Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

ISRAEL YAKATAA KUIPA SILAHA UKRAINE.

Waziri mkuu wa zamani wa Israel Benjamin Netanyahu - בנימין נתניהו na waziri wa Ulinzi wa Israel Ganzy wamekataa kwa pamoja kuisaidia Ukraine silaha za kivita ili iweze kupambana na russia. Viongozi hao wamesema kwamba, israel haitaki kuingia kwenye huu mgogoro na nchi za ULAYA na. NATO zinatosha kuipa silaha Ukraine.

Kumbuka kuwa #Netanyahu ni rafiki mkubwa wa russia na kuna mvumo wa #BenjaminNetanyahu anaweza akarudi madarakani kwenye kugombea kiti cha Uwaziri mkuu.

Hata hivyo pia WAZIRI WA ULINZI WA ISRAEL AMEKATAA KUIPOKEA SIMU YA WAZIRI WA ULINZI WA UKRAINE
1666163204075.jpg
 
Sasa si tulishakubaliana kwamba western media ni za propaganda ,inakuwaje unatuletea propaganda toka French media source ? ,kila siku mnasema western media houses BBC ,DW,French news nk ni propaganda tools za Marekani , Ila warusi wa kibaigwa mmelogwa sijui na Nani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umepewa Kichwa Ili ukitumie vema,jifunze kuchuja habari!
Kwani hiyo warning ni habari au ni maoni ya mtu?
 
Ngoja Urusi afanye kama anaretreat kherson,mtakuta mmezikwa kaburi Moja watu 1000!
Halafu Mtaanza kulialia!
Mrusi anaua unarmed civilians kuwa educated , tunajua hiyo ndio Tabia yake ,kafanya hivyo bucha , kafanya Lyman ,ni Tabia za kigenocide always huwa zinatawala kwenye vichwa vya wendawazimu na matyrants kama Putin .
Sasa hivi waUkraine wakiona mass grave nyingine mjiandae na shughuli nzito toka Kwa Azov battalion , hao Prisoners of war toka Urusi watakuwa ni kutwangwa risasi za vichwa Tu . Unyama unyama Tu na dawa ya Moto ni Moto . Tena mshukulu Zelensky alipunguza munkari WA wale vijana hao mazezeta wanaotekwa wangesimulia vizuri .
 
Umepewa Kichwa Ili ukitumie vema,jifunze kuchuja habari!
Kwani hiyo warning ni habari au ni maoni ya mtu?
Wewe hicho kichwa chako kimebeba matope na funza, wewe na wajinga wenzio si ndio huwa mnasema hapa western media ni propaganda sasa unamletea Nani propaganda
 
We jamaa una shida gani kichwani?ustaarabu kitu Cha bure,kama huenei jukwaa hili nenda huko Facebook mkapambane na watoto wenzenu wasio na staha!
Dogo Facebook nenda wewe , wewe umejoin jf juzi unaandika utumbo gani hapa ? ,so shove that foolishness of yours in your ass and fvck off
 
Warusi WA mchambawima na masanzakona mpo ?[emoji1787][emoji1664][emoji1664][emoji1787] Kifiro kinaendelea huko Kherson na Donbas wanaume WA Ukraine wanabadilisha ndomu Tu
Nyie machoko kabadilisheni diapers uko.
 
We jamaa una shida gani kichwani?ustaarabu kitu Cha bure,kama huenei jukwaa hili nenda huko Facebook mkapambane na watoto wenzenu wasio na staha!
Sikiliza dogo ,usilete kimbelembele , just put your ass down and shut your mouth , okay ,? Unaandika pumba
 
Mrusi anaua unarmed civilians kuwa educated , tunajua hiyo dio Tabia yake ,kafanya hivyo bucha , kafanya Lyman ,ni Tabia za kigenocide always huwa zinatawala kwenye vichwa vya wendawazimu na matyrants kama Putin .
Sasa hivi waUkraine wakiona mass grave nyingine mjiandae na shughuli nzito toka Kwa Azov battalion , hao Prisoners of war toka Urusi watakuwa ni kutwangwa risasi za vichwa Tu . Unyama unyama Tu na dawa ya Moto ni Moto . Tena mshukulu Zelensky alipunguza munkari WA wale vijana hao mazezeta wanaotekwa wangesimulia vizuri .
Tatizo wajeda wakitandikwa,mnasingizia ni civilians!Tulikubaliana wanaume wote Ukraine washike silaha na kupambana,Sasa mnawaitaje Civilians?Mnastage Hadi civilians kuumizwa Ili mpate sympathy,kumbe wajeda wengi wanateketea!
Ukraine na yeye Kwa Sasa anarushavtu makombora hovyo huko Kherson na kuua raia,ni kama kashaona watu wa kherson sio waukraine Tena Bali warusi ndio maana Russia anawaondoa wote Ili amwage kiberiti!
 
Dogo Facebook nenda wewe , wewe umejoin jf juzi unaandika utumbo gani hapa ? ,so shove that foolishness of yours in your ass and fvck off
ID Yako Naona ni ya mwaka huu!Niko JF kitambo sana na sikuwa member,niliamua kuwa member 2014!Niko humu muda mrefu kiasi kwamba nimekomaa na watu kama wewe ni WA kupuuza tu!
Tumeshaona wengi kama wewe,miaka 8 nyuma ningekuwa nimeshakuvalia njuga na kukurudishia matusi ila nineshavuko huko!So unapopitia nilishapita kitambo sana,ukikua utajion a mjinga Kwa uyafanyayo!
Wewe tukana ujuavyo lakini huwezi kuniharibia siku!Yaani niharibiwe siku na mtu nisiyemjua,Tena huenda akawa mwendawazimu au mvuta bange,hell no!
Siku njema kwako!
 
Tatizo wajeda wakitandikwa,mnasingizia ni civilians!Tulikubaliana wanaume wote Ukraine washike silaha na kupambana,Sasa mnawaitaje Civilians?Mnastage Hadi civilians kuumizwa Ili mpate sympathy,kumbe wajeda wengi wanateketea!
Ukraine na yeye Kwa Sasa anarushavtu makombora hovyo huko Kherson na kuua raia,ni kama kashaona watu wa kherson sio waukraine Tena Bali warusi ndio maana Russia anawaondoa wote Ili amwage kiberiti!
We dogo Huna unalojua just keep quite hizo mass graves Kule Lyman na bucha ni za wanajeshi WA Ukraine ?
Watu wameuawa Kwa kufungwa duct tapes kwenye macho , midomo na mikono ,wamevaa civilian clothes na wengi walitambuliwa kuwa ni wakazi WA hayo maeneo kuna miili ya watoto wadogo na toys zao ,wanawake na wazee , wewe unakuja na ujinga wako unaandika wanajeshi ,
Unajua unachoandika wewe ?
 
Back
Top Bottom