ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Namba gani wanazotoa na kila kitu kama hakijatangazwa ni Ukraine hawatangazi kwasababu wanaona aibu, nyinyi mnakuja mbio nakusema nonsense.Mbona inajulikana hata warusi wanapoteza Maisha na namba zikatolewa na jeshi la urusi.
Juzi vyombo vingi vilitangaza kwamba urusi imepoteza wanajeshi nyinyi ndio wakwanza kupinga, baada ya urusi kujipunguzia idadi ya vifo na nyinyi mkakubalj kwamba amepoteza.