Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

💥💥💥Soledar (in more detail)
The southern outer suburb of Bakhmutskoe is almost completely under Russian control
The AFU (128th Mountain Bgd) is reported to be pulling out of the Declanskaya train station which was their main defensive position in this area
The AFU seems to have a presence in a block of buildings marked on the map
I think it's only a matter of time before the whole area is cleared
There's been some advances on the East side of Soledar as well💥💥💥
 
Hatimae mji wa Soledar umekuwa mchungu kwa Vikosi vya Ukraine.imebaki story kwa sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]





Tuliwambia sisi, Urusi sio Zimbambwe

20230105_092622.jpg
 
💥💥💥💥2023 has been declared the Year of the Russian language in the CIS. In the more than three decades since the Union of Soviet Socialist Republics ceased to exist, the status of the Russian language has changed. And it has bound all the Soviet peoples together, allowing Tajik, Armenian, Lithuanian and other school graduates to easily enter any Soviet university, read everything published in the vast book space of the Soviet Union, or simply to meet each other on the streets of Riga, Baku or Chisinau.

An extensive programme of events aimed at promoting the Russian language and raising its status as a language of inter-ethnic communication is planned for the coming year. And this will undoubtedly contribute to mutual spiritual and cultural enrichment of citizens of all CIS countries.
💥💥💥
 
Putin alisahau huu usemi au labda haujui",Vita si lelemama".🤔
Jan. 5 update on russian losses in the war
FB_IMG_1672903263551.jpg
 
Naombeni kuuliza hivi Wale wanamgambo wa chechnia mbona siku hizi siwasikii sana? Wapo kweli au ndio waliamua kurudi makwao?
Nakusahihisha mwenye Chechnia hawana wanamgambo Wana wanajeshi tu ila Ukraine ndio ina wanamgambo mpaka toka Nchi mbalimbali pamoja na magaidi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Vikosi vya Urusi vinazidi kusonga mbele kuelekea kwenye mji wa Lyman.

Baada ya kuwafukuza wanajeshi wa Ukraine kwenye kijiji cha Dibrova, sasa Warusi wanasonga kuelekea kwenye vitongoji Zarichne na Torske.kuanguka kwa vitongoji ivyo kutafanya Warusi waanzishe mashambulizi kwa ajili ya kuchukua mji wa Lyman.

Inasemekana vikosi vingi vya Ukraine viliondolewa na kupelekwa kwenye mji wa Bakhmut ili usije ukanguka kwenye mikono ya Warusi.

Vikosi vya Ukraine vilianzisha operation ya kutaka kuchukua mji wa Kremina.na mwanzo walifanikiwa kusogea karibu na mji huo, ila sasa mambo yamekuwa tofauti upande wao.mipango yote sasa imevunjia.Warusi wamezidisha mashambulizi.Vita kwa sasa inaonekana kuelekea kwenye mji wa Lyman
20230105_104834.jpg
 
Mwaka juzi kulikuwa na uzi nadhani ni wa North Korea nikadokeza somewhere kwamba Uturuki inaweza ipiga Iran watu wakaja juu kweli kwamba nawakosea Iran. Ila Uturuki ni taifa lingine kwenye silaha na ni superpower kwenye drone tangu kabla ya hii vita ianze. Silaha nyingine za Uturuki kama meli za kivita, helicopters, jet trainers, IFVs na APCs, missiles na precision guided munitions tuziache kwanza. Bado nasema hivi Iran hawezi kumpiga Uturuki na ambavyo dynasties za Persians zina historia ya kupigana na Ottomans mara nyingi. Hawa wote wapiganie mipakani ila sio deep in territories hiki tunachokiona kwa Ukrainians kiko kwenye damu ya Wairan sio kwamba unaanza kuwahamasisha.

Yale mapinduzi ya 2016 yaliyofeli Uturuki maelfu ya raia waliingia barabarani kutengeneza human chain kuzuia vifaru vya wanamapinduzi visipite, kuna clip nadhani YouTube bado zipo raia wamezuia njia crew ya kifaru ikafungua hatch kuongea nao raia wakawashusha na kuwachapa makofi. Nikiunganishi na jinsi Ottomans walivyopigana kwenye Gallipoli campaign kuzuia zile staits ambazo unapitisha meli za kivita ndio uende Urusi. The way kina Winston Churchill kipindi hicho ni kamanda walivyoshindwana na Waturuki mpaka kila upande ukapoteza wanajeshi 56,000 kwa vifo naamini Uturuki ukiwachokoza ujipange sana. Kuna jamii zina spirit ya tangu kale ya kupigana

Uturuki anaizidi China na Urusi kwenye unmanned aerial vehicles ila anazidiwa mbali na Israel na Marekani. Hizi ndege za Russia kina Su-25 na Mig-34 zinazopigwa kwenye anga la Ukraine hazina ulazima sana wa kutumika kama Russia ingekuwa na effective attack drones. Uzuri ni kwamba ukiwa na drone huogopi kupoteza rubani na unakuwa na confidence, rubani akiwa na Su-25 anakuwa na hofu, anaenda haraka na coordinates anaweza kosea kwa kiwewe maana kila siku ndege zinadondoshwa na mwishowe anakosea target. Operator wa drone anatulia maana haoni kingine zaidi angani, hata ikipigwa hatokufa, drone si gharama sana na zimetengenezwa kwa materials ambazo ni ngumu kuziona kwa radar.
Uturuki ni taifa kubwa.
 
uturuki ishakutanaga kwenye battle na syria na uturuki akakalishwa ilifika stage uturuki ikaomba patroit kutoka marekani hata kwenye mgogoro drone tb2 hazijafanya kitu . Upande wa iran iran irgc wana uzoefu coz wametapakaa mashariki ya kati kuhusu drone iran historia inawabeba mjadara wa uturiki na syria upo humu humu
Syria na Iran hawawezi kuishinda Uturuki kwa chochote, hao bado wanajitafuta.
 
Back
Top Bottom