Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Himars hazina mapumziko....wale wa kule Makiiva ni mfano.Putin kamuelekeza Shoigu kuomba Ceasefire ya Masaa 36 ili wanajeshi wa Urusi wapishe Sikukuu ya Orthodox
Ukraine wanasema hiyo ni mbinu ya Urusi kujiweka sawa