Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

medvedev

Flxe4B9XwAA1dpI
 
Hakuna kupumzika kazi zinaendelea kwa mwendo wa 5 G[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Baada ya kuchukua mji wa Soledar Warusi sasa wameanzisha mashambulizi mazito kwenye kitongoji cha krasnopoliwka.


Hakika Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
20230106_180021.jpg
 
Where is the world going?
🇹🇬⚜️ 🇹🇬⚜️

1-The United States has confirmed that all countries in the world, in order to establish good relations with the great powers, must accept same-sex marriage (woman/woman or man/man). 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2- Germany has just signed the law that declares that there is no more incest, that is to say: brother and sister can get married, mom and son, dad and daughter, etc. 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
3-The city of Miami is now proclaimed the city of purchase of public sex. That means: on the way, to church,
at the mosque, at the market, at the football field, if you need sex you can enjoy it at any time without any problem.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
4-Canada has allowed bestiality (sex with animals) 😭😭😭😭😭😭😭
5- In Spain: pornographic films
are allowed in high school and universities. 😭😭😭😭😭😭😭
6- The authorization of the prostitution of minors is given. Marg Luker states that any young girl at the age of 10 who feels sexual pleasure,
no one should defend her from
find out how his body works.😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
7- Finally the USA allowed the Satanic churches to be opened publicly.
 
Jukwaa leo limepoa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


Wale ndugu zetu upande wa pili siwaoni kabisa sijui wamepatwa na nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mimi nilisema toka Mwanzo...Putin ata pigana hii vita hadi 2030. Lengo lake siyo kushinda vita kama round 12 za ngumi. Hapana.
1. Anataka, Ukraine ifilisike jumla.
2. Malengo ya USA nchini Ukraine ya feli.
3. Tishio kwa Russia by NATO life jumla.
4. Kudidimiza USA na NATO kwa miaka mingi, kila member wa NATO, atoke vitani 2030 ame konda.
5. Kutanua himaya yake ya Mpaka upande wa Ukraine, kwa kuingia zaidi Ukraine.

Zile topic za History Sec. Hii ndio Practial Application yake karne ya 21. Tuvumilie tu wadau[emoji1787][emoji1787]
 
ASHAKUM SI MATUSI.
Putin amekula hela ya nauli sasa anataka Kutoroka geto baada ya round ya pili kuanza.

anashangaa mbona ukubwa wa shuguli unaongezeka mishono inafumuka kila mahali

kajipimia kaomba angalau apumzike masaa 36 lakini muhuni hamuelewi

mbona wakat unakula crimea hukuomba sub.

basi vumilia tuishie round ya pili

anasema
tulikubaliana geto nitakukuta peke ako sasa umeniletea njemba zaid ya 30 ZIJIFUNZIE shughuli kwangu

na sasa anaona hadi njemba zote zirudhike si mtanimwaga maini nyie

nakwambieni hadi shughuli iishe hakuna atakae mtaman tena huyu binti Russia.
maana atakua Ananuka.

(Tafsida imetumika)
Acha upuuzi ww!!? Unajisahaulisha ya kwamba Russia anapigana na LGBTQ wote kwa pamoja na awachapa
 
Jukwaa leo limepoa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


Wale ndugu zetu upande wa pili siwaoni kabisa sijui wamepatwa na nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hali mbaya Ukraine.
Yani umevamiwa majego vifusi, afu unasema tuko vizuri.
😆😆😆
Kuwafukuza imeshindikana , afu unasema wamepoteza wanajeshi zaidi ya 100,000.
 
Shida kwenye hii vita Uhongo umezidi sana tena sana, hasa kwa UPANDE wa zele na NATO. Kuna kipindi cha mwaka jana zilikuwa zinatoka habari usikiliza utafikili kama URUSI anaenda kushidwa vita kumbe Mia YAO ni kushawishi watu waende kupigana kule.
Sasa hivi VYOMBO vya habari vya magharibi kutangaza habari za Ukraine speed YAO ile ni mdogo sana.
Maana wameona propaganda hazisaidii.
Kuna mchinguzi mmoja mbongo nilimsikia kipindi vita vinaanza alisema URUSI itaanguka kiuchumi baada ya miezi kadhaa kwa sababu ya vikwazo😆😆😆
HAHAHAH ndio kipindi ambacho nilikuwa hata sikanyagi humu maana ilikuwa kama Putin kafa vile Ukraine wanafanya watakavyo.
 
