Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni kauli kutoka kwa mtu mhuni na a mentally deranged person..kujitekenya ndiyo Nini?! Watu wanakufa huko halafu wewe unasema eti watu wanajichekesha na kujitekenya?! What is the meaning of that?! Wewe unadhani wote humu wako kama wewe na wenzio wachache mliobobea kuleta habari za uzushi?! Iwe no kwa Askari wa Ukraine au Russia mtu makini hawezi kufurahia vifo vya Askari 600..
Maumivu yakizidi muone daktari.., ukweli ni kwamba urusi anajaribu kuficha aibu ya kipigo Cha mwaka mpya,,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Mwanamgambo wa Ukraine akitoroka mapigano na toroli lake huko Bakhnut baada ya Russia kushusha mvua ya motoView attachment 2473816

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mi nawaambia bakhmut hali mbaya uko
 
Hata hivyo Pro-Russia wenzangu munajitahidi kutoa elimu stahiki kwa Pro-NATO. Fikiria uwezo wa mtu anae beza fact ya uwezo wa RUSSIA (taifa moja) linalo pigana na mataifa zaidi ya 30 yenye nguvu duniani. Lakini muna ng'ang'ana as if wana hoja!
Tukiwaambia NATo uwezo mdogo hawahamini

Russia kapigana na siraha zilizotoka nchi TOFAUTI tofauti.
Sio kazi ndogo.
 

No obvious signs of casualties where Russia says soldiers killed: Reuters reporters​




Ila Russia wamekuwa waongo sana...
Tatizo ni kwamba wanatumia nguvu kubwa kuwaaminisha watu kitu hambacho ni dhairi na kinaonekana kwa macho ya kawaida tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
HIKI NI KITUKO CHA MWAKA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hivi hawa Urusi wanadhani watu wote ni matahira eeeeh!!!![emoji23][emoji23][emoji23]

Journalists visited the place in Kramatorsk where Russians claimed to have hit 600 Ukrainian soldiers, but aside from 2 holes in the ground in front of an empty building (yes, they even missed that) nothing is there.

I expected nothing else than Russian lies. #Kramatorsk

View attachment 2473861View attachment 2473862
Mkuu kwani ufaji wa bomb mpaka likukatekate kishindo kinatosha kuua vizuri tena kama wewe Yanga/mwananchi mlio wa risasi ya g3 ukiwa huna taarifa ya kupigwa inatosha kukuua.
 
Hata hivyo bombers za kirusi Kama TU 95 Zina uwezo wa kurusha makombora hasa nyuklia mpaka km 7000 zikiwa Uwanja wa nyumbani .
Hivyo basi Russia ana advantage kubwa zaidi ya kushambulia kutoka kwao kuliko kuingia deep inside na expensive nuclear bombers.
Kazi hiyo inafanywa na su 25, ka 52 na mi 28.
Nb.
Russia kushindwa kucontrol anga la Ukraine Ni kwasababu ya activation ya mifumo ya Ulinzi wa anga iliyoongezeka hasa kwa misaada ya west.
Kwanini Russia alitumia bombers ndani ya Syria zikadondosha mabomu, alikuwa na airbase pale Latakia. Si angetumia hizo missiles unazosema za 7000km range. Missiles are expensive ndio maana pro NATO walivyotutisha na Kinzhal hypersonic missile niliwaambia shangwe yao haitadumu Russia haiwezi afford kutumia very expensive missiles kila mission. Tangu wafyatue siku moja hadi leo sijawahi sikia habari za Kinzhal.

Su-25 ni ground attack, inafanya kazi yake vizuri, Ka-52 ni attack helicopter na ina performance ya chini navyoiona. Sababu kubwa ni kutotumia smart munitions wanapenda sana kutegemea unguided rockets na anti tank missiles zao zina range ndogo. Hizi ndege mbili sio air superiority, multirole wala omnirole kama Su-30, Mig-35 na jamii zake. Mi-28 siioni sana sijui kwanini.

Na si kweli kusema Russia inashindwa control ya anga la Ukraine kisa air defence systems za misaada. Hizo systems zimeanza letwa Russia ishachoka ilipoanza kuharibu miundombinu kwa makombora na nyingi zililetwa suicide drones za Iran zilipoanza kuingia. Miezi ilipita kabla Ukraine haijapokea AD system hata moja.

Suppression of Enemy Air Defense (SEAD) mission huanza kabla hata mwanajeshi mmoja hajakanyaga ardhi ya adui. Russia sio wendawazimu kusubiri waanze vita, wapigwe misururu yao kutoka Belarus, wafanye retreat kutoka Kiev na Kherson, wafyatue makombora miezi kadhaa ipite NATO waanze kutoa AD systems kisha ndio Russia waseme hatuwezi fanya SEAD kisa systems za misaada. Huo uwezo haupo, haupo kabisa. Wangekuwa na uwezo huo ndio jambo la kwanza wangefanya. Badala yake siku ya kwanza walifyatua makombora kama 100 hivi ambayo accuracy yake na effectiveness sio sawa na attack ya jets, pale jets zilitakiwa zifuatie kupunguza kabisa enemy air defence
 
Ni kauli kutoka kwa mtu mhuni na a mentally deranged person..kujitekenya ndiyo Nini?! Watu wanakufa huko halafu wewe unasema eti watu wanajichekesha na kujitekenya?! What is the meaning of that?! Wewe unadhani wote humu wako kama wewe na wenzio wachache mliobobea kuleta habari za uzushi?! Iwe no kwa Askari wa Ukraine au Russia mtu makini hawezi kufurahia vifo vya Askari 600..
Ikiwa kama ni vifo vya wavamizi na waonevu(Russians) wanapata stahili yao!
 
Warusi wananipa furaha sana kwa kweli.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635].

Nipo tayari hata kukana uraia wangu kwa ajiki ya Warusi.
Screenshot_20230108-201409_Twitter.jpg
 
Mkuu kwani ufaji wa bomb mpaka likukatekate kishindo kinatosha kuua vizuri tena kama wewe Yanga/mwananchi mlio wa risasi ya g3 ukiwa huna taarifa ya kupigwa inatosha kukuua.
Sawa Mkuu tumekubali kwamba wanajeshi 600 wameuawa kwa kishindo cha Bomu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom