Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naunga mkono hoja MKUU
Ivi kwa clarification kama hii kutoka kwa humble Russian foreign minister LAVROVE kweli bado kuna mtu ataendelea kuilaumu Russia?

Kwa ustawi mpana wa mataifa Yao na watu wao, viongozi wamekaa mezani waka-draft mustakabali wa future yao wakaweka makubaliano na West wakatoa ahadi bila kushurutishwa kwamba hakuna hata sentimita moja itaongezeka kuelekea mashariki mwa German.

Kumbe mnawang’ong’a tu wenzenu wamewageuzia vichogo tu mkawazomea kwamba wajinga hawa tumefariji tu na watakoma. Dah., WESTERN,NATO,

Nilikua nawahurumia sana UKRAINIEN tena sana tu.

Sasa natamka rasmi ya kwamba “kama usalama wa Russia, au kama ili Russia iendelee kutamalaki duniani” itahitaji nchi nzima ya Ukraine kuangamizwa.

Bas nimetoa baraka Zangu kabisa NA IANGAMIZWE UKRAINE KWA USALAMA WA RUSSIA.

Tutakaotofautiana kimtizamo kwa hili nawasihi msipanic tafadhar, najua mtakuja mbio kuniuliza kwamba “unatamka rasmi wewe kama nani, au unatoa baraka kama nani “

Nimekua msomaji wa muda mrefu sana humu records zinajieleza. Nafaham namna ya uchangiaji wa baadhi ya wajumbe wa humu, MATUSI na KEJERI ni vitu vidogo sana kwangu wala havisumbui
Sasa natamka rasmi ya kwamba “kama usalama wa Russia, au kama ili Russia iendelee kutamalaki duniani” itahitaji nchi nzima ya Ukraine kuangamizwa.

Bas nimetoa baraka Zangu kabisa NA IANGAMIZWE UKRAINE KWA USALAMA WA RUSSIA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This afternoon there will be a meeting of the Russian Security Council with the participation of Putin. Medvedev will make a presentation. They will also discuss the migration situation in the country.
After the meeting of the Security Council, a meeting of the Federation Council will be held.

Some important decisions are expected to be announced today.
 
Putin na genge lake ni waseng£ , ni Sawa mmezipiga ngumi na mtu ,umebondwa unakimbilia kuchoma nyumba yake ,ndicho anachofanya hapo Ukraine kwenye battle field analiwa kiboga hasira zake anarudidha Kwa miundombinu huo sio uanaume hizo ni Tabia za kike
Kila nikitaka kuandika nafuta nyie pro nato mnashida pahala sio bure.
 
We ni fal@ yaani unataka muuaji ambaye hi Mrusi akubali kwamba mauaji yametokea ? , Una wazimu wewe , ni Nani anaweza kustage dead bodies of more than 200+ people on the ground ,just the same grave with all the telltale signs of torture and every evidence ?
Hata common sense Huna
Bichwa kubwa empty head
Vita unapiganiwa kwenye ardhi ya Ukraine ambayo imejaa watu (wanawake, vijana na watoto) wa Ukraine, majumba, viwanda, wanyama na miundombinu mbalimbali mali ya Ukraine. maSwali hapo ni

1. je, mabomu ya Ukraine and allies yanaporushwa huko Donensk kuwafurusha warusi huwa yanaua askari wa Urusi tu na kuwaacha wenyeji wakiwa salama usalimini?
2. Je, raia wa Ukraine wanapouawa na mabomu ya askari wao ni vibaya askari wa Urusi na wakazi wengine kuwazika ili kuepusha harufu na magonjwa ya mlipuko kutokea kutokana na mizoga?
3. Je, ni kwamna gani watu watakavyoweza kutambua ni mtu gani ameuawa na silaha ya adui au ya jeshi lao wenyewe kwenye uwanja wa vita?

4. Wale waliofukuliwa kule Butcha ni nani kawaua?
 
Mrusi anaua unarmed civilians kuwa educated , tunajua hiyo ndio Tabia yake ,kafanya hivyo bucha , kafanya Lyman ,ni Tabia za kigenocide always huwa zinatawala kwenye vichwa vya wendawazimu na matyrants kama Putin .
Sasa hivi waUkraine wakiona mass grave nyingine mjiandae na shughuli nzito toka Kwa Azov battalion , hao Prisoners of war toka Urusi watakuwa ni kutwangwa risasi za vichwa Tu . Unyama unyama Tu na dawa ya Moto ni Moto . Tena mshukulu Zelensky alipunguza munkari WA wale vijana hao mazezeta wanaotekwa wangesimulia vizuri .
Ukraine ikianza kuuwa mateka, haitakuwa na utofauti na Russia.
 
1666173748632.png

Some Western sources write about the unusual activity in October of heavy transport aircraft at the Iranian Yazd airport. So allegedly on one day only, on October 6, there were 9 Il-76 flights from there and, among other things. One of the large underground missile bases of the Aerospace Force of the Islamic Revolutionary Guard Corps is allegedly located in the Yazd area.
 
Uzuri mrusi anawafukia na ID pamoja na namba na anaweka record pia!Kama huna ID anakupachika namba!
Hakuna muda wa kuwazika mmoja mmoja kwani huko ni Frontline na mapambano yanaendelea!
Hilo sijakataa mkuu.., point yangu ni kwamba siku zote mnajifanya watakatifu sana kwamba mnatetea udhalim unaofanywa na NATO pamoja na west kwa ujumla..,tukijaribu kuwaambia nyie ndo mashetani wakubwa mnakuja juu..,Sasa kwa hizi coments zako unajidhihilisha mwenyewe kwamba wewe na pro Russia wenzio mnashabikia matendo ya kishetani, hivyo Wacha tu zelensiky awapelekee moto,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wale waliokua wanabisha kichapo anachopewa Mrusi huko Kherson video hii hapa msikilizeni kamanda wenu mpya mliompa sifa kedekede humu jukwaani[emoji23]

Kamanda anasingizia Raia wakati wanajeshi wake ndio wanaokula kichapo mpk wanarudishwa nyuma
Taratibu kamanda anaanza kuukubali mziki..aliingia kwa mbwembe zote,alidhani anaenda kupambana na wale wavaa vipedo kule Syria,[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]

LEO NALETA MADE IN RUSSIA aircraft. Nataka watu wajue Urusi siyo ka nchi kadogo. Hapa naleta Civil AirCraft.
Tupo pamoja?
Orodha ya kampuni zinazotengeneza ndege:-
1. Beriev
2. Ilyushin
3. Voronezh Aircraft Production Association
4. Irkut Corporation
5. Mikoyan
6. okol
7. Sukho
8. Tupolev
9. Yakovlev
10. Aviastar-SP
11. Kazan Aircraft Production Association

Sasa nitaanza kuwaonesha moja baada ya kampuni jingine products zao.
 
Zimefanya nn ukraine
 
Back
Top Bottom