Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

NATO AKILI HAWANA KABISA , YANI WANAPELEKA SIRAHA MPAKA AFU WANASEMA SIRAHA GANI ZINAENDA YANI WALE ZERO BRAIN KABISA.
NA PAMOJA NA USA.
KWANZA SIRAHA AAMETOA MPAKA IDADI NA SINA UNAHAIKA KAMA ZINATOSHA . MAANA ZILIENDA MIZINGA KUTOKA USA, CANADA, FRANCE, POLAND NA KWENGINE ILA WAPI.
DAAA CHEZEA URUSI WEWE.
Mkuu,rekebisha mwandiko!Namna hii inaumiza macho!
 
Wakuu mbona naanza kuhisi kuna mchezo unachezwa. Nahisi NATO na UN walifanya analysis mapema wakaona Urusi atavamia wakaamua wasubiri wapate justification ya kujibu na wasubiri kuona anaungwa mkono na nani. Sasa Putin yuko na vidagaa vya Chechen na Belarus, hana mbabe yeyote anayeunga mkono. Kwa sasa wanaamua watoe silaha kwa Ukraine.
China ana akili nzuri Sana, kujizuia kwao kuipa silaha Urusi wamecheza huu mchezo vizuri mno.

Au NATO wamejishtukia baada ya kuona Ukraine imegoma kujisalimisha, response ya serikali na raia ni nzuri na wana spirit ya kupambana. Kwahiyo hata wakitoa silaha watumiaji wapo.
Hapo awali walisita mno kutoa silaha kasoro Poland Ila Sasa wanashindana kupeleka silaha.
 
Kwanini Urusi imeshitukiza Uvamizi? Walisema hawatavamia lakini wakavamia,huoni waliogopa Jeshi la Ukraine kujipanga na ndio maana wakateka maeneo mengi faster. Lakini Leo ni siku ya 3 bado Kievu imeshindikana kutekwa. Baadhi ya Kambi za Jeshi za Ukraine Zimekombolewa.
Japo mvamizi alikurupuka ( inasemekana askari wengi wavamizi hawakujua mpaka dakika ya mwisho kuwa wanaenda vitani).....

Lakini alianza vizuri Sana siku ya kwanza ya uvamizi aliteka maeneo mengi mno kwa kasi Ila Vita kama chess tu, mchezo umegeuka kabisa
 
Zina tofauti gani na vifaru vya kawaida ? Au ni kusafirisha tu askari na kutoa 'cover up' kwa infantry ?
Ni heavy zaidi Kama hizo Bradley but Humvees Ni za kawaida. Hizo mashine zote zikikutana na Konet ATGM Hakuna usalama.
Pia zikikutana na amunition kutoka Su 25, su 34, ama gunship ka 52 hazitatoboa.
Nb.
Tusubiri na kuona.
 
Ila kwenye hii vita nimezikubali zile Bushmaster za Australia.

Hata hizi MRAP za Mmarekani,kuna video nimeona mahali hiyo MRAP imekanyaga mine ikalipuka lkn wanajeshi wote wametoka salama salimini.
Hapo hatoki mzima mtu baba.
Screenshot_20230108-115651-01.jpg
 
Ina maana Warusi wanategemea tu missiles na drone ? Airforce yao mbona kama haisikiki tena?...ndege zote zile karibu 1000 inakuaje wanashindwa kumiliki anga la adui mpaka leo huko AD za adui zinazidi kuongezeka ?

Inasemekana 'military doctrine' ya Russia airforce imechangia wao kushindwa (japo bado sijachimba Sana)..
Axel Lloyd
Russian airforce Ni pamoja na uwepo TU 160 , TU 95, TU 22 zikirusha makombora kutoka Russia kuelekea Ukraine.
Drone pia Ni airforce ya Urusi. Ninashangazwa na Jambo la we'we kusema Russian airforce Ni Kama haipo.
Nb.
Helicopter pia Ni part ya airforce ndo maana ka 52, mi 28 ziko vitani kila siku.
 
Ebu labda muulize yeye anataka mpaka wafanye nini.au kuwe na base ya ndege juu ya anga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Russian airforce Ni pamoja na uwepo TU 160 , TU 95, TU 22 zikirusha makombora kutoka Russia kuelekea Ukraine.
Drone pia Ni airforce ya Urusi. Ninashangazwa na Jambo la we'we kusema Russian airforce Ni Kama haipo.
Nb.
Helicopter pia Ni part ya airforce ndo maana ka 52, mi 28 ziko vitani kila siku.
Hua. Me siwaelewagi Hawa watu wa upinde ..cjui wanataka ukraine ipgijwe ndio waone inapigwa ...fact zote wanafungia macho wao wako na ubishani wa kitoto kabisa ...urusi inacheza na air space ya Ukraine kila leo hawaoni ..
 
Back
Top Bottom