Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,449
- 23,124
Ulitegemea Putin afanye nini Ninaweza in his situation?Si kwa gharama ya damu nyingi kiasi kile.
Ulitegemea Putin afanye nini Ninaweza in his situation?Si kwa gharama ya damu nyingi kiasi kile.
Do you really believe the New York Times mkuu.Waandishi wao wa habari wanafundishwa kudanganya as part of their duty,never believe them.Look at this 👇reality.Gazeti la Marekani la New York Times linadai, likirejelea vyanzo vya habari vya Magharibi na Israel, kwamba Urusi imehamisha sehemu kubwa ya kikosi chake cha Syria na mifumo ya makombora ya kupambana na ndege ya S-300 kutoka Syria hadi Ukraine.
Wanadiplomasia wawili wa nchi za Magharibi na afisa mmoja mkuu wa kijeshi wa Israel waliliambia gazeti hilo, kwa sharti la kutotajwa jina, kwamba Urusi imeondoa vikosi viwili kutoka Syria, ambao ni hadi wanajeshi 1,600.
Lakini jarida hilo linaona muhimu zaidi ni kwamba Urusi inasemekana kupeleka mifumo hiyo ya kutungua ndege Ukraine. "Hofu kwamba S-300 inaweza kutumika dhidi ya ndege za Israeli imekuwa sababu kuu kwa nini Israeli hadi sasa imekataa ombi la Ukraine la silaha," gazeti hilo liliandika.
Ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi kwamba Urusi inahamisha au inajiandaa kuhamisha sehemu ya kikosi chake cha Syria hadi Ukraine zilionekana mara kwa mara wakati wa vita, angalau mwezi Mei na Septemba.
waeleze wasomaji wako maana yakeWe ndiye uliyechanganyikiwa hujui maana ya super power
propaganda western media, it may be true or untrue, partial true or total wrong. dig out more.Gazeti la Marekani la New York Times linadai, likirejelea vyanzo vya habari vya Magharibi na Israel, kwamba Urusi imehamisha sehemu kubwa ya kikosi chake cha Syria na mifumo ya makombora ya kupambana na ndege ya S-300 kutoka Syria hadi Ukraine.
Wanadiplomasia wawili wa nchi za Magharibi na afisa mmoja mkuu wa kijeshi wa Israel waliliambia gazeti hilo, kwa sharti la kutotajwa jina, kwamba Urusi imeondoa vikosi viwili kutoka Syria, ambao ni hadi wanajeshi 1,600.
Lakini jarida hilo linaona muhimu zaidi ni kwamba Urusi inasemekana kupeleka mifumo hiyo ya kutungua ndege Ukraine. "Hofu kwamba S-300 inaweza kutumika dhidi ya ndege za Israeli imekuwa sababu kuu kwa nini Israeli hadi sasa imekataa ombi la Ukraine la silaha," gazeti hilo liliandika.
Ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi kwamba Urusi inahamisha au inajiandaa kuhamisha sehemu ya kikosi chake cha Syria hadi Ukraine zilionekana mara kwa mara wakati wa vita, angalau mwezi Mei na Septemba.
Angeipandikizia Watu waiongoze ukrein bila wa Ukraine kujuwaUlitegemea Putin afanye nini Ninaweza in his situation?
Hayo unayosema yangekuwa kweli mambo kama haya hapo chini usingeyasikia:Gazeti la Marekani la New York Times linadai, likirejelea vyanzo vya habari vya Magharibi na Israel, kwamba Urusi imehamisha sehemu kubwa ya kikosi chake cha Syria na mifumo ya makombora ya kupambana na ndege ya S-300 kutoka Syria hadi Ukraine.
Wanadiplomasia wawili wa nchi za Magharibi na afisa mmoja mkuu wa kijeshi wa Israel waliliambia gazeti hilo, kwa sharti la kutotajwa jina, kwamba Urusi imeondoa vikosi viwili kutoka Syria, ambao ni hadi wanajeshi 1,600.
Lakini jarida hilo linaona muhimu zaidi ni kwamba Urusi inasemekana kupeleka mifumo hiyo ya kutungua ndege Ukraine. "Hofu kwamba S-300 inaweza kutumika dhidi ya ndege za Israeli imekuwa sababu kuu kwa nini Israeli hadi sasa imekataa ombi la Ukraine la silaha," gazeti hilo liliandika.
Ripoti ambazo hazijathibitishwa rasmi kwamba Urusi inahamisha au inajiandaa kuhamisha sehemu ya kikosi chake cha Syria hadi Ukraine zilionekana mara kwa mara wakati wa vita, angalau mwezi Mei na Septemba.
US walivyokua muflis sasaNa sasa yupo anajipanga kuivamia Haiti wakaeneze demokrasia yao pendwa.
Kuna muda lazima utumie nguvu ndio mambo yako yaende sawaSioni u smartness wa mzee Putin. Kwa ujirani alionao na Ukraine Ange icontain bila kurusha risasi.
DuhKenge mweusi wewe, unatisha watu hii JF ya baba yako? Unalazimisha kila mtu aamini ule upuuzi wa Bucha, wewe hujui uongo na propaganda ni sehemu ya vita?
Mnakua na vichwa vikubwa na makalio makubwa tena wanaume, ndio maana mnaishia kwenye ushoga mbwa nyie...
Ana question uwezo wa akili yako maana hata kuandika kiswahili hujui. Kutengeneza insha hujui, unaandika kama bata anapita kwenye rangi iliyomwagika.
