Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Russia is not UssrMbona alishawapigaga hao?alafu anapigana na nchi 30
Ukraine ndio inawakilisha nchi 30?
Russia is not UssrMbona alishawapigaga hao?alafu anapigana na nchi 30
Mji wa Bakhmut unalindwa na wanajeshi takriban 60k wa ukraine. Bado kuna watu wanasema sio mji wa muhimu sana. Mariupol ilikuwa na 10k Ukrainian defenders na 25k lysichansk na severodenesk.Barabara kuu inayotumika kusafirisha silaha na wanajeshi kuelekea Bakhmut imefikiwa na Warusi.sasa Ukraine watakuwa awana chaguo lingine zaidi ya kusafirisha vifaa na wanajeshi kwa kupitia barabara ya mwisho inayotoka kwenye kitongoji cha Ivanivsk.View attachment 2469988
Kusheherekea krismax za kiothodoxKuna mtu anaomba Ceasefire frontline....
Simtaji
Putin instructs forces to observe a ceasefire over Orthodox ChristmasKuna mtu kaomba Ceasefire
Ndo habari ya hivi punde
Ebu nitajie silaha za uturuki zinazoweza kuisumbua IranSyria na Iran hawawezi kuishinda Uturuki kwa chochote, hao bado wanajitafuta.
[emoji23][emoji23][emoji23]nishamjua ni ukraine uyo angekua russia ungemtajaKuna mtu anaomba Ceasefire frontline....
Simtaji
Unaongea ujinga gan ...vita imemchachia na mtu anazidi kushika maeneo hiv mna akili gani .....mtu yuko sebleni kwako we uko chumban unasema umemuweza wtfSo far, Putin vita imemchachia,
Hanatena uwezo wa kuimaliza haraka kama alivyo sema.
Bila shaka mambo ni magumukwake na pengine anawaza maamuzi yake hayakuwa sawa.
Unaongea na mataira ayo wanajua kila kituMbona alishawapigaga hao?alafu anapigana na nchi 30
Kuna mtu anaomba Ceasefire frontline....
Simtaji
Uongo unawasaidia nini!?Putin kamuelekeza Shoigu kuomba Ceasefire ya Masaa 36 ili wanajeshi wa Urusi wapishe Sikukuu ya Orthodox
Ukraine wanasema hiyo ni mbinu ya Urusi kujiweka sawa