Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mtaalamu ntakua humu si ningekua nafanya research kusaidia jeshi letu angalau litengeneze Silaha za Masafa mafupi?? Unadhani kuandika ndio utaalamu Mzee?? Naweza kuwa nacopy nakuja kupaste hujaona ma PHD kibao ila kwenye Field hamna kitu???

kumbe shabiki nikajua ni mtaalamu wa masuala ya kivita na geopolytics.
 
True face of Russian Orthodox church [emoji57]
1673089135700.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Armoured vehicles 100 na IFV 50 zitasaidia kiasi chake. Kwanza naziamini Bradleys, ngoja ziingie kazini huwezi zilinganisha na kina BMP zile. Ingawa 50 ni chache ila uzuri kina France, Germany na UK wanatarajiwa watatuma za kwao. Germany ina mamia ya vifaa haiyatumii tena na yapo in good condition ni upgrade chache yanafanya kazi kama haya View attachment 2471802
Zina tofauti gani na vifaru vya kawaida ? Au ni kusafirisha tu askari na kutoa 'cover up' kwa infantry ?
 
Taiwan pekee ndio yenye land based launchers ila sidhani kama inaweza toa hizo. Sijajua Sea Sparrow watazitumia kwenye platform gani labda washapanga modification iweje si unakumbuka zile anti ship missiles walizomodify ziwe launched kutoka kwenye flatbed ya semi truck
Kuna mahali nimesoma wanasema zitatumika kwenye BUK air defense system,Ukraine wamemodify BUKs zao kuweza kutumika na hizo sea sparrow missiles
 
Hata mimi nimeona ila BUK haina canisters makombora yake yako exposed nje. Sasa sijui Sea Sparrow ambazo huwa na canisters wanataka ziwe nje na zenyewe. Nasubiri kuona watafanyaje.
Kwa faida ya wengi, BUK
20230106_171209.jpg

Sea Sparrow
20230107_150344.jpg
 
Nadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.

By the way umeona hiyo Sea based sea sparrow ant aircraft missile system, Ukraine si hawana Navy....itatumika kwenye nini au ndo washafanya modification za launchers iweze kurushwa nchi kavu!?
Yaonesha kuna wanajeshi wengi wa Ukraine wako nje ya Ukraine wakipata mafunzo ya vifaa vipya
 
Nadhani kwenye package zinazofuata Marekani watatuma nyingi zaidi maana wanazo maelfu,japo sijajua wanatuma version gani.

By the way umeona hiyo Sea based sea sparrow ant aircraft missile system, Ukraine si hawana Navy....itatumika kwenye nini au ndo washafanya modification za launchers iweze kurushwa nchi kavu!?
Pentagon wamesema BUK inaweza zitumia
 
Hata mimi nimeona ila BUK haina canisters makombora yake yako exposed nje. Sasa sijui Sea Sparrow ambazo huwa na canisters wanataka ziwe nje na zenyewe. Nasubiri kuona watafanyaje.
Kwa faida ya wengi, BUKView attachment 2472051
Sea Sparrow
View attachment 2472053
Ngoja tusubiri tuone maana Ukraine hawajawahi acha kutushangaza,kama waliweza ku Intergrate zile HARM missiles na old soviet jets sidhani kama hili litawashinda.
 
Shughuli karibia inaanza tena[emoji23] hiyo inaitwa ukisimama nchale ukikimbia nchale[emoji23]
Uwanja umepatikana wa kumpiga Mrusi, wapiganaji wamepatikana. Sasa ni Urusi akubali umia au aachane na vita.

Urusi anatakiwa apigwe haswa ili asijerudis upuuzi wake
 
Zina tofauti gani na vifaru vya kawaida ? Au ni kusafirisha tu askari na kutoa 'cover up' kwa infantry ?
Vifaru vina more protection na more firepower mara nyingi hutumika kupigia armours za adui. Infantry fighting vehicles zinafuatia ila si lazima ziwe tracked mara nyingi zinakuwa na wheels, hizi huenda sambamba na wapiganaji zikiwa na heavy machine gun na cannon kupiga magari mazito au kuvizia vifaru. IFV zina speed kuliko vifaru na sio nzito zaidi.

Armoured personnel carrier inabeba wanajeshi field kuwawaisha sehemu wakipita eneo lenye mashambulizi ya risasi na artillery strike zile sprinters zisiwapate kama vile vyuma vidogo (tungsten rods) vya HIMARS rockets. Direct hit ya artillery unaharibu kifaa chochote vitani. APC ina protection kubwa ila firepower ndogo kama medium machine gun moja ya kutoa suppression fire tu
 
Uwanja umepatikana wa kumpiga Mrusi, wapiganaji wamepatikana. Sasa ni Urusi akubali umia au aachane na vita.

Urusi anatakiwa apigwe haswa ili asijerudis upuuzi wake
Putin hawezi kubali kuachana na hii vita maana ni hatari Sana kwake,atapigana hapo hata miaka 10 ili mradi tu asipate aibu ya kushindwa
 
Vifaru vina more protection na more firepower mara nyingi hutumika kupigia armours za adui. Infantry fighting vehicles zinafuatia ila si lazima ziwe tracked mara nyingi zinakuwa na wheels, hizi huenda sambamba na wapiganaji zikiwa na heavy machine gun na cannon kupiga magari mazito au kuvizia vifaru. IFV zina speed kuliko vifaru na sio nzito zaidi.

Armoured personnel carrier inabeba wanajeshi field kuwawaisha sehemu wakipita eneo lenye mashambulizi ya risasi na artillery strike zile sprinters zisiwapate kama vile vyuma vidogo (tungsten rods) vya HIMARS rockets. Direct hit ya artillery unaharibu kifaa chochote vitani. APC ina protection kubwa ila firepower ndogo kama medium machine gun moja ya kutoa suppression fire tu
Ila kwenye hii vita nimezikubali zile Bushmaster za Australia.

Hata hizi MRAP za Mmarekani,kuna video nimeona mahali hiyo MRAP imekanyaga mine ikalipuka lkn wanajeshi wote wametoka salama salimini.
 
Back
Top Bottom