Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu HIZO MRAP bado tuu WANATAKA kuzipelekaView attachment 2472116
Maana za MARA ya kwanza zilizoenda sizioni tena
View attachment 2472117View attachment 2472118View attachment 2472119
Ila sio mbaya wazipeleke kwa sababu zitasaidia kulinda askari
Hiyo ndio kazi ya MRAP kulinda Askari,ikikutana na landmine gari linaweza haribika kabisa lkn wanajeshi wote wapo salama. MRAP moja inabeba mpk wanajeshi 12,imagine kupoteza wanajeshi 12 kwa landmine moja!!!!!!!!

Hizo zilizoharibika hapo hua zinavutwa zinaenda kutumika kama spare kwa zile ambazo bado ni nzima.
 
Mkuu nimejibu swala la jamaa hapo juu, alisema URUSI HAWAWEZI kakamata siraha za NATO, ndo mimi nikamuonyesha mkuu.
Hatajazungumza swala la mda.
Ishu wameziteka zipo nyingi.
Kuna mtu juzi alipost russia wamekamata vifaa vya kigerumani juzi.
OKAY! Samahani Mkuu sikuelewa[emoji120]
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Wapiganaji shupavu wa Urusi wanazidi kuchanja mbuga wanakamata maeneo muhimu ya Ukraine
Screenshot_20230107-162724~2.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hii video uliyoleta ni ya miezi 8 iliyopita kipindi hicho Ukraine iko hoi bin taabani hata kushambulia haiwezi.

Halafu hapo hizo ATGM kama hizo NLAWS wamedaka launchers Tu,sababu hizo ant tank ukisharusha missile yako hilo li-launcher halina umuhimu sana unaweza kulitupa tu,japo ukipata ant tank missile nyingine unaweza itumia tena.Shida inakuja unapata wapi missile nyingine wakati NLAWS zilizopelekwa uko zilipelekwa kila launchers ikiwa na missile yake moja!!!!

Video yako hii hapa,Miezi 8 iliyopita.

MKUU ngoja nikuambie kitu jeshi la Ukraine, limepata Mafunzo kutoka NATO na USA tangu mda sana , tangu mgogoro vinaanza mwaka 2014. WALIPEWA mbinu nyingi sana na NATO na USA na jeshi la Ukraine wapo full equipment hata tangu vita havijaanza.
Tena wanavaa mpaka dody armor.
Nato na USA waliowapa mafunzo ni watu wenye uzoefu waliopigana vita iraq, Afghanistan, Syria na kwengine.
Ndio waliokuwa wanawafundisha Ukraine tangu mda sana na mafunzo yalianza tangu mwishoni mwa 2014.
Waliwafundisha urban warfare na tactics nyingi sana , na walikuwa full equipment.
Kwa vifaa vilivyoaribu tanks na vifaa vingine vya URUSI vilitoka wapi si NATO.
Jeshi la Ukraine WALIPEWA mafunzo ya kutosha kabisa mkuu. Sijui unajua hilo.
NATO NA USA WALIJUA SIKU ITAKUJA URUSI ATAVAMIA TUU. WALIJIPANGA TANGU ZAMANI.
 
Mkuu hilo linajulikana wazi,lakini wakati huo wote Ukraine hawakupewa offensive weapons kama Artillery au rocket systems wamekuja kupewa hivi juzijuzi tu baada ya jamaa kuvamia. Wakati huo wote walipewa silaha za kujilinda ndogondogo kama Ant tank missile na short range ant aircraft kama Stingers,nk.

Kama ni silaha hata Ukraine walishakamata silaha nyingi Sana za Urusi

Hizo HIMARS zake anazotolea taarifa wamelipua Warusi wakijumlisha zinafika 27, wakati Marekani imetuma 20 tu hadi sasa. Hata Bayraktar alitwambia idadi waliyoharibu ikawa kubwa mpaka Baykar wenyewe wakaja kukanusha hawajawahi kuuza idadi yote hiyo kwa Ukraine. Sijui wanapiga in advance

Dmitry Peskov msemaji wa Putin huwa anajifanya kuna kitu hajui, ukimpiga swali la ghafla anakana hicho kitu hajawahi sikia au anajifanya mzembe anadai hajafatilia
[emoji23][emoji23][emoji23] ila we jamaa unachekesha sana.hata ilo linaitaji elimu kweli.
 
