Hii video uliyoleta ni ya miezi 8 iliyopita kipindi hicho Ukraine iko hoi bin taabani hata kushambulia haiwezi.
Halafu hapo hizo ATGM kama hizo NLAWS wamedaka launchers Tu,sababu hizo ant tank ukisharusha missile yako hilo li-launcher halina umuhimu sana unaweza kulitupa tu,japo ukipata ant tank missile nyingine unaweza itumia tena.Shida inakuja unapata wapi missile nyingine wakati NLAWS zilizopelekwa uko zilipelekwa kila launchers ikiwa na missile yake moja!!!!
Video yako hii hapa,Miezi 8 iliyopita.