Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Vikosi vya Urusi vinazidi kusonga mbele kuelekea kwenye mji wa Lyman.

Baada ya kuwafukuza wanajeshi wa Ukraine kwenye kijiji cha Dibrova, sasa Warusi wanasonga kuelekea kwenye vitongoji Zarichne na Torske.kuanguka kwa vitongoji ivyo kutafanya Warusi waanzishe mashambulizi kwa ajili ya kuchukua mji wa Lyman.

Inasemekana vikosi vingi vya Ukraine viliondolewa na kupelekwa kwenye mji wa Bakhmut ili usije ukanguka kwenye mikono ya Warusi.

Vikosi vya Ukraine vilianzisha operation ya kutaka kuchukua mji wa Kremina.na mwanzo walifanikiwa kusogea karibu na mji huo, ila sasa mambo yamekuwa tofauti upande wao.mipango yote sasa imevunjia.Warusi wamezidisha mashambulizi.Vita kwa sasa inaonekana kuelekea kwenye mji wa LymanView attachment 2469603
Kwani NATO Inasemaje😆😆🇷🇺🔥
Na hiyo Bakhumt wanajeshi walioenda kurundikwa,imeanguka
 
Syria na Iran hawawezi kuishinda Uturuki kwa chochote, hao bado wanajitafuta.
Hata hivyo si rahisi kwa Uturuki na Iran kuingia vitani ,lakini ikitokea wakaingia vitani bila shaka tutashuhudia moja wapo ya vita kali sana kuwahi kutokea duniani hata ya hii ya Ukraine itakuwa cha mtoto.

Ila ukifuatilia kwenye historia Iran hajawahi kushindwa vita wakati Uturuki ilisha wahi shindwa vita nyingi tu kipindi cha Ottoman.l kwa hiyo historia inambeba Iran.
 
Uturuki ni taifa kubwa.
Iran Ni fundi wa proxy war. Kwa miongo kadhaa wapo vitani wakipambana na kuoganize mapambano, kuanzia Lebanon, Syria, Yemen na hata Afghanistan.
Kuhusu Iran dhidi ya Turkey Hawa wote Ni superpowers was kipindi kilichopita Wana history kubwa za kivita Karne na Karne .
Nikianza na Iran , Iran imeonesha Mara kadhaa Kwamba hawawezekani kivita mwaka 1988 Iraq ikisaidiwa na Soviet, US , na Ufaransa, na UK nk iliivamia lonely Iran . Humo wairan wakaonesha ufundi was kivita wakiwa na Us F 14 wakazifanya Iraq,s mig 25 na mig 29, na su 25 obsolute.
Iran Hapo 2020 ilifanya tukio la kutisha Sana dhidi ya US makombora 23 dhidi ya shabaha mbili.
Nb Iran ukiitoa Russia Ni second most sanctioned country in the world.
 
Huyo jamaa ana ubishi wa ajabu kabisa...ni zaidi ya ubishi wa kitoto..Yaani bado anadhani aircraft carriers ni deal....Fikiria Ndugu yangu li-Aircraft carrier kama Nimitz Lina Askari zaidi ya 4000 halafu linadunguliwa kiulaini na hypersonic missile moja..just imagine....hizo ni sitting ducks....hata zilindwe namna gani zinadunguliwa tu...
Acha ubishi, kuizamisha carrier sio rahisi
 
Ni kweli kabisa....mitandaoni hizi sijui Himars ni balaa tupu....zinapiga kweli kweli...Javelin nazo ni kiboko...hahahhhaha
Siku ya mwaka mpya umeona kazi ya HIMARS we tomaso. Vifo vimefikia makumi mangapi uko kwenu, achana na taarifa za Ukraine soma taarifa za Russian Ministry of Defence
 
Russia has no economy to maintain aircraft carriers. Budget ya kujenga Ford class carrier moja kwa Marekani imefika hata $10 billion, zipo Nimitz 10. Kwa bajeti gani ya Wizara ya Ulinzi ya Russia wangeunda carrier, shipyard gani ingeunda na maintenance ifanyike kwa hela gani. Hata wangetaka, hawawezi
Kuhudumia carrier gharama, huenda hata UK ni bora kwenye hilo eneo kuliko huyu Supa-pawa.

Labda kwenye submarine huenda Supa-pawa yupo vizuri, ila kwanini hajazitumia mpaka Sasa? Au zinabeba nyuklia tu ?
 
