Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ina maana Supa-pawa hakukamilisha zile assault ships project 23900 ? Au alitaka tu kuongeza teknolojia kutoka Ufaransa ?

Zile submarine zake kina Yasen hazijatumika mpaka Sasa ?...au zile ni kwa Vita ya nyuklia tu ?
Mpaka sasa wana model tu, Shoigu au Putin wakifanya ziara wanapiga nazo picha. Lile lilikuwa tamko la kisiasa kumkomoa France aliyegoma kuwauzia, shipyards hazikuwa na uwezo huo wako wanateseka bure. Hizo meli hadi sasa zipo kwenye kompyuta, ukutani na kwenye madaftari. Tangu 2014 hadi leo sijawahi ona wapi they laid the first keel

Meanwhile uko duniani nchi ambazo wala hazijang'ang'ania kuonekana superpowers zinafanya hivi. Hii ni Anadolu amphibious assault ship ya Turkey, wamejenga kuanzia 2018 nadhani. Marekani haitouza F-35 kwa Turkey hivyo wana mpango kuunda drones kama sijasahau. Wana projects nyingi nzito za kijeshi kama kifaru, meli mbalimbali, submarines, drones, helicopter gunship ishakamilika, stealth jet Kizilelma, n.k
turkish-navy-amphibious-assault-ship-tcg-anadolu-anadolu-l-400-to-start-sea-trials-2.jpg


Hii ni ya South Korea, Dokdo class. Wanayo class nyingine na zote hizi zinabeba ndege kama F-35. Kuna class moja walisitisha idadi ya meli walizotaka wakaelekeza hela kwenye submarine, last year hapo
901402-L-MDY76-617.jpg


Hii ni ya Japan sijui inaitwa Kyolu, wanayo class nyingine pia
1280px-JMSDF_CVH_JS_Izumo_in_Ocean.jpg


Alafu kuna superpower mmoja flagship yake haikuwa hata na fire control radar, ikapigwa kombora bila kujua. Mashabiki zake wanasumbua humu eti "aircraft carriers hazina kazi". Hapa sijataja NATO
 
💥 In Krasniy Liman direction, artillery attacks have resulted in the neutralisation of the units from 95th Airborne Assault Brigade of the AFU near Grigorovka and Serebryanka (Donetsk People's Republic).

◽️ The enemy has lost over 40 Ukrainian personnel, 2 armoured personnel carriers, and 3 pickups.
 
💥💥💥The Kremlin said that in a telephone conversation Putin confirmed to Erdogan the openness of the Russian Federation to dialogue on Ukraine, if Kiev meets the known requirements and takes into account the new territorial realities... first requirement recognize the 4 regions liberated part of the Russian federation💥💥💥
In short"l don't want negotiation"
 
Comment na like zenu fupi fupi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2470003
So far, Putin vita imemchachia,
Hanatena uwezo wa kuimaliza haraka kama alivyo sema.
Bila shaka mambo ni magumukwake na pengine anawaza maamuzi yake hayakuwa sawa.
 
Back
Top Bottom