The realy Ngosha
JF-Expert Member
- Apr 22, 2013
- 340
- 530
Matamshi haya ya kamanda ni moja kati ya mbinu za kivita ili mtakayoyasikia na kuyaona yasiwashangaze watu. Wakati Urusi inaivamia Ukraine ilifahamu kabisa kuwa haitapigana na Ukraine peke yake; alikuwa na taarifa zote muhimu, hivyo alijiandaa. NATO mpaka kufikia sasa umeshindwa kumuondoa Urusi Cremia, Luhanski, na kwingineko sio tu kwa kupenda ila uwezo mdogo wa kufanya hivyo dhidi ya Putin.
Wanalia na Iran kutuma kamikaze na kuwaacha wanaotuma HIMARS, upuuzi mtupu. dunia imechanganyikiwa.
Wachache sana wenye kumwelewa Generali, Jamaa nacheza sana na psychology,