Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiki ndicho kisehemu kidogo kinachomtoa kamasi huyu aliyejiita super pawer..., tunaelekea mwezi wa 9 Sasa,bado urusi anahangaika na taifa hambalo hakifikii hata size ya mkoa
1665914668137.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Najua mlio wengi mtaumia lakini huo ndio ukweli mchungu.., siku za Putin kuendelea kukaa madarakani ni chache sana,kwa mtu mwenye akili finyu anaweza asilione hili .., lako huo ndio uhalisia..,punde atajikuta kizimbani huyo mnayemuona kama mungu,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni rahisi kumkamata Biden, lakini sio Putin mkuu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ninavyoifahamu FSB ya Russia nina hofu kuhusu usalama wa baadhi wenzetu humu
Mimi natoa maoni yangu bila hofu kuhusu haya mambo hata nikiwa kwenye kurasa zangu rasmi za Facebook zilizo verified...,hiki unachajaribu ni kutishia nyau...,watu walikosoa Mpaka yule dikiteta mwendakuzimu anayeitwa mwendazake sembuse hii ya Russia na Ukraine [emoji848]

Tena ningekuwa nawakosoa marekani naweza nikawa na hofu kidogo maana wale Wana Hela chafu za kumwaga..., Russia Kwa Sasa anapambana na Hali yake alafu anifikirie Mimi mtu wa huku namtumbo [emoji16][emoji16]

Wewe jamaa acha masihara bwana

Tena ngoja niwekee na hii picha ya nguchiro Ili hao FSB wanishuhulikie vizuri [emoji41][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom