Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji95][emoji95][emoji95] The full composition of the new US military aid package to Ukraine:

[emoji3502]50 Bradley infantry fighting vehicles with 500 TOW anti-tank missiles and 250,000 rounds of 25mm ammunition;
[emoji3502]100 BTR M113S;
[emoji3502]55 MRAPS;
[emoji3502]138 HMMWV;
[emoji3502]18 155 mm self-propelled howitzers and 18 tractors;
[emoji3502]70000 155-mm artillery shells;
[emoji3502]500 155 mm Excalibur shells;
[emoji3502]1200 155-mm anti-tank mine system (RAAM) shells;
[emoji3502]36 105-mm towed howitzers and 95,000 105-mm artillery shells;
[emoji3502]10000 120 mm mines;
[emoji3502] HIMARS ammunition;
[emoji3502] anti-aircraft missiles RIM-7 Sea Sparrow;
[emoji3502]4,000 Zuni aircraft unguided rockets;
[emoji3502]about 2,000 anti-tank missiles;
[emoji3502]Sniper rifles machine guns and ammunition.[emoji95][emoji95][emoji95]
Na Bado yanakuja ma package mengine mengi
 
Yani we jamaa unachekesha,inaelekea hujui hata unachozungumza

Embu tuambie kwenye convectional weapons,ni silaha gani ambayo Urusi haijaitumia bado hapo Ukraine?!

Watu wanatumia mpaka Phosphorus munitions halafu wewe unatuambia eti wameweka limit ya silaha?! Haya tutajie convectional weapon ambayo Russia bado hajaitumia kwenye hii vita.
Manati,Kombeo na mshale
 
kauli ya putin na mtego wa mamba.

kama tunakumbuka Zelensky ameyazuia makanisa ya Russian Orthodox nchini ukraine.
Putin huenda alitaka kumuingiza choo cha kike mchekeshaji zelensky kwa hiyo ofa yake ya kuwepo utulivu kwenye uwanja wa vita kwa siku 3 ili watu washerehekee sikukuu ya krismasi ya dhehebu la Orthdox

laiti zelensky angelikubaliana na uamuzi huo tafsiri yake ni kwamba ameruhusu kwa mara nyengine tena makanisa ya Russian Orthodox kurudisha mahubiri yake.

HILI SWALA TUSILIANGALIE KWA UPANDE MMOJA WA SHILINGI, ETI RUSSIA ANATAFUTA KISINGIZIO CHA KUPUMZIKA.
APUMZIKE KWA KAZI IPI NGUMU ALIYOIFANYA
hivi ukraine ameshakomboa maeneo mangapi?
Matahira Ni wengi kweli. Kumbe Masaa 36 Ni sawa na siku 3?
 
Jamn eeh ety jeshi la urusi (red army flag )limeingia ukraine au ...maana Wagner sio jeshi la serikali Ni kikundi Cha mtu binafsi (private military)au nimekosea
Hao Ni askari wa kukodi wanaotumwa kufanikisha malengo ya jeshi la Urusi.
Ni hasara kupoteza Askari wa jeshi la Russia kuliko kupoteza Askari wa Wagner group
 
Package nyingine hiyo kwa Ukraine. Bradley zinakuja miezi michache ijayo tusishangae kuona Ukraine inapewa vifaru hata vya zamani
20230107_111403.jpg
 
Hii package ya sasa naona kuna armoured vehicles kama zote,nahisi Ukraine inajiandaa tena kufanya counter offensive nyingine
Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya
20230106_171312.jpg
 
Back
Top Bottom