Naona wanalilia diplomasia [emoji3], hii vita ishamchosha US ila sasa kutoka wanaona aibu[emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji631] [emoji635] [emoji1255] USA do not see from the Russia's willingness to diplomacy on Ukraine–Antony Blinken.
In his opinion,Russian President Vladimir Putin showed "no interest"in participating in "constructive diplomacy" with Ukraine after 8 months of conducting a Special Military Operation.
Ha ha haa🤣🤣😂😂🤣🤣🤝
Walitegemea kuweka vikwazo vya Kila aina,vikwazo ambavyo havijawahi kabisa kuwekwa kwa nchi yoyote duniani,vikwazo vya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,ingemchosha Urusi.
Walitegemea kupeleka silaha za mabilioni ya fedha,silaha za Kila aina,silaha kutoka Kila nchi ya NATO na isiyo ya NATO, ingerefusha vita.
Walitegemea haya yote Urusi ingependekeza vita iishe kwa njia ya kidiplomasia,lkini🤣🤣🤣😂😂😂Urusi ndo kwanza inawaambia wako level ya pili ya operation.kukata mawasiliano na kuharibu miundombinu.
Kiuchumi ndo kwanza vikwazo vinawafilisi wao wenyewe,
Kisiasa ndo kwanza luundo la nchi zinagombea kujiunga kwenye umoja ulioanzishwa na Urusi BRICS ama umoja alimo CSTO..
Iko hivi,USA ni adui mkubwa wa Urusi,lakini Urusi Hana chuki na USA.
Kila alipo USA hapa duniani,Urusi ana jicho lake.
Baada ya kuona USA ana interst sana na former Soviet states especially Ukraine,Urusi walielekeza macho Yao yote hapo,kwa hiyo Kila walichokua wakifanya USA NATO hapo Urusi walikua makini kutazama kwa macho Yao "maalum".
Hivyo baada ya Urusi kunusa hatari nao wakaanza maandalizi ya kutibua mipango kabla haijafika kuleta madhara.walijiandaa kwa Kila kitu kutokana na tabia za USA (vikwazo,fitina,kutengwa,uongo,silaha,kukupa jina baya,na Kila aina ya ushenzi).
Ndio mnaona badala ya kutengwa,kuchukiwa,kuanguka kiuchumi,kuchoka kijeshi na Kila aina ya ushenzi ndo kwanza Russia inaungwa mkono,pesa yake imepata umaarufu,uchumi haujatetereka kama ilivyotarajiwa,inapata marafiki wapya,inaongeza mashambulizi kuliko mwanzo.
Haya yote yalifanyiwa upembuzi yakinifu na chanjo iliandaliwa.
Msione hivyo mkadhani Urusi wamebahatisha,ni kazi za Great thinkers.
Unaweza kudhani hawakuipigia mahesabu NATO,no,walijua kabisa NATO watasaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ndipo Russia wakaanza na diplomasia kuhusu kuheshimu makubaliano ya Minsk,luziomba NATO zisiiingize Ukraine kwa NATO, na Kila aina ya diplomasia,lkn wakamdharau.
Baada ya kuona Wana kiburi kaingiza jeshi, na nakuhakikishia kua,Russia hii vita, hatarudi nyuma.
Baada ya kuona hayumbi Sasa wanaangalia namna ya kumrudisha mezani.
Kwa kuhitimisha,ni kwamba, akili ya Chess imetumika pakubwa kudili na west.