Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wala sijalaan, sio utani mkuu,punde atajikuta kizimbani huyo Putin mnayemuona kama mungu mtu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo Punde ni lini?Mwaka huu,mwakani,baada ya miaka 5,miongo miwili au lini hasa?
Maana kuna Pro NATO wenzako wanasema atauwawa ndani ya Miezi mitatu na akapata wachangiaji,nadhani na wewe ulikuwemo!Leo kauli imekuwa tofauti!
 
Mkuu jinsi Warusi wanavyozitumia sasa ni za kutisha watu raia hasa. Unaweza kuzitumia dhidi ya magari, malori, vifaru vyepesi, mizinga. Jinsi wanvyorusha kwenye miji sioni faida kubwa ya kijeshi...
Yaani waafrika tunapenda kujikweza "eti sioni faida" wewe kama nani? Ina maana wewe ni mjuzi kuliko wanaozitumia?
 
Bayraktar has more PR and corruption than combat use."

The head of the Association of Defense Enterprises of Ukraine, Serhiy Pashinsky
, said that in the first week of the special operation, the Russian military shot down “all Bayraktar” of the Armed Forces of Ukraine.

He told the pranksters Lexus and Vovan about this, who called on behalf of the former US Ambassador to Russia Michael McFaul.

“They are vulnerable against air defenses strongly. You must understand that we had a lot of Bayraktar, they beat them all in a week.
Ha ha ha....zilifyekwa zinakawa uji,
Hapo uturuki waliwaingiza Chakike ukraine
 
Mturuki cha mtoto [emoji1787][emoji1787][emoji1787]


[emoji845][emoji1130][emoji3575]Islamic Revolutionary Guard:"Over the past 7 days,22 countries have submitted requests for the purchase of Iranian drones."[emoji845]
Mi mwnyw nataka niagize yangu moja, mods wakizingua niwatumie[emoji38]
 
Urusi katembezewa kipigo kikali huko front line kaamua kumalizia hasira zake kwa raia .,Kwa Sasa anajivunia kuharibu miundombinu tu..,huko front line hasongi mbele hata hatua Moja, [emoji12]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna raia kwa Sasa Ukraine,
Raia wote washakimbia nchi tangu febr.
 
Madhara ya kulipia miundo mbinu ya umeme
1. Kudidimiza uchumi wa adui
2.Kupoteza focus ya adui
3. Kuvunja moyo walioko frontline
4.Kukwamisha mawasiliano ya kijeshi na kuitawala

4. Kuondoa umoja miongoni mwa adui
5 Kukatishwa tamaa NATO na washirika wake. Hawajui wafadhili vita ama miundombinu

5. Kukwamisha mobilization ya new recruits
6.Kutisha nchi jirani zinazotaka kusaidia Ukraine

6. Kujenga KUJIAMINI kwa vikosi vya Urusi na ari KWA mobilised soldiers

7 , Maeneo yaliyochukuliwa na Russia kujiona wamefanya chaguo sahihi

8. Kupata sapoti kutoka nchi za kiarabu kupitia kamikaze za Iran

9..Kuongeza hali ya I multipolarism.

Kifuatacho

Kama NATO wasipomshughulikia Iran basi mataifa mengine yatajitokeza Upande wa Russia kusaidia silaha

Kama USA ataanzisha chokochoko Iran basi mgogoro na vita vitatapakaa middle East.
na kuamsha ugaidi

Israeli iendelee busara ya kutojishirikisha vinginevyo NGOMA itasambaa na Israeli ataonja machungu ya direct war ambayo itamwathiri najua wengi mnaamini Israeli ni KILA kitu mtashangaa si kweli
Uchambuz mzur Sana,
Russia wameona mbali ktk hili[emoji4][emoji106]
 
Ndugu mimi sio mchangiaji wa humu ndani ila siku nitakuja na insha kuhusu huu mgogoro wa Rus-Ukra. Ila tuendelee kuiombea Russia inavita kubwa sana kwa wale ambao mpo upande wa US nafikiri hamjui mpango wa US kwenye hii dunia hana mema kabisa na ulimwengu.