Huu mji wa Bakhmut watamaliza mwaka mzima wanapigana sehemu moja tu

[emoji298]️Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii Mysiahin.
 
[emoji298]️ Finland must also hand over Leopard 2 battle tanks to Ukraine, should the decision be made in Europe at a wider level, reports MTV Uutis concerning the head of the Defense Committee Antti Häkkänen.

Häkkänen is convinced that every European country should participate to some extent in helping Ukraine.
 
[emoji298]️ The US will allocate 682 million dollars to the countries of the eastern NATO alliance for the purchase of weapons, says White House spokesperson Karine Jean-Pierre during a briefing.
 
Mna habari kwamba Soledar umeenda?

#BREAKING
#Soledar is practically liberated. the only Ukrainian troops present are hiding inside underground mine tunnels.
They will starve if they dont come out soon.
The end is near
#Ukraine #NATORussiaWar
Soledar remains under the control of the Defense Forces of Ukraine, - the Deputy of the Verkhovna Rada Committee on National Security, Defense and Intelligence Yurii Mysiahin
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Leo wanamgambo wa Ukraine wamechezea kichapo heavy mpaka wamesalimisha roho zao, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Screenshot_20230107-170602~2.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Hi Sasa sifa tuliambiwa Russia ameishiwa zana Cha ajabu anazidi kushusha mzigo position na hapo bado vita haijaanza hii Operation tu dah ,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
IMG_20230107_172227.jpg
IMG_20230107_172235.jpg
IMG_20230107_172232.jpg
IMG_20230107_172306.jpg
IMG_20230107_172352.jpg
IMG_20230107_172355.jpg
IMG_20230107_172357.jpg
IMG_20230107_172400.jpg
IMG_20230107_172421.jpg
IMG_20230107_172425.jpg

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mpaka sasa sielewi doctrine ya Russia ikoje kwenye kutumia air force kushambulia kusafisha njia. Nilishaandika humu nashangaa hawakufanya SEAD
Wanasema airforce yao ni kama extension ya artillery, marubani wao hutegemea Sana kupewa coordinate location za kushambulia na askari wao waliopo ardhini na hili huwa tatizo na ni rahisi sana kukosea pale target inapohama.......haiwezi kabisa kutrack target na kushambulia peke yake (independently) kama ilivyo kwa US au nchi nyingine za NATO.
 
Hiyo ndio kazi ya MRAP kulinda Askari,ikikutana na landmine gari linaweza haribika kabisa lkn wanajeshi wote wapo salama. MRAP moja inabeba mpk wanajeshi 12,imagine kupoteza wanajeshi 12 kwa landmine moja!!!!!!!!

Hizo zilizoharibika hapo hua zinavutwa zinaenda kutumika kama spare kwa zile ambazo bado ni nzima.
Na ndo maana nimekuambia wazipeleke coz itawalinda askari.
Ila wakitoka hakuna ulizi tena.
Usisahau
 
Mkuu hilo linajulikana wazi,lakini wakati huo wote Ukraine hawakupewa offensive weapons kama Artillery au rocket systems wamekuja kupewa hivi juzijuzi tu baada ya jamaa kuvamia. Wakati huo wote walipewa silaha za kujilinda ndogondogo kama Ant tank missile na short range ant aircraft kama Stingers,nk.

Kama ni silaha hata Ukraine walishakamata silaha nyingi Sana za Urusi

7 years ago

Angalia wamarekani WALIANZISHA kumimina siraha tangu 7 years ago bro,
HIZO siraha walifundishwa namna ya kutumia tangu siku nyingi sana bro. We unafikili siraha unampa mtu leo kesho wanaitumia mkuu
 
Soma description kwenye video yako, wameandika kabisa "non-lethal equipments".
Screenshot_2023-01-07-19-11-39-141_com.google.android.youtube.jpg
 
Back
Top Bottom