Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Unaokoteza taarifa
Tunapowaambia Hali ya Supapawa ni mbaya sio kwamba tunatunga ni wao wenyewe wanakiri kwamba wanatembezewa kichapo cha mbwa Koko mpaka wanakimbia kama panya Road
FfdHV1TXEAgA5pS(2).jpg
FfdHVeCWQAYazxy(2).jpg
 
US wako wanachochea wanasema hayo maeneo ambayo Russia amesema anaondoa watu wake Ni Kwamba eti anataka apige tactical nuclear kidoogo na hio wanasema wameitoa Kwny kauli ya Gen. Armageddon Kwamba anaweza akafanya 'difficult decisions' Kwny Jambo hilo linaloendelea.

Bado siamini Kama Russia atatumia nuclear,lkn natamani sana aitumie ili wajue yuko serious na anamaanisha.
ANAPIGA kadogo tu ka kishkaji
 
Hii ndo source yako?
Sasa kama unabisha mbishie na huyo mwanajeshi wa Urusi Aliyekua front lines anakwambia hali mbaya maana Ukraine imevunja madaraja yote ya kuingia na kutoka Kherson.

Meanwhile in Russia: anger and disappointment fill the studio, as the viewers are being prepared for the loss of Kherson and other territories. Host Olga Skabeeva bitterly questions why Russia was so wrong in the beginning, believing that Zelensky would run & NATO wouldn't help.

Yajayo yanafurahisha [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
 
We jamaa uko nyuma ya muda sana, nchi kama Urusi ikose madaraja ya muda??
 
Deputy Head of the Office of the President of Ukraine Tymoshenko: "Tomorrow will be a difficult day for the whole country.

There will be power outages everywhere, this applies to every region.

Tomorrow, all Ukrainians need to minimize the use of electricity from 7 am to 11 pm"
 
Back
Top Bottom