Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,662
- 27,112
Hao NATO wendawazimu kweli!NATO wanasema wao wanathamini maisha,lakini Putin hathamini Maisha nikawadharau
Hao NATO wendawazimu kweli!NATO wanasema wao wanathamini maisha,lakini Putin hathamini Maisha nikawadharau
We jamaa kingan'ganizi kweli..,bado hujaamini kwamba urusi anatembezewa mkong'oto hatari Huko kheson..,na uzuri ni kwamba mara hii hata ikiamua kuzika hata watu laki tatu kwenye kaburi Moja poa tu , maana atakuwa amezika watu wake mwenyewe hambao kwa mujibu wa urusi hao watu walifanya referendum Ili wawe sehemu ya Russia [emoji2957][emoji2957][emoji2957]Muda ni mwalimu mzuri,mkipewa habari ya kujifariji basi mnatambaa nayo hata Miezi 6!Kwasasa mnafagiwa kama nzi huko kherson na ndiko mlikojaa!
Mtapigwa katafunua,hamtaamini!
Kuna habari DW kaangalie wanachokisemaHao NATO wendawazimu kweli!
Kamanda wenu mliyemsifia kama katili kaukubali mziki wa Ukraine..,wewe mrusi wa namtumbo bado unakaza unakaza msuli.Muda ni mwalimu mzuri,mkipewa habari ya kujifariji basi mnatambaa nayo hata Miezi 6!Kwasasa mnafagiwa kama nzi huko kherson na ndiko mlikojaa!
Mtapigwa katafunua,hamtaamini!
Acha kukariri maisha we dogo watu tupo humu tokea 2008 huko wakati unanuka maziwa , usione ID mpya ukadhani unajadiliana na mtoto mwenzako , show respectYani we umejiunga JF 2022 alaf unamwambia alie jiunga JF 2014 kuwa yeye ndo kajiunga juzi?
Naunga mkono hoja MKUUSasa natamka rasmi ya kwamba “kama usalama wa Russia, au kama ili Russia iendelee kutamalaki duniani” itahitaji nchi nzima ya Ukraine kuangamizwa.
Bas nimetoa baraka Zangu kabisa NA IANGAMIZWE UKRAINE KWA USALAMA WA RUSSIA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee Acha ubishi WA kindezi unaelewa Maana ya forensic investigation ? , unafikiri hao watu wanafanya kazi Kwa mazoea au kupiga ramli ?,unafikiri war criminality incidences huwa zinakuwa detected vipi ?, maiti 200+ in a single mass grave na watu wote ni civilians with bullets wounds na signs za torture ,watu wamefungwa tapes na kamba mikono na miguu na kuzikwa ,nyuso nyingine zimetobolewa macho , wengine wameminywa sehemu za Siri , watoto wadogo kabisa na wazee wengi Wana majeraha ya risasi nyuma ya vichwa , hizo si clear evidences kabisa za deliberately and planned execution ? ,ni bomb gani Hilo toka jeshi la Ukraine linalofunga raia miguu na mikono na kuwapa majeraha za risasi na majeraha ya mateso miilini ? we sijui unaongea utumbo gani hapa ,zile ni lab test ,autopsy na kila kitu kinachunguzwa , we unadhani mtu akiuawa na kuzikwa ndio haiwezi kujulikana nini sababu ya kifo chake .Vita unapiganiwa kwenye ardhi ya Ukraine ambayo imejaa watu, majumba, viwanda, wanyama na miundombinu mbalimbali mali ya Ukraine. maSwali hapo ni
1. je, mabomu ya Ukraine and allies yanaporushwa huko Donensk kuwafurusha warusi huwa yanaua askari wa Urusi tu na kuwaacha wenyeji wakiwa salama usalimini?
2. Je, raia wa Ukraine wanapouawa na mabomu ya askari wao ni vibaya askari wa Urusi na wakazi wengine kuwazika ili kuepusha harufu na magonjwa ya mlipuko kutokea kutokana na mizoga?
3. Je, ni kwamna gani watu watakavyoweza kutambua ni mtu gani ameuawa na silaha ya adui au ya jeshi lao wenyewe kwenye uwanja wa vita?
4. Wale waliofukuliwa kule Butcha ni nani kawaua?
Hawataki video wanasema editing [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale waliokua wanabisha kichapo anachopewa Mrusi huko Kherson video hii hapa msikilizeni kamanda wenu mpya mliompa sifa kedekede humu jukwaani[emoji23]
Kamanda anasingizia Raia wakati wanajeshi wake ndio wanaokula kichapo mpk wanarudishwa nyuma
Hujaelewa hoja unakimbilia kujibu utumbo Tu ,unajua hata market dynamics zinavyofanya kazi ? kama price IPO juu na production cost ni constant na IPO Chini wakati demand imerise why production usiiongeze na kuwa kubwa ,hizo nchi za North and West Africa contribution take kwenye world oil and gas exportation bado ni ndogo kulinganisha na hizo nchi za Saudia na Arabian gulfNi kwanini uongeze uzalishaji kufidia shortage kwenye supply wakati unaweza kupata the same amount even more kwa kuuza kidogo kwa bei juu!?
Hakuna upumbavu wala ujinga ni swala la capitalism. Profit first!
Hawa ngiri ni kuwagonga nyundo nzito Tu ,si wanajitoa ufahamu ? Na kuanzisha insults , sasa insults hapa ndio penyewe kenge yeyote ajichanganye atahama hili jukwaaUmewakamata wavaa kobas pabaya hahaahhaa
Maisha yawanani wanathamini? Libya? afriganstan? Iraq au VenezuelaNATO wanasema wao wanathamini maisha,lakini Putin hathamini Maisha nikawadharau