Kama unajifanya una matusi jibu hapa, tukuoneshe kwamba hata sisi tumevurugwa.
Basa, basi basi mkuu.Kenge mweusi wewe, unatisha watu hii JF ya baba yako? Unalazimisha kila mtu aamini ule upuuzi wa Bucha, wewe hujui uongo na propaganda ni sehemu ya vita?
Mnakua na vichwa vikubwa na makalio makubwa tena wanaume, ndio maana mnaishia kwenye ushoga mbwa nyie...
Ana question uwezo wa akili yako maana hata kuandika kiswahili hujui. Kutengeneza insha hujui, unaandika kama bata anapita kwenye rangi iliyomwagika.
Kama unajifanya una matusi jibu hapa, tukuoneshe kwamba hata sisi tumevurugwa.
Kuhusu Kherson ni kelele tu hakuna cha maana UKr wamekipata mpka sasa hv.US wako wanachochea wanasema hayo maeneo ambayo Russia amesema anaondoa watu wake Ni Kwamba eti anataka apige tactical nuclear kidoogo na hio wanasema wameitoa Kwny kauli ya Gen. Armageddon Kwamba anaweza akafanya 'difficult decisions' Kwny Jambo hilo linaloendelea.
Bado siamini Kama Russia atatumia nuclear,lkn natamani sana aitumie ili wajue yuko serious na anamaanisha.
Angepandikizaje watu Ukraine mkuu,remember that is a sovereign nation,sio rahisi kihivyo.Na pia unaona ange eliminate vipi hao watu in a smart way.Again remember Ukraine is an independent nation na CIA,MOSAD na MI6 nao wamo humo.Mimi naamini Putin alishafanya attempts zote hizo ulizo suggest,ila ameona kwamba the most feasible alternative is to get rid of the regime once and for all.Angeipandikizia Watu waiongoze ukrein bila wa Ukraine kujuwa
Au Ange eliminate wachache anaowaona ni tatizo in a smart way.
Kwa hiyo mkuu mtu ka-miss kwenye kutukana wewe unamkumbusha ili atukane vizuri sio!? Nlikuwa nakuona mtu mstaarabu kweli kati ya ProNato wote [emoji16]Hujaweka H kwenye Una. Tafsiri inakuwa nyingine.
Usimtishe mwenzako kwa kifupi unachokisema ni pumba izo war criminal unazoziongelea BUSH na Tony blair walifanywa nini? UN ipo kwa ajili ya nchi maskini kama zetu na siyo kwa Superpower izo ni ngonjera tu atakama itagundulika putin amehusika watamfanya nini kwa wewe unavyoona? yani PUTIN apelekwe jera[emoji23][emoji23][emoji23] amka kumekucha achana na izo ndoto.. Gueterez alipotembelea Kiev wata wakapiga kombora mita chache karibu na hotel aliyofikia na mpaka leo amna alichofanya.Wewe dogo kizazi cha BRN shule za kata failure pimbi wewe Una guts za kudoubt elimu yangu wewe low IQ scumbag ? Unaongelea suala la uchunguzi Kwani walipopata hayo maafa si WA Ukraine ? ,Unauliza funds ,Una akili wewe ? , Yaani nchi kama Ukraine haina funds na technical know how ya kufanya indebth forensic investigation ? Au unafikiri Ukraine ni kama failed states kama Tz sio ?
Na isitoshe International criminal court wameshatuma investigators wao na uchunguzi imefanyika kwenye hizo incidences zote imebsinika Russian thugs walifanya mass execution of unarmed civilians hapo Bucha na Lyman
Sikiliza we dogo, Mimi huwa sina muda WA kujadiliana na mataahira kama wewe kama huwezi kujibu hoja nakupa onyo , unapoona comments zangu kaa mbali ,usisogeze pua zako , umesikia ? .
Kama Una akili utapitia hapa, unafikiri tunaposema Putin ni war criminal mnadhani tunaoongea out of no where , mxieew
![]()
What is a war crime and could Putin be prosecuted over Ukraine?
The ICC wants President Vladimir Putin arrested for war crimes, but South Africa may not cooperate.www.bbc.com
![]()
War Crimes by Russia’s Forces in Ukraine - United States Department of State
Based on information currently available, the U.S. government assesses that members of Russia’s forces have committed war crimes in Ukraine. We will continue to share information with allies and partners, and pursue accountability.www.state.gov
Ukija kumuona huyo fashsti Putin akiwa kizimbani nafikiri hapo ndipo utazinduka na kuyakana haya mashudu uliyoandika [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2392681
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Putin strategies zake ni kuharibu sarafu ya $dollar, uchumi wa Europe na USA, upande wa Ukraine kuvamia Kama special operation ilikuwa ndiyo njia raisi kuwavuta korodani hao wa European na America waingiye King, na kweli kwa kiasi kikubwa kafanikiwa sana. Sasa hivi pound, Euro currency zote za Europe zimeshuka thamani sana. Ndo maana maandamano kila Kona ya Europe. Na viongozi wengi watapigwa mweleka including Biden.Sioni u smartness wa mzee Putin. Kwa ujirani alionao na Ukraine Ange icontain bila kurusha risasi.
Mm sio pro NATO ila sihafiki movement ya Putin kuivamia Ukraine, huwezi nikuta nikiishabikia NATO.Kwa hiyo mkuu mtu ka-miss kwenye kutukana wewe unamkumbusha ili atukane vizuri sio!? Nlikuwa nakuona mtu mstaarabu kweli kati ya ProNato wote [emoji16]