Dunia ya sasa sio ya zamani tunahitaji balance of power na sio kupangiana au kuingiliana ndani ya mipaka yetu ya nchi.

Nafurahi sana kusoma uchambuzi wa Warussi weusi mko vizuri big up sana kweli mnajua geopolitics na uchumi.
Naam [emoji4][emoji106]
 
ESTONIA ,ESTONIA, ESTONIA! ...Nimekuita mara ngapi?
The Estonian parliament has just unanimously passed a resolution declaring the Russian regime a terrorist regime and Russia a state that supports terrorism. The votes were divided as 88:0.
Hawa hawana akili
Kuna sehem nimeona ripoti wanategemea kwakiasi kikubwa sana NGANO nk kutokea MOSCOW

Ila hawa wala hawanashida waachemwe naujinga wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
From Khokhols

[emoji298]️[emoji298]️There is a critical situation in the energy sector of Ukraine[emoji845]

"The situation is critical. Ukrainians are advised to prepare for blackouts of electricity, water and heat," - Deputy Head of the Presidential Office Kirill Tymoshenko.

“We have a critical situation across the country. One region depends on another. It is necessary to prepare throughout the country for the fact that there may be blackouts of both electricity and water supply and heat supply.”

[emoji188][emoji188]

Me naona warudi tena kuishambulia Crimean Bridge, au vipi [emoji23].
Bado wewe subiri hiyo adhabu tumewapa salamu tu habari yenyewe wataipata wakati wa baridi baada ya kumaliza kubomoa vyanzo vyote vya nishati
 
The United States does not oppose the supply of Russian fertilizers and grains to world markets and therefore does not extend its sanctions to this area - US State Department
[emoji38]
IMG_20220712_105714.jpg
 
Nchi za KiAfrica ni za kipumbav ,kuna nchi za west Africa na Northern Africa zenye resources za mafuta na gesi zingetake an advantage ya hii loophole ya hostility na confusion Kati ya wazalishaji na wanunuzi wakubwa WA mafuta na gesi katika global market Kwa kusupply demand iliyopo hapo Europe na kuexpand uzalishaji + exploration activities za mafuta na gesi ili kuboresha economic status zao ,sasa wao wamebung'aa Tu na kumshabikia Mrusi n mpuuzi gani sijui huku yakisubiri kupewa misaada kama ngedere wasio na upeo .
Hii Mimi naiona ni kama golden chance(once in a life time ) ambayo inaweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye hizo nchi hasa zilizopo North na west Africa , cha muhimu wajue Kula na kipofu ( kutengeneza good foreign policy na hao wanunuzi ili kutengeneza strategic alliance ) pia kuja na ubunifu WA kupunguza production na logistics cost
 
Hivi kwanini Wamagharibi wanahusishwa na ushoga?

Urusi au Mashariki hakuna ushoga?

Au ndio propaganda?
DUNIANI naamini hakuna sehemu ambayo hakuna ushoga ama mashoga

Ila kusimama kiongozi zaidi ya mmoja tena wajuu kabisa kuutetea USHOGA hili lazima lilete mtazamo tofauti

Tumeona viongozi kibao huko western wanasimama kuulinda na kuutetea USHOGA

Wengine wanafikia mbali kabisa kama pale WH wanachagua kabisa msemaji wa ikuli akiwa MSAGAJI tena wanaandika kabisa kwenye status zake kama nimtu anaejihusisha nahuo uchafu (maana yake wanajivunia)

sio UCHINA wala RUSSIA nimewahi ona hili kama lipo leta ushahidi

US na WESTERN walaaniwe na Mungu kwahuu uchafu wanaoueneza UMBWA wakubwa hawa[emoji35][emoji34][emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom