Ninavyoifahamu FSB ya Russia nina hofu kuhusu usalama wa baadhi wenzetu humu
Mi nasubiria tu .... Hawa watoto ukiwaletea facts , kelele ...wanabaki Tazamaaaaa hiii ..... Ukimpa historia hataki .... Watasikilizia wenyewe sindano kikubwa wasitikise Tako isije kuvunjikia.... Wengine weshaanza KUJUA UKWELI ila zipo zile ID CHANGERS.... Wana vichwa vigumu au basi tu wameamua kushupaza shingo.... Hali ilivyo field ni mbaya sana ... Wameanza tena msaaada wa drones kutoka Iran ..unajiuliza hivi huyu ANAWEZAJE hata kuwa na akili ya kuoga kama haoni huu uchafuzi wa NATO na America!?Western Ni washenzy Sana,
Wanataka kuhalalisha Mambo ya kutinduana vinyesi hadharani[emoji34]
Hali gani anayopambana nayo?!Acha mikwara Mzee...huyo dikteta kwa Sasa anapambana na hali yake.
MK254 dudus Jackal T14 Armata
Yoda
Unampa nchi Comedian .... Hawana kabisa mzizi wa uongozi.... Kama umcukue Joti au Kingwendu umpe nchi Leo ... Anajua mifumo Gani ya SERIKALI (Siwadharau). Tumeona Magufuli alikuwa anawatoanwatu watokako huko anawapa U-DED mtu hajui hata file movement (kitu Minor) nakimewashinda wengi...ndio iwe miradi na Siri za SERIKALI!!?? Ajabu sanaUkraine Wana raisi mpumbavu kuliko
Na Israel anawafinya mbupu magaidi pale Gaza
Si wawapokeee ....!!? Wamekaaa vikao vingapi tangu waombe!?? Amfikiriii tu !??Mkuu sina kazi na falsafa yako ya usalama. Point yangu ilikuwa: Finalnd na Sweden walitishiwa miaka yote kuzojiunga na NATO hivyo hawakujaribu. Baada ya kuona matendo ya Urusi pamoja na nguvu halisi ya jeshi lake, hawakuogopa tena kufanya hatua ya kuomba wapokelewe.
Hii ndoto mbaya Urusi kuua Waukraine wote ni ndoto mbaya tu; Hii Putin hana uwezo sijui kwa nini unaleta lugha ya aina hii?? (maana, jinsi ulivyosema, huyu si kichaa hivyo hatatumia silaha hizo za nyuklia...)
Kamikaze zinatoshaMbona hatusikii habar ya father of all bombs
(FOAB) maana huu mdude miaka ya 2007 mruss aliutangaza sana .Russia aliuunda ili kushindana na mother of all bombs MOAB ya US ,US walitilia shaka sana uwezo wa hilo bom.Wakaenda mbali wakasema ni propaganda.Sasa tunataka mrusi alitumie maana akiachia matatu tuu hapo kherson leo asubuh wanakunywa vodka.Maana hili bom ni non-nyuklia .Hivyo hakuna atakayemlaumu.Au tuanze kuamini Russia ni wazee wa magumashi.
@Pietro[emoji23][emoji23][emoji23]
The Israeli Foreign Ministry denied the statement of the Minister of Diaspora Affairs about sending weapons to Ukraine.
The ministry said that the words of the Minister for Diaspora Affairs are his personal opinion and do not reflect the official position of Israel.
[emoji188][emoji188][emoji188]
Wale wa kiboko ya Drones za Iran sijuwi wana lingine lipi la kusema [emoji41]
Daah!! Hawa watu si waache tu kupigana??Kila kitu kinachoihusu urusi ni propaganda.View attachment 2361927
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Vikwazo vikali na kurudishwa nyuma kwa jeshi lake hapo Ukraine.Hali gani anayopambana nayo?!
Mkuu unaleta pendekezo zuri, ila robo tatu ya nyumba zimesharudishwa kwenye umeme. Labda tupeleke mafundi wa Tanesco huko wapate mazoezi kidogo?Ma ni na zenu si mmewapa misaada ya silaha sasa Putin kawaweka gizani pelekeni na misaada ya mishumaa
Hasimu wake Iran akae kwa kutulia,sidhani kama alijua ana vitu kama hivyo,,,,,,na ni ujumbe tosha kwake ajitathimini upya kijeshi.Biashara imejipa
Over the past 7 days, 22 countries have submitted requests for the purchase of Iranian drones.
This was announced by the senior adviser to the Supreme Commander of the Iranian Armed Forces.
O-5Mlioko Frontline, leteni updates...[emoji4]