Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbe tatizo sio Ukraine kutaka kujiunga NATO tena, wa-Nazi au ushoga??!
Putin strategies zake ni kuharibu sarafu ya $dollar, uchumi wa Europe na USA, upande wa Ukraine kuvamia Kama special operation ilikuwa ndiyo njia raisi kuwavuta korodani hao wa European na America waingiye King, na kweli kwa kiasi kikubwa kafanikiwa sana. Sasa hivi pound, Euro currency zote za Europe zimeshuka thamani sana. Ndo maana maandamano kila Kona ya Europe. Na viongozi wengi watapigwa mweleka including Biden.
Huyu hapa chini kala mweleka dakika chache zilizopita, na wengine bado wanakuja.
 
Tunachojua ni kwamba kamanda Armageddon amelalamika Jana kwa super pawer wa mchongo ana Hali mbaya..,hayo mengine ni chai, [emoji2][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Na wataisoma number vizuri , we ngoja zile troops zilizokuwa mafunzoni Poland ,UK na US zije wiki chache zijazo waone shughuli ,na kuna mashine mpya zinakuja pia
 
Acheni Babu Putin achanganyikiwe[emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji298]️ Scholz: Germany to train 5,000 Ukrainian soldiers by spring.

The training will take place as part of the Military Assistance Mission in support of Ukraine, which aims to prepare about 15,000 Ukrainian soldiers, AP reports, citing German Chancellor Olaf Scholz.

"With this, we are underlining our readiness to participate in the long-term building of strong Ukrainian Armed Forces, hand in hand with our partners," said Scholz.
Mkuu.. hivi unajua Spring Ni wakati gani na ni muda gani kuanzia Sasa...?
 
[emoji635][emoji636] Dmity Medvedev congratulates the Daily Star's lettuce on outliving Liz Truss' tenure as PM.

[emoji288]

IMG_20221020_180851_624.jpg
 
Msivurugwe ndugu zanguni,
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
kuweni watulivu tafadhar, tutafika tu

"Urusi itashinda vita hii kwa Ukraine kuharibiwa kabisa na kubakia magofu TU,ikiwa hawata shituka kama wanatumika.
Kadri Ukraine wanavyozidi kua viburi ndivyo dozi itakavyoongezeka."

Natamani Zelensky ausome ujumbe huu na aufanyie kazi.
Lakini vipi akikubali kushindwa maana yake nini?
Je, Urusi ataichukua Ukrain yote au atajiongezea maeneo kutoka ardhi ya WaUkrain?
Kama Ukraine akikubali kushindwa Leo hii,maana yake vita itaishia hapohapo.
Urusi haitaendelea kusonga mbele kijeshi.
Wala haitayaachia maeneo iliyoyashilikilia,na ndio kushindwa kwenyewe kwa Ukraine huko.
Ukraine itabidi ikubali kutojiunga na NATO,ndio kushindwa kwenyewe huko.
Ifahamike kuwa silaha za Ukraine kabla ya OP hii kuanza zote zulishaliwa na Urusi,hizi walizonazo Sasa hivi ni kutoka Kwa NATO.
Ikumbukwe kwamba NATO nao wanapunguza silaha zao kwa kiasi kikubwa mno,nao wanaishiwa silaha.
Kwa maana hiyo NATO wako vitani na Urusi kwa kuwatumia wapiganaji kutoka Ukraine.
Kama Zelensky akishupaza shingo askari wake wengi wataendelea kufa na silaha za NATO zitaendelea kuliwa.
Mwisho wa siku hata NATO wakiamua kuingia vitani na Urusi hawatakua na nguvu kama Ile ambayo wangekua nayo kabla ya kuanza kuiunga mkono Kijeshi Ukraine.
Urusi wanapunguza akiba Yao ya silaha na NATO pia wanapunguza.
Tumeshuhudia Canada,Poland,USA,UK na wengine wakilalamika kua akiba zao zimepungua,zimebaki kwa ajili ya ulinzi wa taifa lao TU.
Kadri wanavyoongeza kuipa silaha Ukraine ndivyo Urusi anavyoongeza ukali wa mashambulizi,toka makambi ya kijeshi Sasa ni miundombinu inayoiwezsha majeshi kupigana.
Huu ni uharibifu utakao ilazimisha Ukraine na NATO kuweka silaha chini na wakubali kuja mezani.

Kuna watu wanasema,silaha anazipewa Ukraine ni mkopo atalipa,lakini Ukraine sio wa kulipa Leo wala kesho,itaichukua Ukraine miaka mingi sana kuanza kulipa madeni hayo.
 
Gaddafi aliuwawa na raia wake na wanajeshi wake mwenyewe walioasi baada ya kuuchoka utawala wake wa kidikteta wa miaka 40, NATO walichofanya ni kukata tu nguvu zake kwa kumzuia asitumie makombora na ndege kuwaua waandamanaji waliokuwa wanataka aondoke madarakani. Mengine yote kama haya unayoleta hapa ni poroja

Lakini hata kama zisingekuwa porojo au conspiracy, mimi siungi mkono, siikubali na wala SITAKI kabisa kuisikia United States of Africa. EAC tu yenyewe inatutoa jasho huku ikiwa imejaa madikteta waliodumu madarakani hadi miaka 40 kuwaza hiyo United States of Africa ni wendawazimu.
Yoda ,njoo utuambie sababu ya kutetea hawa NATO.


On this day 20th October in 2011, Libya's [emoji1149] then President Muammar Gaddafi was killed.