Kuhudumia carrier gharama, huenda hata UK ni bora kwenye hilo eneo kuliko huyu Supa-pawa.

Labda kwenye submarine huenda Supa-pawa yupo vizuri, ila kwanini hajazitumia mpaka Sasa? Au zinabeba nyuklia tu ?
Russia haina shipyard ya kuunda aircraft carrier, wala haina shipyard yenye uwezo wa kuunda helicopter carrier kubwa. Ndio maana kabla ya issue ya Crimea walikuwa na mkataba na France kutengenezewa Mistral amphibious assault ships wakalipa na hela yote ila walipovamia Crimea 2014 Ufaransa ikavunja mkataba ikaziuza zile meli mbili zilizokuwa zimekamilika kwa Egypt.

Tena kipengele kimojawapo cha mkataba ni Ufaransa kutoa technology transfer kwa Urusi, na walilipa hela nyingi faster faster bila kona. Tech transfer maana yake HUJUI hicho kitu unachotaka kupokea, au uko very poor kiasi kwamba haina maana.

Kama aircraft carriers sio za muhimu ambavyo 1954 anasema basi Russia isingekuwa inateseka na decaying Admiral Kuznetsov ambayo hata shipyard ya kuifanyia marekebisho kwa uhakika haipo, dockyard mbili ilibidi zivunjwe ziunganishwe waweze kuipaki. Tangu 2017 wapo wanateseka na hili diesel powered carrier linalofuka moshi kuliko kiwanda. Kama carriers sio muhimu nchi ya kwanza kuziondoa ingekuwa Russia maana kwa miaka mitano sasa haijakanyaga majini, imezeeka, inakula bajeti kubwa ya Navy kwenye maintenance, imeua watu kwenye ajari mojawapo kati ya tatu ilizopata ikiwa imepakiwa wala sio ikiwa safarini. Hata safari yake ya mwisho iliharibika broilers. Kama carriers sio za muhimu kwanini Russia iwe na carrier based jets kama Su-33 na Mig-29K?
Labda aseme Russia ni mapumbavu yanarekebisha kitu ambacho hakina matumizi.

Brazil waliona hawana uwezo nazo wakaipiga chini waliyonunua Ufaransa. Russia inajikaza kisabuni ila mashabiki zake humu wanapiga porojo. Admiral Kuznetsov hii hapa, looking like a tetanus infested coffin
20220810_085405.jpg
 
Ndio maana kabla ya issue ya Crimea walikuwa na mkataba na France kutengenezewa Mistral amphibious assault ships wakalipa na hela yote ila walipovamia Crimea 2014 Ufaransa ikavunja mkataba ikaziuza zile meli mbili zilizokuwa zimekamilika kwa Egypt.
Ina maana Supa-pawa hakukamilisha zile assault ships project 23900 ? Au alitaka tu kuongeza teknolojia kutoka Ufaransa ?

Zile submarine zake kina Yasen hazijatumika mpaka Sasa ?...au zile ni kwa Vita ya nyuklia tu ?
 
Una ujinga mwingi ndio maana Kila coment unajichekesha kama Malaya au kahaba,Malaya na makahaba ndo Huwa na Tabia ya kujichekesha Ili waweze kuwavutia wateja.., tofauti na Malaya au kahaba,mtu mwingine anayechekacheka kila mara ni mwehu au tahaila..,
Sijawahi kuona coment yako yoyote bila imoji za kujichekesha ( kuchekacheka)

Nafikiri utakuwa kwenye kundi mojawapo ya makundi niliyoyataja hapo juu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kumbe cheko la malaya ni special kwa kuvuta wateja
 
1672920456080.png


💥💥💥The situation in Artemovsk on the morning of January 5 from Ukrainian sources
1. Russian troops completely took the forest east of Artemovsk;
2. The RF Armed Forces are building up their success on the outskirts of Podgorodny.
The capture of Podgorodny allows Russian troops to enter the northern part of Artemovsk and develop an offensive along the M-03 highway in the direction of Krasnaya Gora and Berkhovka💥
 
💥💥💥The Kremlin said that in a telephone conversation Putin confirmed to Erdogan the openness of the Russian Federation to dialogue on Ukraine, if Kiev meets the known requirements and takes into account the new territorial realities... first requirement recognize the 4 regions liberated part of the Russian federation💥💥💥
 
Back
Top Bottom