Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Vyombo vya habari vya magharibi hawatangazi hivi vitu daaa.Breaking newzView attachment 2473618
Wanataka usikie wanachotaka wao usikieVyombo vya habari vya magharibi hawatangazi hivi vitu daaa.
Ila ile ya 89 wa URUSI walitangaza.
Aljazeela na France international wanajitaid sana kubance lakini hiyo habari siioni uko..,kwa ufupi ni kwamba urusi Bado anatafta kwa nguvu dawa ya kuponya maumivu ya kile kipondo Cha makiivka,Vyombo vya habari vya magharibi hawatangazi hivi vitu daaa.
Ila ile ya 89 wa URUSI walitangaza.
Secretary of the National Security and Defense Council (NSDC) of Ukraine Oleksiy Danilov claims that Kiev is being offered a settlement according to the "Korean scenario".
We are now being offered the Korean version. The so-called conditional "38th parallel". Here are such Ukrainians, and here are not such Ukrainians… I know for sure that one of the options that can be offered to us is the 38th parallel," Danilov said on the telethon
😛😛😛😛
Mmebakiza vita ya kwenye makaratasi ila uwanjani hamna mnachofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].Ile referendum iliishia wapi wakuu.., maana naona warusi wanaendelea kushushiwa kipondo na kupukutika haswa [emoji848]View attachment 2473737
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila warusi Kwa Chai....haya walete picha bhas tuone [emoji23]. Inaelekea tukio la Makiivka limewaumiza Sana sasa wanatafuta njia za kupoza hasira wananchi waoBreaking newzView attachment 2473618
Mbona hizo video hamzileti hapa [emoji23][emoji23][emoji23]Nimeona video Ukraine Hali ni mbaya
Kwa iyo nyie mlileta picha au mkifanya nyie ni sawa akifanya Urusi basi sio kweli.au nyie maroboti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ila warusi Kwa Chai....haya walete picha bhas tuone [emoji23]. Inaelekea tukio la Makiivka limewaumiza Sana sasa wanatafuta njia za kupoza hasira wananchi wao
Tuma salamu kwa watu watatuUnawazungumziga hawa waliokimbia bakhmut
Tena Ile walianza kupost warusi wenyeweee kwenye Telegram channels zao.Kwa iyo nyie mlileta picha au mkifanya nyie ni sawa akifanya Urusi basi sio kweli.au nyie maroboti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walianza kupost nini ebu weka waziTena Ile walianza kupost warusi wenyeweee kwenye Telegram channels zao.
Mbona aljazeela wanajitaid sana kubance lakini hawajatangaza hiyo propaganda yenu?Wanataka usikie wanachotaka wao usikie
Unauhakika huwa wanabalance?Mbona aljazeela wanajitaid sana kubance lakini hawajatangaza hiyo propaganda yenu?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app