Leaked Hillary Clinton Emails Revealed NATO Killed Gaddafi to Stop the formation of a United States of Africa https://t.co/ehiISmzM2f
 
Ujumbe wa kipumbavu na wa hovyo kutoka ngariba
"Urusi itashinda vita hii kwa Ukraine kuharibiwa kabisa na kubakia magofu TU,ikiwa hawata shituka kama wanatumika.
Kadri Ukraine wanavyozidi kua viburi ndivyo dozi itakavyoongezeka."

Natamani Zelensky ausome ujumbe huu na aufanyie kazi.
Lakini vipi akikubali kushindwa maana yake nini?
Je, Urusi ataichukua Ukrain yote au atajiongezea maeneo kutoka ardhi ya WaUkrain?
 
Waziri Mkuu wa Uingereza, Liz Truss ametangaza kujiuzulu nafasi yake

Liz Truss alichukua madaraka kutoka kwa Boris Johnson tarehe 05/09/2022

Liz Truss amechukua hatua hiyo baada ya baadhi ya mawaziri na wabunge wa chama chake cha Conservative kusema kuwa hawaridhishwi na kazi yake na kumtaka ajiuzulu
Alietabiri kua Urusi ataziamgusha Serikali nyingi ulaya aliona mbali.
Kama sio Op hii BJ angeendelea kua PM UK
 
Halafu dakika mbili mbele wewe mwenyewe utaanza kuwatia wachangiaji wengine mashoga.
Proputin mko kama mateja wa gundi.
Huna hadhi ya kutamka neno uchumi wachilia mbali kuuchambua! Matusi na kejeli hazisaidii kufikisha hoja zako kama ni za hovyo. Sanasana inaonesha jinsi gani ulivyo mweupe. Zero. Zip. Nada!!! [emoji2388][emoji778]️

Kuflood market na cheap product ndio njia ya kumuoutcompete mshindani wako!? Bwahahahahaha[emoji16] that is a very sh!ty strategy.

Na kama umetumia china's manufacturing advancement as a case study hapo ndipo ulipopotea. China ameendelea kwenye manufacturing industry sio kwa sababu ya ku flood bidhaa za bei rahisi kwenye soko bali ni kwa sababu ya advantage ya cheap labor aliyokuwa nayo.

Hata hivyo, Huo mfano hauwezi kowork kwenye mafuta na gesi. 'Kuflood market' hakuwezi kuzisaidia nchi za africa kudominate na kuwa na influence kwenye soko la mafuta duniani. Here is why; (only if you can read and comprehend dum[emoji34]y)

1. 1St thing 1st. Maamuzi ya kupunguza supply ya mafuta ni maamuzi yaliyofanywa na Opec plus ambapo nchi za afrika zinazoongoza kwenye uzalishaji wa mafuta ni members. Lzm watekeleze walichokubaliana hawawezi kwenda kinyume. Wao wanajua kwa nini hasa 'kuflood' soko sio health move. Huwezi kuwa na akili kuliko wataalamu wote wa algeria, nigeria, gabon, angola, libya, sudan, s sudan etc combined.

2. Uwezo. Kwa pamoja nchi za afrika hazifikishi hata mapipa milioni 9 kwa siku. Hiki ni kiwango kidogo sana kwa nchi karibia 10 zinazozalisha mafuta kwa wingi afrika. There is no way nchi hizi zitaweza 'kuflood' soko la mafuta duniani. Hicho kiwango kinachozalishwa na hizo nchi za afrika hakitoshi kuflood soko la afrika let alone la dunia. Na sababu kwa nini afrika inazalisha kidogo ni uwekezaji mdogo kwenye uchimbaji. na uwekezaji pamoja na mengi unategemea hifadhi ya mafuta ardhini. Kwa pamoja afrika ina pipa bilioni 125 tu wakati nchi kama saudia ni karibia mara mbili ya kiwango hiko. There is no way on earth nigeria akaweza kupush production yake kutoka pipa milioni kwa siku mpk pipa milioni 10 kwa siku kama saudia. Sio km kuongeza sauti kwenye remote and mindyou nigeria ndio anaongoza kwa afrika.

3. Africa hawezi kuliteka soko la ulaya. Uliposema soko lipo ulaya nikacheka sana. Logistically its impossible africa kuovertake soko la ulaya. Currently nchi za afrika zinazalisha around pipa milioni 7 kwa siku lkn ulaya wananunua kutoka Algeria tu na haizidi 8% ya mahitaji yao. Urusi anauza around 30% ulaya na ni kwasababu ya matumizi ya pipeline. Matumizi ya pipeline ni muhimu kupunguza gharama na kisha bei. Ndio maana unaona hata EU mafuta ya urusi yaliyowekewa vikwazo sio yanayopita kwenye pipeline maana wanayahitaji sana.

4. Economics. Siku zote supply ikiongezeka bei inashuka. Smart move kwenye mafuta ni kupunguza production ili uongeze bei meaning faida zaidi huku kukiwa na slow exhaustion ya reserve. Ukiflood soko na bidhaa utashusha bei sana meaning hasara sana wakati hifadhi yako inaisha kwa kasi. Kbl hata hujapata hiyo influence unayoitaka hutakuwa na mafuta yaliyobaki ya kuuza. Furthermore nchi za afrika zinazozalisha mafuta zinategemea mafuta kwenye pato lao kwa kiasi kikubwa hazitaweza kusurvive bei ikiwa beyond low hata kwa muda mchache.

Endele kutukana...
 
Back
Top Bottom