Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kuvaa civilians clothes kunakufanya usiwe askari?Tumeona Hadi wanaume wakivaa kama wanawake Ili wakimbie vita,sembuse kuvaa kiraia?
Most of people kwenye hizo mass grave ni askari ila akipatikana hata mtoto mmoja basi kelele ni nyingi mno!Vita Haina macho so collateral damage is inevitable!
Wewe dogo ni mwendawazimu nimeshakwambia just stay off my comments ,usilete kimbelembele wakati Huna unalolijua , wewe Una akili kuliko forensic experts waliofanya maautopsy na kudiscover source ya vifo vya hao watu na identity zao ?
Fool
 
Acha ujinga jitu zima kama ww kuwa na mdomo mchafu wa kutoa matusi kila wakati ni dalili ya ugonjwa wa akili.

Watoto wako wana hasara ya kuwa na baba asiye jitambua.
Wewe si mke wangu ndio nimekuzalisha watoto watano ? , hao watoto Wana hasara gani ?
 
Wewe dogo ni mwendawazimu nimeshakwambia just stay off my comments ,usilete kimbelembele wakati Huna unalolijua , wewe Una akili kuliko forensic experts waliofanya maautopsy na kudiscover source ya vifo vya hao watu na identity zao ?
Fool
Mjinga sana wewe, forensic experts wa hao hao Ukraine na Allies wao?Are u insane?Russia mwenyewe amekataa hizo reports na kusema zimekuwa staged for a purpose!
Anyways Sina haja ya kuendelea,Kichwa chako Kiko brainwashed so it's off no use kuendelea kuargue!
 
Mkuu, embu achana kujibizana na huyo Bwana mdogo.

Kwani humuoni kama dishi limeyumba? Pia, unampa millage za bure kabisa.
 
Mjinga sana wewe, forensic experts wa hao hao Ukraine na Allies wao?Are u insane?Russia mwenyewe amekataa hizo reports na kusema zimekuwa staged for a purpose!
Anyways Sina haja ya kuendelea,Kichwa chako Kiko brainwashed so it's off no use kuendelea kuargue!
We ni fal@ yaani unataka muuaji ambaye hi Mrusi akubali kwamba mauaji yametokea ? , Una wazimu wewe , ni Nani anaweza kustage dead bodies of more than 200+ people on the ground ,just the same grave with all the telltale signs of torture and every evidence ?
Hata common sense Huna
Bichwa kubwa empty head
 
Leo ndio maana hamjasikia kitu vindege vyenu vimedunguliwa kama mmbu

CNN​

Ukraine's military says 13 "kamikaze" drones shot down in Mykolaiv region early Wednesday​

1666167669573.png

From CNN’s Josh Pennington
Ukraine’s military said it shot down 13 “kamikaze” drones over the southern Mykolaiv region overnight, according to a statement on Telegram Wednesday.
“During the night of October 18-19, the enemy attacked the Mykolaiv region twice with ‘Shahed-136’ kamikaze drones,” the Armed Forces statement read. “Eleven were shot down by the air defense of air command “South”, two more — by soldiers of the National Guard of Ukraine and the State Border Service of Ukraine.”
In an earlier post, the military said 12 drones in total had been taken out.
CNN cannot independently confirm the Ukrainian military’s claims.
Ukraine has been facing a wide assault on critical infrastructure and power sources this week involving drones and cruise missiles.
 
Ngoja Urusi afanye kama anaretreat kherson,mtakuta mmezikwa kaburi Moja watu 1000!
Halafu Mtaanza kulialia!
Huwa mnajitahidi kujifanya watu wema sana na kujivika ngozi ya kondoo huku mkilahani udhalim wa west.., lakini mkiziwa sana mnafichua rangi zenu halisi[emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uzuri mrusi anawafukia na ID pamoja na namba na anaweka record pia!Kama huna ID anakupachika namba!
Hakuna muda wa kuwazika mmoja mmoja kwani huko ni Frontline na mapambano yanaendelea!
 
Nchi za KiAfrica ni za kipumbav ,kuna nchi za west Africa na Northern Africa zenye resources za mafuta na gesi zingetake an advantage ya hii loophole ya hostility na confusion Kati ya wazalishaji na wanunuzi wakubwa WA mafuta na gesi katika global market Kwa kusupply demand iliyopo hapo Europe na kuexpand uzalishaji + exploration activities za mafuta na gesi ili kuboresha economic status zao ,sasa wao wamebung'aa Tu na kumshabikia Mrusi n mpuuzi gani sijui huku yakisubiri kupewa misaada kama ngedere wasio na upeo .
Hii Mimi naiona ni kama golden chance(once in a life time ) ambayo inaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye hizo nchi hasa zilizopo North na west Africa , cha muhimu wajue Kula na kipofu ( kutengeneza good foreign policy na hao wanunuzi ili kutengeneza strategic alliance ) pia kuja na ubunifu WA kupunguza production na logistics cost
Ni kwanini uongeze uzalishaji kufidia shortage kwenye supply wakati unaweza kupata the same amount even more kwa kuuza kidogo kwa bei juu!?

Hakuna upumbavu wala ujinga ni swala la capitalism. Profit first!
 
The head of the IAEA, Grossi admitted that he was struck by Vladimir Putin's detailed knowledge of the Zaporozhye nuclear power plant, its technical characteristics and understanding of what his organization offers to ensure safety.

"He's very confident in what he's doing," Grossi said in an interview with Telefe.
 
Back
Top Bottom