MR MAJANGA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2014
- 3,526
- 10,820
Ninachokiona itafikia kipindi raia wengi watakufa hapoHii ni kauli nzito Sana.
Ni kwamba NATO wameshadhamilia kuipigana hii Vita mpaka to their last blood.
Ishu inakuja hapa, ni kwa namna gani Russia wataimaliza hii Vita.