NATO STILL WANA weak equipment, tangu vita vianze wamepeleka air defense system na equipment kibao ili kuwafuza urusi still watu wapo pale pale .
Equipment zao naona wamegundua sio mzuri.
Mimi nimeona iliyofanya kazi ni US and UK anti tank missile na Himars ,
Zaidi ya hapo hakuna kitu.
SORRY PRO NATO SIO MATUSI HAYA.
Unaongea haya ukiwa mzima au umelewa?!

Sasa hiyo Russia ana equipment gani iliyoonyesha angalau uafadhali hapo Ukraine?!

Zile ndege zake za kisasa Su-35,Su-34 na nyinginezo mbona hamna cha maana ilichofanya,Airforce yake ni kama vile ipo grounded!!! Yani alishindwa hata kupata air superiority kipindi kile Ukraine haina sir defenses za maana,sasa kama NATO Wana weak equipment mbona Russia hathubutu kupenyeza ndege zake kwenye Range ya hizo air defenses?!

Tuje kwenye tanks,Wana T-90M. Hiki ni kifaru cha kisasa kabisa cha Urusi and on paper sifa zake ambazo kimepewa na kinachofanyika uwanja wa Vita ni tofauti,kifaru kinapigwa mpk na zile ant tank za cold war za Ujerumani (jina limenitoka) na kinatulia.

Tuje kwenye drones,Russia ni mbovu kwenye drone mpk kaamua akimbilie kuomba Kwa muajemi,Hizo Orlan zake zina kazi za kudondoka tu baada ya kupigwa EW na Ukraine. Ukraine iliikung'uta Urusi kipindi kile hawana silaha za maana,mpk jamaa kaamua kugeuza njia kakimbilia Donbass. Hizo HIMARS zimeingia mwezi July,NASAMS zimeingia November, IRIS-T October.
Sasa kama alishindwa kipindi kile Ukraine ikiwa na silaha maamuma za NATO ndo ataweza sasa hivi Ukraine ikizidi kupewa silaha nzurinzuri kidogo?!

Tutajie silaha ya Russia iliyoonyesha angalau uafadhali kwenye hii vita maana jamaa alishatumia mpk Hypersonic missiles!!!!!
 
The Soledar Center is under the control of the Wagner PMCs and other divisions. AFU is withdrawing en masse, Russian Army troops are moving densely further
Hii si mara ya Kwanza Kwa Wagner kuingia kwenye huo mji,hata Opyte mara Kwanza Wagner waliingia karibu waibebe yote...Ukraine wakawabalasa baadae wakarudi tena. Kuna uwezekano wakapigana hapo Bakhmut mpk Mwezi wa 6!!! Maana Ukraine hawatakubali Russia wachukue huo mji...wakileta reinforcement Wagner watarudishwa nyuma then Wagner nao wataleta reinforcement shughuli inaanza upya.
 
Hakuna kupumzika kazi zinaendelea kwa mwendo wa 5 G[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Baada ya kuchukua mji wa Soledar Warusi sasa wameanzisha mashambulizi mazito kwenye kitongoji cha krasnopoliwka.


Hakika Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]View attachment 2471168
Hivi si kuna kipindi Wagner walikua karibu kabisa kuingia Bakhmut mjini,baadae wakarudishwa nyuma!!!

Wiki mbili zilizopita ulipost hapa Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,baadae wakarudishwa nyuma.

Huo mji watapigana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri Ila shughuli ya Bakhmut si ya kuisha Leo wala kesho.
 
Jukwaa leo limepoa sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].


Wale ndugu zetu upande wa pili siwaoni kabisa sijui wamepatwa na nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Leo timu nato wamepotea.
 
Hivi si kuna kipindi Wagner walikua karibu kabisa kuingia Bakhmut mjini,baadae wakarudishwa nyuma!!!

Wiki mbili zilizopita ulipost hapa Opyte karibu inachukuliwa na Wagner,baadae wakarudishwa nyuma.

Huo mji watapigana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri Ila shughuli ya Bakhmut si ya kuisha Leo wala kesho.
Ya ni kweli Ukraine inailinda Bhakhmut kwa gharama yeyote kwa sababu ni muhimu sana ikianguka msitakabali wa Dombas utakuwa hatarini.
 
Back
Top Bottom