Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special military operation
20230107_200820.jpg

Documentary hio na lengo ya operation ni hii👇
20230107_200831.jpg

Kwa hio kwa sasa wanawafukuza tuu Ukraine kutoka karibu na maeneo ya donbass.
 
Hahaha, we jamaa hii theory yko umetumia nini kufikiria[emoji1787][emoji1787][emoji1787], wabongo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.
Hii hapa Mil-24 Hind helicopter Marekani ilichukua Chad baada ya vikosi vya Muamar Ghaddafi kuvamia na kupigwa uko miaka ya 1970s, iliyobeba ni Chinook ya Marekani
IMG_20230107_202407.jpg


Huyu Victor Berenko alipangwa na CIA akatimua mbio hadi Japan kisha Wamarekani wakaenda uko kusoma ile ndege Warusi walikuwa wanatisha nayo kumbe kubwa jinga, after this incident ndio Warusi wakalazimika kuunda interceptor nyingine Mig-31 Foxhound
tumblr_nae8q4rYy01szqwnwo1_r1_640.jpg


Huyu alitorokea Uturuki na jet
IMG_20230107_201732.jpg


Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
 
KHAAA JAMANI KWANI URUSI WALIVYOKUWA ANASAIDIA WAASI WA DONBASS TANGU 2014 MPAKA MWANZONI MWA MWAKA JANA.
KWANI NIKIKWAMBIA USHAHIDI WA VIDEO UNAO AU UPO.
AU TUNAVYOSEMA ISLAMIX STATE WAMEANZISHA USA NA ISRAEL KWANI USHAHIDI WA VIDEO WAKIWA WANAANZISHA UPO.
AU TUNAPOSEMA OSAMA BINLANDEN KAFUNDISHWA NA USA KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO.
AU TUNAPOSEMA USA GVN WALIANGUSHA MGOROFA MAWILI YA WORLD TRADING CENTRE KWANI USHAHIDI WA VIDEO UPO MKUU.
DAAA NASHIDWA KUKUELEWA ,
ILA SHIDA NI UBISHI TUU.
ITS KUMBE WEWE NI PRO NATO.
Huyo siyo mwenzako.. yuko kwenye 'mikono' salama ya 'taasisi' za west...wewe angalia 'anavyojituma' kwa post zake..
 
Retreat za Ukraine huzioni? Saizi wote wamesogezwa kwenye kibangara kimoja kama mngejua kamji hako kanapigiwa final decision msingekuwa mnajitutumua hapa. Kyiev is circled by Russia forces while uncertainty of exploitation wandering in Ukrainian's mind. Mashaka yamejaa hadi kwenye chupi,matumbo tanasokota,msongo wa mawazo ya kifo yametawala,watoto wameliaaaaaaa hadi ndefu za mchozi zimejitengeneza. Mmeniamsha sasa yaani ukraine ana banabana mzigo? Subirini sasa this is a revenge on behalf of american people and his dogs who barking days and nights Mhaza faka
Mihemko ni kitu kibaya sana, wengine bila aibu bado wanaendeleza hii mihemko,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kama walishindwa kumiliki airspace ya Ukraine Kati ya February -April bhas Kwa sasa ndo haiwezekani tena maana kila siku Mjomba anazidi kuimarika.

Hata zile Shaheed zao kwa sasa hazina ufanisi ule wa mwanzo maana zinashushwa kama kumbikumbi.

Urusi wana ndege nzuri Ila nadhani mafunzo kwa marubani ndio yanawaangusha. Kwa wastani marubani wa NATO wanapata 200 flight hours Kwa mwaka (kwenye training) wakati wale wa Urusi ni 100 flight hours Kwa mwaka.
Experts walikufa mwezi February hadi March
 
Kwa hiyo?!!!?! Ila lipo Jambo moja napenda kukusifu, unatumia muda mwingi Sana kwenye uzi huu na kupost comment ...dah...aise wewe ni pro west kindakindaki....bila Shaka ' taasisi' zao have recognized you.
Hahahaha mbona Povu sasa Kaka!!!![emoji23][emoji23][emoji23]


SHUKRANI SANAAAA[emoji120]
 
Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
Ok tuone maana kama NATO na USA wamewafundisha Ukraine tangu 2014 mpaka leo afu hakuna kitu wataweza kweli na vifaa hivyo.
Maana nchi 30 wanapigana na nchi moja daaa.
 
Kazi yangu kuwaonyesha matomaso ushahidi.
Hii hapa Mil-24 Hind helicopter Marekani ilichukua Chad baada ya vikosi vya Muamar Ghaddafi kuvamia na kupigwa uko miaka ya 1970s, iliyobeba ni Chinook ya MarekaniView attachment 2472293

Huyu Victor Berenko alipangwa na CIA akatimua mbio hadi Japan kisha Wamarekani wakaenda uko kusoma ile ndege Warusi walikuwa wanatisha nayo kumbe kubwa jinga, after this incident ndio Warusi wakalazimika kuunda interceptor nyingine Mig-31 FoxhoundView attachment 2472294

Huyu alitorokea Uturuki na jetView attachment 2472295

Na hii vita ya Ukraine zimetekwa electronic warfare systems zimebebwa na NATO watasoma uko. Ile tactical retreat imeacha silaha nyingi wakabeba
Hahahaha kwahiyo ndege waliichukua wakaisoma baada ya kumaliza wakamrudishia Mrusi na kumtoza ela ya transport juu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom