Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuna watu humu waliwahi kubeza allies/washirika wa Urusi.
Walibeza Iran,north Korea ,china na baadhi ya washirika wa Urusi.

Nadhani baada ya drone za Iran kuleta shida Ukraine na kupelekea NATO kuzikadili ,naamini Sasa watabadili mashaka Yao.

Unajua Iko hivi,inaweza ikawa washirika wa Urusi wasiwe na uchumi Mzuri sana hasa kutokana na vikwazo,lakini wakawa wako vizuri sana kijeshi kutoka na kusakamwa sana na USA kwa vitisho vya kuvamiwa,mfano North Korea na Iran,hivyo kupelekea kuelekeza nguvu zao na akili zao zote kufanya tafiti na kujitengenezea silaha Bora kabisa kwa ajili ya kujilinda,na haya Sasa kuwafanya wawe na uwezo sawa kabisa katika teknolojia za silaha sawa kabisa ama zaidi na nchi za west.
Sio Siri,Iran na Korea Kaskazini Wana uwezo mkubwa wa kijeshi kwa Sasa kuliko baadhi ya nchi nyingi za west.
Drone za Iran zimewafumbua macho.je silaha nyingine za Iran zikoje?
Na unaambiwa hizo drone ni daraja la tatu kwenye viwango vya drone za kamkaze za kiiran ina maana kuna daraja la pili na la kwanza.
 
Kuna pro Russia bado wanakomaa humu .., tukiwaambia kwamba super pawer wa mchongo ana Hali mbaya huko kheson hawaelewi,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yan wamebanwa haswa na kutoka kherson lazma wavuke daraja na daraja lilishabomolewaga kitambo itabid waache vifaru na vifaa vingine vizito maana panton ndilo linaoperate pale
 
Ha ha haa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1666]
Walitegemea kuweka vikwazo vya Kila aina,vikwazo ambavyo havijawahi kabisa kuwekwa kwa nchi yoyote duniani,vikwazo vya kiuchumi,kisiasa na kiutamaduni,ingemchosha Urusi.

Walitegemea kupeleka silaha za mabilioni ya fedha,silaha za Kila aina,silaha kutoka Kila nchi ya NATO na isiyo ya NATO, ingerefusha vita.
Walitegemea haya yote Urusi ingependekeza vita iishe kwa njia ya kidiplomasia,lkini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi ndo kwanza inawaambia wako level ya pili ya operation.kukata mawasiliano na kuharibu miundombinu.
Kiuchumi ndo kwanza vikwazo vinawafilisi wao wenyewe,
Kisiasa ndo kwanza luundo la nchi zinagombea kujiunga kwenye umoja ulioanzishwa na Urusi BRICS ama umoja alimo CSTO..

Iko hivi,USA ni adui mkubwa wa Urusi,lakini Urusi Hana chuki na USA.
Kila alipo USA hapa duniani,Urusi ana jicho lake.
Baada ya kuona USA ana interst sana na former Soviet states especially Ukraine,Urusi walielekeza macho Yao yote hapo,kwa hiyo Kila walichokua wakifanya USA NATO hapo Urusi walikua makini kutazama kwa macho Yao "maalum".
Hivyo baada ya Urusi kunusa hatari nao wakaanza maandalizi ya kutibua mipango kabla haijafika kuleta madhara.walijiandaa kwa Kila kitu kutokana na tabia za USA (vikwazo,fitina,kutengwa,uongo,silaha,kukupa jina baya,na Kila aina ya ushenzi).
Ndio mnaona badala ya kutengwa,kuchukiwa,kuanguka kiuchumi,kuchoka kijeshi na Kila aina ya ushenzi ndo kwanza Russia inaungwa mkono,pesa yake imepata umaarufu,uchumi haujatetereka kama ilivyotarajiwa,inapata marafiki wapya,inaongeza mashambulizi kuliko mwanzo.
Haya yote yalifanyiwa upembuzi yakinifu na chanjo iliandaliwa.
Msione hivyo mkadhani Urusi wamebahatisha,ni kazi za Great thinkers.
Unaweza kudhani hawakuipigia mahesabu NATO,no,walijua kabisa NATO watasaidia kwa namna moja ama nyingine.
Ndipo Russia wakaanza na diplomasia kuhusu kuheshimu makubaliano ya Minsk,luziomba NATO zisiiingize Ukraine kwa NATO, na Kila aina ya diplomasia,lkn wakamdharau.
Baada ya kuona Wana kiburi kaingiza jeshi, na nakuhakikishia kua,Russia hii vita, hatarudi nyuma.

Baada ya kuona hayumbi Sasa wanaangalia namna ya kumrudisha mezani.

Kwa kuhitimisha,ni kwamba, akili ya Chess imetumika pakubwa kudili na west.

Viva RUSSIA
 
Hiyo ramani ya Rybar hainoeshi popote Ukraine walipozingirwa. Hawakuanzisha bridgehead kwamba imezidiwa, wako kwenye war zone na contact line yao iko within Russian artillery range.

Vivo hivyo na kwa Russia contact line yao iko within Ukrainian artillery range.

Sioni nani yuko nyuma ya mto na kama hakuna mto yeyote anayezidiwa anafanya retreat.

Hakuna aliye kwenye pocket sasa wanazingirwaje
Wewe utakuwa swarznegar na id yako. Inaonekana unajua vita sana.
 
Kuna watu humu waliwahi kubeza allies/washirika wa Urusi.
Walibeza Iran,north Korea ,china na baadhi ya washirika wa Urusi.

Nadhani baada ya drone za Iran kuleta shida Ukraine na kupelekea NATO kuzikadili ,naamini Sasa watabadili mashaka Yao.

Unajua Iko hivi,inaweza ikawa washirika wa Urusi wasiwe na uchumi Mzuri sana hasa kutokana na vikwazo,lakini wakawa wako vizuri sana kijeshi kutoka na kusakamwa sana na USA kwa vitisho vya kuvamiwa,mfano North Korea na Iran,hivyo kupelekea kuelekeza nguvu zao na akili zao zote kufanya tafiti na kujitengenezea silaha Bora kabisa kwa ajili ya kujilinda,na haya Sasa kuwafanya wawe na uwezo sawa kabisa katika teknolojia za silaha sawa kabisa ama zaidi na nchi za west.
Sio Siri,Iran na Korea Kaskazini Wana uwezo mkubwa wa kijeshi kwa Sasa kuliko baadhi ya nchi nyingi za west.
Drone za Iran zimewafumbua macho.je silaha nyingine za Iran zikoje?

Na kumbuka zile drone zina tech ya kawaida tu wakitoa zile konk itakuaje[emoji23]
 
[emoji1255][emoji777][emoji1134] — [emoji1255] Ukrainian President's Adviser: We are disappointed by Israel's decision not to transfer arms to Ukraine.

He also said that... The State of Israel chose to stand on the wrong side of history.

[emoji188][emoji188]

Yetu macho tu.
 
Shikamoo Putin...tayari umemuangusha tena waziri mkuu mwingine wa Uingereza, Liss Truss, aliyeingia kwa mbwembwe na mikwara madarakani😆😅🤣😇😇

Serikali ya Uingereza yaanguka tena ndani ya kipindi kifupi cha vita ya Ukraine baada ya ile ya Borison.

Hayo yote ni kutokana na Urusi kubana wese na gesi yake...hali imekuwa ngumu kwenye uchumi wa mabeberu...gharama za maisha zimepanda, raia wanachachamaa

Bado Macron...

SmartSelect_20221020-200912_Chrome.jpg
 
Shikamoo Putin...tayari umemuangusha tena waziri mkuu wa Uingereza Liss Truss aliyeingia kwa mbwembwe na mikwara[emoji38][emoji28][emoji1787][emoji56][emoji56]

Serikali ya Uingereza yaanguka trna kwa mara nyingine baada ya ile ya Borison.

Hayo yote ni kutokana na Urusi kubana wese na gesi yake...hali imekuwa ngumu kwa mabeberu...

Bado Macron..

