Ngoja nikupe mfano hai.America inataka Russia isambaratike.Hivi unategemea Marekani na allies wake iseme au ifanye lolote la kulijenga Russia kweli?The answer is know.This means that taarifa yeyote kuhusu Russia ya kweli unaweza kuupata kwenye source ambayo haina affiliation na Russia au Marekani or Europe.Ila,narudia Ila,sources zenye affiliation na Russia au hata Russia yenyewe tends to be more authentic,nimezi cross-check mara nyingi.
As to the independent sources with authentic and reliable information,ziko nyingi sana,tafuta,usitegemee kutafuniwa kila kitu.
Watu kama nyie nimekuwa nikifuatilia sana ngonjera zenu na mnavyolisha watu matango pori. Propaganda za kimagharibi hazifikii hata robo za propaganda za kimashariki na imejulikana hivyo miaka yote kwa wenye akili za kuvuka barabara.
Unapoongelea Marekani kwa mfano, unaisema dunia...wako Wamarekani rafiki zako, jirani zako na ndugu zako wa kuzaliwa kabisa. Wako Wachina, wako Warusi, wako wahindi , wapo weusi, wapo wekundu, wapo weupe, wapo kila rangi kutoka kila pembe ya dunia.
Marekani zipo dini zote, zipo lugha zote za dunia, zipo tamaduni zote za dunia, zipo mila zote za dunia...kwa kifupi Marekani haina mfanowe popote pale. Marekani inaitwa nchi ya wahamiaji kwa sababu mataifa yote ya dunia yanapatikana Marekani.
Pamoja na kwamba hawajafanikiwa kwa asilimia 100%, Marekani ni
experiment, jaribio la watu tofauti fofauti kuishi pamoja na kuunda taifa moja. Hawa watu ni binadamu na kwa kweli hakuna binadamu aliye mkamilifu lakini mpaka sasa wanajitahidi.
Naam, kuna ubaguzi wa kirangi, wa kihali na mali, wa kiitikadi, wa kidini na mengineyo lakini kila Mmarekani analindwa katika misingi imara ya uhuru, haki na usawa. Ikitokea na hutokea hukutendewa haki ziko namna, njia na taratibu za kuzidai ukilindwa na Katiba.
Hakuna aliye juu ya sheria na ukituhumiwa kwa lolote, sheria inachukua mkondo wake na hunyimwi haki yako ya msingi ya kudai haki. Hii ndiyo sababu kwa nini wengi wetu hatusiti kuchagua upande linapotokea jambo kubwa kama hili kati ya Ukraine na Urusi.