Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wiki Sasa wanaongea "President advisers"...

Yeye Zelensky yupo wapi?
#Meme
IMG_20221020_223605_594.jpg


Daaah [emoji51][emoji34][emoji35][emoji22][emoji22]
Yaani haka katoto Me
Naam bro, ni "Me" tena mdogo mno wa miaka 11...
 
Hiyo ramani ya Rybar hainoeshi popote Ukraine walipozingirwa. Hawakuanzisha bridgehead kwamba imezidiwa, wako kwenye war zone na contact line yao iko within Russian artillery range.

Vivo hivyo na kwa Russia contact line yao iko within Ukrainian artillery range.

Sioni nani yuko nyuma ya mto na kama hakuna mto yeyote anayezidiwa anafanya retreat.

Hakuna aliye kwenye pocket sasa wanazingirwaje
Wanazingirwa hivo hivo mkuu, hii ndio Russia, hata kama wewe uko nje unazingirwa na wa ndani, habari yoyote kutoka Kremlin haina makosa.
 
Mkuu nakubali kabisa- Nimekuta hapa mara kadhaa michango kuhusu droni nikauliza mara kwa mara kuhusu facts jinsi gani droni hizi zinavyoathiri mwendo wa mapigano - mbali na kutisha watu raia. Sijaona jibu. Ila wengine wanaeleza "ni lazima" droni zitaathiri mengi... Nisipokosei wale wanaosema hivi wana imani kubwa, ila hakuna aliyeleta facts nilizotafuta: uharibifu wa muda kwatika vituo vya umeme, uharibifu katika nyumba za watu, kuua raia wachache unabadilisha nini katika mwendo wa mapigano???
Ww jamaa mbona umekomaa na hoja ya drone hazina faida yeyote.

Kama hujui umuhimu wa miundombinu ya umeme wakati wa vita basi ww ni kilaza.

Angalia ramani ya vita tangu hizi drone zianze kutumika jinsi ilivyo badirika na bado inaendelea kubadirika kila siku majeshi ya Ukraine yamerudishwa nyuma maeneo mengi na maeneo mengine wameshindwa kusonga mbele.

Jana tu huko kherson majeshi ya Ukraine yalijaribu kusonga mbele kilicho wakuta wao ndio wanajua.

Nenda tweet na telegram video zipo kibao zinazo onesha kazi ya hizo drone jinsi zinavyo angamiza vifaru na rada magari ya kijeshi ya Ukraine.
 
Wapuuzi nyie nyote mnaoshadadia vita Russia or Ukraine kwani kwani kwenu huku Acha wamalizane kabisa . Toilet paper ya kufutia mikundu yenu inawashinda . Wadanganyika mlo mmoja shida . Mnakuja kujaza matope hapa . Mngekuwa na akili za kupigana HAYA MATOZO tungeshinda , tuacha huu makumaku wa Russia . Maanina kabisa .
Kapime akili kwani wao ndo wameleta vita,mbona unatukana mashabiki badala ya kutukana wachezaji.
 
Hahahaha kwahiyo wewe unajua zaidi kuliko NATO ambao wanafatilia nyendo za majeshi ya Urusi 24/7 Kwa surveillance planes zinazoruka black sea kila kukicha na satellite kibao!!!!? Kwani hata kule Kharkiv ilikuaje si mlikuja na visingizio eti mtego,mtego gani huo usioteguka[emoji23][emoji23][emoji23]

Eeh bwana eeh, kakwambia nani kwamba NATO/US ndilo jeshi ambalo ni Alpha na Omega wa hapa Duniani majeshi mengine ni mapandikizi tu hawana lolote - halafu na nyinyi mna amini publicity stunts za MSM za magharibi bila ya kutafakari kwamba uwezo wa NATO kijeshi unakuwaga highly inflated kama nilivyo sema tangu mwanzo na mifano tunayo sana.

Sisi Binadamu tu watu wa ajabu sana, sasa unacheka maoni yangu kama dharau au - basi,leta maoni yako mbadala lakini sio anajaribu kuzodoa watu kwa kuwa mna tofautiana kwenye maoni.

Nilicho sema hapa yalikuwa ni maoni yangu yaliyo tokana na kuongea na marafiki zangu wajuzi wa mambo ya tactics za vita wapo huko Ulaya na Merikani - siongei mambo ya kubuni hapa - marafiki zangu wa miaka mingi kwenye Industry ya uandishi wa habari wana access ya embeded journalists kwenye frontline huko Ukraine na kwingineko - sina shaka baadhi yenu mtanibishia kwa kuwa ni mbantu mwenzenu, hilo tu, mnafikiri siwezi kuwa na connection na baadhi ya my collegues nilio wahi kusoma nao,kufanya kazi na kuishi nao - ufafanuzi na maoni yao mara nyingi huwa ni ya kweli kwa asili mia kubwa, unapo taka ku-share habari hizo na members wenzako wengine hilo hawalipendi kabisa !!!
 
A point for debate! Naipenda sana hii duo inayo onekana kwenye hii video. Aliyesimama na aliyekaa jirani yake.

View attachment 2393122

[emoji779]️"Why don't we have a problem with the fact that the US and NATO terrorize people in Afghanistan, Iraq, Libya? Or do we have a problem with the fact that the US + EU help the Saudis, the UAE to terrorize Yemen? Why do we have no problem with the fact that Israel terrorizing the Palestinians?

MEPs from Ireland are traditionally the most captivated by the idea of justice.

Apparently the history of the island contributes to this ...
GOD bless this Man.
 
Back
Top Bottom