View attachment 2393072
Huo ndio utaratibu waliojiwekea wenyewe huko uingereza, atakuja mwingine ataendeleza moto ule ule [emoji91][emoji91][emoji91]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji1255] Deliveries of weapons by Tel Aviv to Ukraine can play a cruel joke on Israel - weapons can be used against itself. This was stated by former Prime Minister Benjamin Netanyahu in an interview with MSNBC.

“With regard to [deliveries of Israeli] weapons to Ukraine, there is always the possibility - and this has happened more than once - that the weapons that we supply in a certain theater of operations will fall into the hands of Iran and end up being directed against us. For example, in the Golan Heights, where we are trying in every possible way to prevent Iran from creating a second Lebanese front, a second front against us, we often have to deal with Israeli-made weapons," Netanyahu said.

[emoji188]

But wanasema Iran ni so weak!
 
Iran Iran Iran.... Ukraine ishakuwa PR and testing ground for any one wishes kufanya hivyo! Biashara zinaendelea.

[emoji1173] [emoji1026] - Morocco’s 2023 military budget will be 18G$ (14% of the GDP) and Algeria’s will be 22G$ (12% of the GDP)

Morocco, in 2022, had a 10G$ military budget and Algeria had less than half of the new one.

There are also rumors Algeria will buy Iranian drones to help Polisario match Morocco’s TB-2s.
 
Uyu Kamanda Mpya hana Masihala Aisee

Hiyo mbona itakuwa cha mtoto - funga kazi itakuwa mapigano yatakayo fumuka huko KHERSON hivi karibuni, hata sisimizi hawatasalimika - yatakuwa mara kumi ya mji wa Allepo, nilishangaa kuona majeshi ya Zelensky, baadhi ya wanajeshi wa NATO/US na mamuluki wanajipeleka wenyewe kichwa kichwa kwenye mtego wa jeshi la Urusi huko KHERSON - walivyo mazezeta hata hawashtuki kwa nini jeshi la Urusi linahamisha kwa wingi raia wenye asili ya Urusi wanao ishi huko KHERSON na viunga vyake kwenda Urusi kwenyewe - Zelensky na majenerali wake wala hilo hawalistukii kabisaa - hawana habari kwamba jeshi la Urusi lina watayarishia jehanamu ya hapa Duniani ili liwe fundisho tosha kwa majeshi ya NATO na kiranja wao MKUU - kwa wale watakao nusurulika kifo hawata sahau operation ya KHERSON for the rest of their LIVES. Nyie subirini ndio Dunia itatambua kiundani umahili wa Putin na jeshi lake.
 
[emoji635] [emoji1109] Russia and Georgia have increased trade turnover by 50% in 9 months. Most of all, oil and petroleum products are exported from Russia to Georgia.

Earlier, the chairman of the ruling Georgian Dream party logically noted that in case of termination of trade relations with Russia, Georgia will face the collapse of the economy.

Meanwhile in Ukraine

[emoji1109] [emoji1255] The founder of the ruling party in Georgia was included in the new sanctions list of Ukraine.

Restrictions have been imposed against billionaire and Georgia's largest philanthropist Bidzina Ivanishvili, reports Georgia Media.

Sanctions have also been imposed against some members of his family.

[emoji188][emoji188][emoji188]

A new gift from Ukraine to its Georgian partners.
 
🇺🇦🇷🇺The Russian army is advancing in the Donbas, firing at the Armed Forces of Ukraine along the entire front line — the main thing from the summary of the General Staff of the Armed Forces of Ukraine:

▪️ Russian troops are advancing on the Artemovsk and Avdiivka directions.
▪️ The Armed Forces of the Russian Federation are concentrating their efforts on reaching the administrative borders of the Donetsk region and retaining the occupied territory.
▪️ The Russian army fires at the AFU along the entire front line, carries out engineering equipment of positions in certain directions and conducts aerial reconnaissance.
▪️ The Armed Forces of the Russian Federation have carried out at least 20 kamikaze UAV sorties to attack the infrastructure.
▪️ The Russian army carried out 3 missile and 20 air strikes, and also carried out 10 MLRS attacks on objects in areas of more than 20 localities.(And the original AFU reports with some fantasy added into them)
 
Back
Top Bottom