Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Anaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
@Pietro
Jana kabla hata sijajua wataongea nini huko CREMLIN nilikueleza kwamba mchakato wa demilitarization uliishafanikiwa kwa zaidi ya 90%
Leo naona shoigu mwenyewe kapita nliposemea jana
Hem ngojea tuone baada ya kura mambo yataendaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Kaka data za Shoigu kwamba wamepoteza Askari 6000 tu ndo unaziamini?! Sasa kama wamepoteza Askari 6000 kwanini wahitaji Askari wengine laki tatu?! Akili kichwani mwako.

Kama Demilitarisation imefanikiwa,inakuaje Ukraine inazidi kusonga mbele maeneo yote kuanzia Kharkiv, Luhansk,na Kherson?!

Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Putin - Tunasilaha za kutosha za kuigeuza Western Kifusi [emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Screenshot_20220921-111945.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Russian President Vladimir Putin threatens the West on Wednesday, noting that “we have lots of weapons to reply, it is not a bluff.”

Additional quotes

The West has engaged in nuclear blackmail against Russia.

We will use all resources we have to defend our people.

The government must provide funds to increase the production of weapons.

Market reaction

A fresh risk-aversion wave seems to have hit markets on renewed geopolitical concerns, driving the US dollar 0.20% higher against its major rivals. The spot is currently trading at 110.45, with eyes on the Fed…

Continue Reading


News Source: Russian President Putin: I tell the West, we have lots of weapons to reply, it is not a bluff
 
Anaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ninavyoelewa partial mobilization anamaanisha

Wale waliowahi kuserve jeshini,askari wa akiba,watu wenye knowledge kuhusu jeshi,wote hao utahitajika kwenda vitani ndo maana Bunge la Urusi Jana wamepitisha Sheria kwamba ukihitajika kwenda vitani lazima uende ukikataa unaenda jela. Kwahiyo chaguo ni lako VITANI au JELA.
 
Huyu mdudu ndo alikuwa anawasaidia kufanya mapping,
Hii ni aina mpya kuonekana hivyo haijatumika sana. Zinazofanya mapping sanasana ni Zara na aina nyingine nimeisahau. Na zinafanya artillery coordination ila nazo aina moja ina lenzi mbili za Sony. Wanaagiza lenzi kama spare parts za civilian camera na ndio wanafunga kwenye drone.
 
Anaejua hii mobilazation kiundani atueke wazi wakuu
Mobilization ninini
Nainakua na madhara gani na faida gani kwa RUSSIA na UKRAINE
Wote ntakao watag na nitakao wasahau kwa anaejua atupe kidogo darsa
Maana wengine tunashindwa kuchangia hasa sababu hatuelewi maan yake nini nautendaji wake na athari wala faida zake kwa wanaogombana
T14 Armata
Morogoro kaskazini
Pietro
DALA
Galip Vrl
Mr Tyang
Nawengineo woooote

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijatulia nikaisoma. Ingekuwa full mobilization hapa ningechangia, ila kwa kuwa ni partial mobilization hapa sijajua terms na conditions zake. Inabidi nikachimbe kwanza hata Duma sijajua imeweka sheria gani zinazoendana na hili
 
Hahahaha Kaka data za Shoigu kwamba wamepoteza Askari 6000 tu ndo unaziamini?! Sasa kama wamepoteza Askari 6000 kwanini wahitaji Askari wengine laki tatu?! Akili kichwani mwako.

Kama Demilitarisation imefanikiwa,inakuaje Ukraine inazidi kusonga mbele maeneo yote kuanzia Kharkiv, Luhansk,na Kherson?!

Akili za kuambiwa changanya na zako.
Jana nlikwambia naleo nakwambia tena
Siangalii shoigu kasema nini juu ya UKRAINE ila naangalia juu ya UKRAINE namna wanalia lia kwa wasamaria wao kuomba misaada
Jamaa kila akifungua mdomo wanahitajia silaha zaidi
Kama jeshi lao lipo kama lilivyo kabla ya SMO wanaomba silaha zanini
Hapa wenyewe mlisema walipewa himaz nasasa wanataka kupewa sijui NASMAS zote hizi zanini
Mwisho nlikwambia jana jamaa kwasasa wanategemea silaha kutoka kwa wahisani ila wenyewe hawajiwezi tena yaani hawana silaha nandio maana juzi wameekewa 600$ msaada mwengine wasilaha
Jamaa washatumiliwa zaidi ya 15$B kwakupewa silaha unadhani kwanini !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mnatumia civilian satelites kuichunguza Russia na kambi zao kwakuwa mnajua aziwezi kudunguliwa sasa show rasmi ya putin ndio inaanza tuone kama kuna kenge ataweka mguu wake ukraine tena
Hizo anti satellite missiles anazo za kutosha?
Sasa atumie missiles kupiga low flying civilian satellites wakati US wanazo military satellites na zinapaa juu sana. Kwanza kwa ubovu wa silaha za Urusi natamani sana nione wanaharibu hizo satellites nione kama wanaweza
 
Mimi ninavyoelewa partial mobilization anamaanisha

Wale waliowahi kuserve jeshini,askari wa akiba,watu wenye knowledge kuhusu jeshi,wote hao utahitajika kwenda vitani ndo maana Bunge la Urusi Jana wamepitisha Sheria kwamba ukihitajika kwenda vitani lazima uende ukikataa unaenda jela. Kwahiyo chaguo ni lako VITANI au JELA.
Ahsante MKUU
Kwamba kwatafsiri yako ama uelewa wako ni kwamba sasa RUSSIA imetangaza vita rasmi dhidi ya UKRAINE na sio SVO kama ilivyokua haoo feb 24 ama mie ndio sijakuelewa !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijatulia nikaisoma. Ingekuwa full mobilization hapa ningechangia, ila kwa kuwa ni partial mobilization hapa sijajua terms na conditions zake. Inabidi nikachimbe kwanza hata Duma sijajua imeweka sheria gani zinazoendana na hili
Ahsante MKUU kwamaana kwahapo unapopajua
Partial mobilization sio tangazo rasmi la vita ya RUSSIA kwa US !!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom