LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kiufupi Ukraine amisha lost kwa sababu zifuatazo,kwa kuwa yeye ndio kakubali mazungumzo so Odds zipo against yeye.akisema amukubalie Urusi madai Yale maana yake Urusi anaenda kuweka kambi ya jeshi hapo Ukraine na unakuwa mwisho wa USA na NATO-kitu ambacho USA na washirika wake kukibali itakuwa ngumu.
Vilevile,akisema asikubali kunakwenda kuibuka Vita kubwa-maana atapata back up ya NATO&USA-ndio maana Putin Jana alicheza movie ya kimaneno kabla ya Kikao chao cha Leo.

Ukraine kete IPO mkononi make,akubaliane na Urusi vita iishe na NATO wa ondoke forever,au akatae Nchi yake igeuke uwanja wa vita kati ya Urusi&USA.
Chaguo ni lake.
Sidhani kama ni lazima Ukraine iungwe NATO. Wakikubaliana na kila mtu akapata atakacho na vita vikaisha basi wote ni washindi.
 
Kwanza kbs napenda kutanguliza salam kwa wana JF wenzangu hapa jukwaani, pili naomba mods msiuunganishe huu uzi na uzi wowote unaohusiana na mambo ya Ukraine maana kila mtu ana uwasilishaji wake wa taarifa hapa jukwaani, so kuuchukua uzi wa mtu ambae kila siku anatumia data zake, muda wake, fikra zake na energy yake kuchangia comment mbali mbali au kuandika thread mbali mbali afu kwenda kuunganisha na uzi wa mtu mungine bila taarifa au sababu za msingi ni kuingilia uhuru wa watu kutoa maoni yao hapa jukwaani. Kwahiyo mwisho wa siku mtajenga hofu na uoga kwa wateja wenu, maana mtu atajua akileta uzi hapa kwa ajili ya kuhabarisha umma kuhusu yanayojiri huko duniani mods watauchukua huo uzi wake na kuupeleka sehem wanayojua wao bila idhini yake ili kupoteza maana ya kile alichoandika hapa jukwaani. So nina imani mods mtazingatia ushauri wang huu niliowapa. Tuje kwenye mada husika. Ndugu zangu kitendo cha raisi wa Russia kuomba poo ya mazungumzo ya kumaliza mapigano kati ya jeshi lake linalosifika kuwa na nguvu zaidi duniani baada ya lile la Marekani, kimewashangaza wengi waliokuwa wakimuunga mkono mbabe huyo na jeshi lake. Wakati akijiandaa na uvamizi, wengi wa wapambe wake walitegemea uvamizi wake ungechukua usiku mmoja tu kumaliza kile alichoita safisha safisha ya viongozi vibaraka wa magharibi. Sasa anashangaa pamoja na ukubwa wa jeshi lake, wingi wa silaha zake, na ukubwa wa nchi yake ameshindwa kutwaa hata miji mitatu tu mikubwa, badala yake yeye ndo amekuwa akirudishwa nyuma na kunyang'anywa mji wa pili kwa ukubwa ambapo hapo awali jeshi lake ndo lilikuwa linaumiliki. Bila shaka Putin ashasoma alama za nyakati baada ya kunusa ule mtego wa Marekani ambao waliutega kwa lengo la kupata sababu ya kuingia kijeshi kuiadhibu Russia kupitia katika ardhi ya Ukraine. Ikumbukwe Marekani na genge lake la NATO walisema hawawezi kuingia vitani kuisadia Ukraine kwani sio mwanachama wao kamili wa NATO. Ila nyuma ya pazia Marekani alikuwa anapanga mpango wa kurushwa kombora moja tu la Russia nchini Poland ambae ni mwanachama wa NATO ili watemi hao wa dunia waweze sasa kuingia kazini live bila kujificha kwa kisingizio kuwa Russia ndio ilianza uchokozi wa kumshambulia mwanachama mwenzao wa NATO (Poland) Silaha kubwa kubwa zimekuwa zikitumwa Ukraine usiku na mchana kwa kisingizio cha kuipa msaada wa silaha Ukraine, kumbe wakubwa hawa wanaziandaa kwa ajili ya kwenda kuzitumia wenyewe hapo baadae baada ya mipango kukamilika. Mimi na wewe hatujui hilo kombora lingerushwaje rushwaje ili mission yao ikamilike kuingia mzigoni. Wangesubiri kombora la Russia likosee njia na kuangukia kwa mwanachama wao? au wale wale askari wa Ukraine wangetafuta njia ya kupata kombora la Russia na kulivugumiza nchi yoyote mwanachama kinyemela ili msala umuangukie Putin? Pongeza kwa Putin kwa kuliona hili mapema na kuwahi kuomba poo before mambo hayajaharibika, maana Mmarekani na genge lake sio watu wazuri hata kidogo. Kweli unaweza kujikakamua kupambana nao lkn mwisho wa siku wewe ndo utaanguka miguu juu. Mungu aepushe mbali vitaa hii, ili dunia iwe sehemu salama ya kuishi kwa amani.
Nani kaomba poo? Ukraine ndiye aliye omba poo mpaka kamchagua Roman Abramovic ambaye ana uhusiano mziri na Putin awe anaongoza usulihishi wao.
Source: ESPN
Screenshot_20220228-200943_Instagram.jpg


Screenshot_20220228-193824_Instagram.jpg
 
Na kama kweli wameafiki na kulipitisha hilo...hapo ndo nawez sema wako sahihi katika kumsaidia ukraine...ngoja tuone japo, masaa machache yaliyopita marekani kupitia ubalozi wake ameagiza watumishi wake wote wakiwemo wafanyakazi wa ubalozini na wanadiploasia wake...waondoke hii imemfanya russia kuhisi kwamba kunauwezekano usa na nato wanaplan direct heavy missile attack...hinyo nayeye amesharuhusu mazoezi ya vikosi vyake vya nyuklia kuwa active pindi atakapowapa amri kutokea sasa.

bwana mimi nachoomba hawa jamaa wasije wakasababisha vita ya 3 ya dunia/WWIII...maana believe me or not kila taifa lenye vinu na makombora ya nyuklua...washahisi harufu ya balaa na watakuwa wameshakaa mkao wa kujihami hapa nawazungumzia china na northen korea as well as Japan. Na kuna wadau wamekuja na calculation nyepesi zenye kuashiria hatari...kama unavyoona hapo!!!

View attachment 2134109


NINI MAONI YAKO MKUU?...KUNA UKWELI WOWOTE HAPO??...WANASEMAGA NAMBA HAZIDANGANYI.
kwani tarehe na mwaka zenye thamani tano kama utazipunguza nimepitia ngapi?
 
Tanzania ndo intellijensia yetu imekufa.. tumeshindwa hTa kutumia intellijensia ya US kuwataka watanzania waondke Ukraine kabla ya vita.Kliko hivi sasa wanatoa matamko... Yasyo na maana
Walikuwa bize kwa Mfalme Zumridi badala ya kuwaambia raia wake watoke Ukraine
 
Back
Top Bottom