Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mpaka kufikia mwezi June, idadi ya warusi wanaolambishwa mchanga itagonga laki mbili
1673173580791.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian airforce Ni pamoja na uwepo TU 160 , TU 95, TU 22 zikirusha makombora kutoka Russia kuelekea Ukraine.
Drone pia Ni airforce ya Urusi. Ninashangazwa na Jambo la we'we kusema Russian airforce Ni Kama haipo.
Nb.
Helicopter pia Ni part ya airforce ndo maana ka 52, mi 28 ziko vitani kila siku.
Hizo bomber zinashambulia kutokea Urusi ?..ina maana hawana udhibiti tena wa anga la Ukraine, imekuaje nchi yenye ndege Vita zinazofika 1000 kushindwa kudhibiti anga la adui ?..

..kukosa udhibiti wa anga ndio kumeigharimu pakubwa Urusi mpaka sasa hata kushindwa kuzuia ile counter offensive ya Ukraine kule Kherson au kufanya advance nzuri.
 
Hizo bomber zinashambulia kutokea Urusi ?..ina maana hawana udhibiti tena wa anga la Ukraine, imekuaje nchi yenye ndege Vita zinazofika 1000 kushindwa kudhibiti anga la adui ?..

..kukosa udhibiti wa anga ndio kumeigharimu pakubwa Urusi mpaka sasa hata kushindwa kuzuia ile counter offensive ya Ukraine kule Kherson au kufanya advance nzuri.
Sasa ndege zitashambuliaje kutoka urusi?ndege zinaenda Ukraine kushambulia na kurudi urusi.
 
Hua. Me siwaelewagi Hawa watu wa upinde ..cjui wanataka ukraine ipgijwe ndio waone inapigwa ...fact zote wanafungia macho wao wako na ubishani wa kitoto kabisa ...urusi inacheza na air space ya Ukraine kila leo hawaoni ..
Watu wa Rainbow akili watoe wapi mkuu,mtu Kama anaacha kutumia tundu halali lenye utelezi swaaafi anang'ang'ania kutumia tundu la kutolea maji taka akili atazitolea wapi?
 
Where is the world going?
[emoji1244][emoji3543] [emoji1244][emoji3543]

1-The United States has confirmed that all countries in the world, in order to establish good relations with the great powers, must accept same-sex marriage (woman/woman or man/man). [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
2- Germany has just signed the law that declares that there is no more incest, that is to say: brother and sister can get married, mom and son, dad and daughter, etc. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
3-The city of Miami is now proclaimed the city of purchase of public sex. That means: on the way, to church,
at the mosque, at the market, at the football field, if you need sex you can enjoy it at any time without any problem.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
4-Canada has allowed bestiality (sex with animals) [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
5- In Spain: pornographic films
are allowed in high school and universities. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
6- The authorization of the prostitution of minors is given. Marg Luker states that any young girl at the age of 10 who feels sexual pleasure,
no one should defend her from
find out how his body works.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
7- Finally the USA allowed the Satanic churches to be opened publicly.
Kina Proved tutawapinga popote pale
 
Hizo bomber zinashambulia kutokea Urusi ?..ina maana hawana udhibiti tena wa anga la Ukraine, imekuaje nchi yenye ndege Vita zinazofika 1000 kushindwa kudhibiti anga la adui ?..

..kukosa udhibiti wa anga ndio kumeigharimu pakubwa Urusi mpaka sasa hata kushindwa kuzuia ile counter offensive ya Ukraine kule Kherson au kufanya advance nzuri.
Hata hivyo bombers za kirusi Kama TU 95 Zina uwezo wa kurusha makombora hasa nyuklia mpaka km 7000 zikiwa Uwanja wa nyumbani .
Hivyo basi Russia ana advantage kubwa zaidi ya kushambulia kutoka kwao kuliko kuingia deep inside na expensive nuclear bombers.
Kazi hiyo inafanywa na su 25, ka 52 na mi 28.
Nb.
Russia kushindwa kucontrol anga la Ukraine Ni kwasababu ya activation ya mifumo ya Ulinzi wa anga iliyoongezeka hasa kwa misaada ya west.
 
Zinatumika drone za muajemi na missiles tu (ambazo ni sehemu ya airforce kwa mujibu wa Sela Son ) ila ndege zimepaki tu kwa sasa kuhofia AD za Ukraine.
Drone Ni airforce pia Kama nilivyomtaja but kusema Hakuna ndegevita kule Ni uwongo wa dhahiri.
Russia kule Ukraine Wana Su 25, su 34, na hata ka 52 na mi 28 zote maalum kwajili ya ground target.
Nb.
Ndege Kama su 35 Ni nadra kutumika huko japo Mara kadhaa zimetumika Happ nyuma kwasababu Ukraine Haina competitive airforce dhidi ya Russia, hivyo basi air to air competition itatokea dhidi ya Nani?
Su 35 dhidi ya block A mig 29?
Dhidi ya su 27 ub?
 
Secretary of the National Security and Defense Council (NSDC) of Ukraine Oleksiy Danilov claims that Kiev is being offered a settlement according to the "Korean scenario".

We are now being offered the Korean version. The so-called conditional "38th parallel". Here are such Ukrainians, and here are not such Ukrainians… I know for sure that one of the options that can be offered to us is the 38th parallel," Danilov said on the telethon

😛😛😛😛
 
Deputy Minister of Defense of Ukraine Anna Malyar assessed:

1)The situation in the east of Ukraine as "difficult"It is especially difficult in Soledar

2)She also said that most of the Ukrainian army today is mobilized, that is, unprofessional military.



kuna video nimeiona ukraine wamepeleka vitoto vidogo uwanja wa vita
 
Back
Top Bottom