Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya moto
IMG_20230108_171652.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aljazeela na France international wanajitaid sana kubance lakini hiyo habari siioni uko..,kwa ufupi ni kwamba urusi Bado anatafta kwa nguvu dawa ya kuponya maumivu ya kile kipondo Cha makiivka,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Alisikika Mwanamgambo wa Ukraine toka Mwananyamala kwa mama Zakaria

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Pro russia kwa kujitekenya na kucheka hawajambo asee.

Tupeni ushahidi hata wa picha tu wakuu achana na video ili tuwaamini.
 
Russia kushindwa kucontrol anga la Ukraine Ni kwasababu ya activation ya mifumo ya Ulinzi wa anga iliyoongezeka hasa kwa misaada ya west.
Alishashindwa hili toka siku za mwanzo za uvamizi wakati Ukraine ana man pad chache,S-200 na S-300 tu.

mifumo kimagharibi iliyopewa Ukraine ndio imeifanya Russia kutegemea zaidi drone na missiles.

Ndege Kama su 35 Ni nadra kutumika huko japo Mara kadhaa zimetumika Happ nyuma kwasababu Ukraine Haina competitive airforce dhidi ya Russia, hivyo basi air to air competition itatokea dhidi ya Nani?
Su 35 dhidi ya block A mig 29?
Dhidi ya su 27 ub?
Huu ndio udhaifu wa 'Russia airforce' maana walishindwa kuchukua udhibiti wa anga kwa mpinzani dhaifu kwake...
Bomber's zikiwa inside Russia
Why isiwe ndani ya Ukraine ? ...ina maana anga la Ukraine sio salama tena kwa ndege na helicopter zao.

Hivi Vita vimegeuka 'stalemate' kwa Urusi maana hawezi tena kusonga mbele zaidi ya alipofikia sababu hana air superiority, tuongoje counter offensive za Ukraine miezi ijayo tuone kama Urusi ataweza kuzuia kama hana airforce nzuri.

T14 Armata Axel Lloyd
 
More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the Ukrainian-held city of Kramatorsk in the Donbass, Russia’s Defense Ministry has said.
The bombardment on Sunday was a “retaliation operation” carried out in response to “a criminal attack” by Ukraine on a temporary housing area accommodating Russian servicemen in the city of Makeyevka in the Donetsk People’s Republic (DPR) on New Year’s night, the ministry said in a statement.
Over the past 24 hours, the Russian military has managed to uncover and confirm the location of Ukrainian troops in Kramatorsk in the DPR, the statement read. This data revealed that dormitory No.28 in the city was hosting more than 700 Kiev soldiers, with 600 more staying in dormitory No.47.
“As a result of a massive missile attack on these temporary housing areas of the Ukrainian military’s units, more than 600 Ukrainian servicemen were killed,”the ministry said.
On January 1, at precisely 0:01am, Ukrainian forces targeted a temporary housing area containing Russian troops in the city of Makeyevka. Six missiles from a US-supplied HIMARS multiple rocket launcher were fired at the building. Two of them were intercepted by Russian air defenses, but four made it through, causing massive damage to the facility. The death toll from the strike has reached 89, according to the Russian Defense Ministry
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
First Ship With ‘Unmatched’ Russian Hypersonic Missiles Enters Combat Duty

The Russian Navy frigate ‘Admiral Gorshkov,’ has become the first warship carrying Zircon hypersonic cruise missiles to begin routine combat service with Putin saying that the state-of-the-art weapon has no foreign analogues.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Alishashindwa hili toka siku za mwanzo za uvamizi wakati Ukraine ana man pad chache,S-200 na S-300 tu, hii mifumo ya kimagharibi ndio imeifanya Russia kutegemea zaidi drone na missiles.


Huu ndio udhaifu wa 'Russia airforce' maana walishindwa kuchukua udhibiti wa anga kwa mpinzani dhaifu kwake...

Why isiwe ndani ya Ukraine ? ...ina maana anga la Ukraine sio salama tena kwa ndege na helicopter zao.

Hivi Vita vimegeuka stalemate kwa Urusi maana hawezi tena kusonga mbele zaidi ya alipofikia sababu hana air superiority, tuongoje counter offensive za Ukraine miezi ijayo tuone kama Urusi ataweza kuzuia kama hana airforce nzuri.

T14 Armata Axel Lloyd
S 200/300 ni mifumo ya magharibi?nafuu unyamaze tu
 
Hizo bomber zinashambulia kutokea Urusi ?..ina maana hawana udhibiti tena wa anga la Ukraine, imekuaje nchi yenye ndege Vita zinazofika 1000 kushindwa kudhibiti anga la adui ?..

..kukosa udhibiti wa anga ndio kumeigharimu pakubwa Urusi mpaka sasa hata kushindwa kuzuia ile counter offensive ya Ukraine kule Kherson au kufanya advance nzuri.
Inavyoonesha mwaka huu Ukraine atapewa Fighters na US
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Jamaa kaka mkao wa kunyanduliwa.
JamiiForums32384915.jpg
 
Mmebakiza vita ya kwenye makaratasi ila uwanjani hamna mnachofanya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].


Mataifa zaidi ya 60 zidi ya mwanaume mmoja.
Hata hivyo Pro-Russia wenzangu munajitahidi kutoa elimu stahiki kwa Pro-NATO. Fikiria uwezo wa mtu anae beza fact ya uwezo wa RUSSIA (taifa moja) linalo pigana na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu duniani. Lakini muna ng'ang'ana as if wana hoja!
 
Back
Top Bottom