Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".View attachment 2472213
Mkuu usitake kukwepa , nimeshakuambia hapo juu.
Jeshi la Ukraine limepokea misaada tuu mingi tangu zamani, nilikuwa nataka kukuonyesha issue ya USA kuisaidia Ukraine ilianzia tangu 7 years ago ,
Iyo ni moja ya USHAHIDI.
Angalia vizuri video utaona hata mitambo ya mawasiliano walikuwa wanapeleka na inadakwa.
 
Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".View attachment 2472213
Mkuu kama hautaiona hiyo sehemu ya kukamatwa kwa vifaa vya USA vya mawasiliano na waasi wa Donbass.
Basi ITAKUWA ipo kwenye video nyingine ya vice news , maana vice news wanavideo nyingi sana kuhusu Ukraine
 
Mkuu usitake kukwepa , nimeshakuambia hapo juu.
Jeshi la Ukraine limepokea misaada tuu mingi tangu zamani, nilikuwa nataka kukuonyesha issue ya USA kuisaidia Ukraine ilianzia tangu 7 years ago ,
Iyo ni moja ya USHAHIDI.
Angalia vizuri video utaona hata mitambo ya mawasiliano walikuwa wanapeleka na inadakwa.
Nimekwepa wapi Bro,wakati wa utawala wa Obama Ukraine ilikua ikipewa "non-lethal equipments" na hii ni kwa mujibu wa video uliyoleta. Obama alikua akiogopa kwamba akiipa Ukraine silaha Kali atachochea mgogoro zaidi. Walikua wakipewa mafunzo na nchi za west lakini walikua hawapewi lethal weapons kama ilivyo sasa.

Wakati wa Trump still Ukraine ilikua inapata mafunzo toka nchi za magharibi lakini bado walikua wakipewa non lethal equipment,Trump alikua rafiki mkubwa wa Putin na kumbuka Trump alikua hataki kusikia masuala ya Vita vita.

Kama Ukraine ilikua ikipewa silaha Kali kipindi hicho chote iweje Leo kila wakipewa silaha wanaenda kujifunza jinsi ya kuitumia?! Si wangekua wameshazizoea maana wanazitumia tangu 2014!!!!!!!?
 
Angalia hii 3 years ago Ukraine wanatengeza body amor zipo advanced sana tuu.

Hiyo ni 3 years ago tena mitambo walitoa german.
Ukraine kusaidiwa imeanza mda sana mkuu.
Iyo video juu ya usa nakuonyesha tuu kusaidiwa ilianzia 7 years sio juzi hapa.
Mitambo gani hiyo bro?! Hizo ni body armour,zinasaidia kujilinda na vitu kama risasi,nk...hakuna mtambo wowote hapo.

Leta video ambayo inaonyesha Ukraine ikipewa lethal weapons kama Artillery systems, rocket systems kabla ya tishio la hii vita!!!!
 
Axei Lloyd hajui
Soledar umeenda kwa mujibu wa Nani?! Jana nilimwambia ndugu yenu Mohamed Idrisa kwamba hapo Bakhmut Ngoma bado mbichi sanaaa watadundana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri la sivyo utashangaa tunafika mpk June lkn Bakhmut bado kupo vile Ile


Journalist Yury Butusov sends a message this morning from the Salt mine in Soledar, where a group of PMC Wagner mercenaries reportedly broke into yesterday. Apparently the AFU counterattacked overnight. He mentioned the newly created 46th brigade now defends the city.
20230107_194006.jpg


Ingiza hizi coordinates kwa Geo lacator km Una mashaka yoyote

Coordinates:
48°41'39.62"N, 38° 3'29.28"E
 
Vifaru alivyopewa ni vya enzi ya Usovieti kina T-72 na wenzake. West bado hawajampa vifaru vyao.
Hivyo T 72 alivyopewa vimeenda wapi?! Jibu: vimebomolewa. Nyie pro-NATO mnajitoa Sana ufahamu...mnasifu misaada anayopewa Ukraine...ila hamujiulizi ile ya awali imekwenda wapi...Russia ilijipanga kwa Vita hivi na ndiyo maana Yule maana Stolberg, Secretary General wa NATO 'analia' Kila siku kuhusu umuhimu wa West kuongeza misaada...
 
Mitambo gani hiyo bro?! Hizo ni body armour,zinasaidia kujilinda na vitu kama risasi,nk...hakuna mtambo wowote hapo.

Leta video ambayo inaonyesha Ukraine ikipewa lethal weapons kama Artillery systems, rocket systems kabla ya tishio la hii vita!!!!
KHAAA JAMANI KWANI URUSI WALIVYOKUWA ANASAIDIA WAASI WA DONBASS TANGU 2014 MPAKA MWANZONI MWA MWAKA JANA.
KWANI NIKIKWAMBIA USHAHIDI WA VIDEO UNAO AU UPO.
AU TUNAVYOSEMA ISLAMIX STATE WAMEANZISHA USA NA ISRAEL KWANI USHAHIDI WA VIDEO WAKIWA WANAANZISHA UPO.
AU TUNAPOSEMA OSAMA BINLANDEN KAFUNDISHWA NA USA KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO.
AU TUNAPOSEMA USA GVN WALIANGUSHA MGOROFA MAWILI YA WORLD TRADING CENTRE KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO MKUU.
DAAA NASHIDWA KUKUELEWA ,
ILA SHIDA NI UBISHI TUU.
ITS KUMBE WEWE NI PRO NATO.
 
Soledar umeenda kwa mujibu wa Nani?! Jana nilimwambia ndugu yenu Mohamed Idrisa kwamba hapo Bakhmut Ngoma bado mbichi sanaaa watadundana mpk atakaeona anapoteza Sana aamue kusalimu amri la sivyo utashangaa tunafika mpk June lkn Bakhmut bado kupo vile Ile


Journalist Yury Butusov sends a message this morning from the Salt mine in Soledar, where a group of PMC Wagner mercenaries reportedly broke into yesterday. Apparently the AFU counterattacked overnight. He mentioned the newly created 46th brigade now defends the city.
View attachment 2472231

Ingiza hizi coordinates kwa Geo lacator km Una mashaka yoyote

Coordinates:
48°41'39.62"N, 38° 3'29.28"E

Kwa hiyo?!!!?! Ila lipo Jambo moja napenda kukusifu, unatumia muda mwingi Sana kwenye uzi huu na kupost comment ...dah...aise wewe ni pro west kindakindaki....bila Shaka ' taasisi' zao have recognized you.
 
Back
Top Bottom