propaganda ya kwenda
Kiitelijensia kutajiwa muda Kama hivyo Ni hatari. Anaandaliwa mjinga kurelax ama pia Ukraine wakichukulia uzito wajaribu kufanya offensive kwenye mda wa kurelax.
Nb.
Hizo Ni mbinu z kivita TU. Hakuna cease fire kirahisi hivyo
 
Kwa hizi AD walizonazo Ukraine, ni sahihi kwa Urusi kutumia 'drone' za Waajemi, ndege zao ni kama vile zimepotea kabisa huenda wanaogopa kuangamiza marubani wao.


Tatizo gharama za 'training' ni kubwa mno, Urusi ni masikini jeuri tu...Ila hii Vita imewavua nguo.
Urusi Ni maskini jeuri tu. Western propaganda zimemmeza kabisa mshikaji.eti wanavaa za kiraia bila kifaa cha oxygen.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Wanamgambo wa Ukraine watakoma kipondo kikali machuma yote ya msaada ya finyangwa na Russia ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

875/ The #AFU MLS-Shield 4x4 and Iveco LMV (via LostArmour). #Donetsk #DonbassView attachment 2470587View attachment 2470588View attachment 2470589View attachment 2470590View attachment 2470591View attachment 2470593View attachment 2470594View attachment 2470595View attachment 2470596View attachment 2470598

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hio picha ya 5,6 na 7bni MRAP za USA , za shida tuu.
Waliambiwa wasizipeleke.
 
Wakuu naomba kuuliza , hivi hivi vita vikiendelea mpaka mwaka kesho inamaa hii mikoa iliyotwaliwa na Shetani , muuwaji PUTIN watakuwa wanaishi tuu wanajeshi wa Russia ?maana naona mikoa mingine imekuwa magofu tuu . Alaaniwe Mshenzi Putin mavi kabisa .
Watu walishamuandaa Ukraine kujitetea kwa muda wa miaka mitano then mitano mengine.
Hapo labda tuulize kuhusu pumzi ya mvamizi.
 
Kujipiga picha kwa wanajeshi wa Urusi ni hatari kuliko kwa Ukraine,maana Ukraine ile ni nchi yao na wanaijua kila kona hivyo ukijipiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii ni rahisi kwa wanajeshi wa Ukraine kujua uko eneo gani maana hiyo ni nchi yao yanaijua.
Tofauti na wanajeshi wa Ukraine hata wakipiga picha wanajeshi wa Urusi sio rahisi kujua wako wapi maana wao ni wageni.
Kwanza Urusi huwa inasheria inayo kataza wanajeshi kutumia simu kwenye eneo la vita sasa sijui hawa waliruhusiwa kutumia kwa misingi ipi.
Kasoma Geolocation. Hata we unaweza kuloketi picha yoyote online
 
Urusi Ni maskini jeuri tu. Western propaganda zimemmeza kabisa mshikaji.eti wanavaa za kiraia bila kifaa cha oxygen.
Inawezekana mkuu, unakumbuka siku za mwanzo za uvamizi ndege za Urusi zilikuwa zinashambulia usiku ili kukwepa S-300 za Ukraine, tena haziruki umbali mrefu angani (huenda tatizo ilikuwa Oxygen )..

T14 Armata HIMARS
 
Hao alishawatandika sana hadi kanyakua ardhi. St. Peters ili kuwa sehemu ya Finland. Na sasa anapigana hao hao Poland na Finland na kaka zao kama 30 hizi akiwemo USA.
Huyu anadhani Russia Ni taifa kubwa kuanzia mwaka juzi au mwaka huu.
Hajui Kwamba Russia Ni great power kwa miaka nenda Rudi. Na hao akina Finland, Poland, Ukraine, Mongolia na hata Uchina wamekutana na nguvu ya expansion ya warusi kwa Karne na Karne zilizopita.
Hivyo basi Russia ya Leo Ni mbabe hata kabla ya miaka hii tunapoisoma na kuiona historia ya miaka ya karibuni.
 
Inawezekana mkuu, unakumbuka siku za mwanzo za uvamizi ndege za Urusi zilikuwa zinashambulia usiku ili kukwepa S-300 za Ukraine, tena haziruki umbali mrefu angani (huenda tatizo ilikuwa Oxygen )..

T14 Armata HIMARS
Ndege Vita kuruka kimo Cha chini kabisa Ni kwaajili ya kuepuka long range air defences system na sio kukosa oxygen.
Huwezi ukapaa na ndegevita bila kuwa na vifaa vya oxygen.
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Urusi sio Zimbambwe
20230106_135808.jpg
20230106_135817.jpg
 
Back
Top Bottom