Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

MADE IN RUSSIA

Ilyushin Il-96-300
1666184189645.png
 
Putin akisema anatenda Kweli kabisa, maana tunaona wazi anavyowashughulikia vyema wale wanaoingilia vita yake huko Ukraine [emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
We jamaa kingan'ganizi kweli..,bado hujaamini kwamba urusi anatembezewa mkong'oto hatari Huko kheson..,na uzuri ni kwamba mara hii hata ikiamua kuzika hata watu laki tatu kwenye kaburi Moja poa tu , maana atakuwa amezika watu wake mwenyewe hambao kwa mujibu wa urusi hao watu walifanya referendum Ili wawe sehemu ya Russia [emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ameamua kuwaondoa eneo Hilo,watakaozikwa ni wanamgambo wa Ukraine!Ila this time hamtawafukua Maana hamtapata fursa hiyo!
 
Kamanda wenu mliyemsifia kama katili kaukubali mziki wa Ukraine..,wewe mrusi wa namtumbo bado unakaza unakaza msuli.
Tuliwaambia wazi kwamba hayo mashambulizi ya drones huko Kyiv ni Kwa ajili ya kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa super pawer wa mchongo huko front line [emoji2][emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Rudieni kushambulia Tena miundombinu ya Russia,mtapimiwa Mara 1000 zaidi!
 
Alipiga kazi Syria ila operation hii ina makamanda wengine kadhaa waliotoka Syria. Huyu ametoka aerospace forces kwa sare zake. Kwa kuwa kuna criticism basi nina imani wameleta mtu asiye wa mchezo, the best of the best kurekebisha makosa
Huyu namjua style yake ni kushambulia vyanzo vya nishati kwanza

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
Rudieni kushambulia Tena miundombinu ya Russia,mtapimiwa Mara 1000 zaidi!
Ngoja urusi aonje Radha ya marekebisho..,Lile daraja litachukua mwaka mmoja Ili liweze kutumika kikamilifu kama ilivyokuwa awali[emoji2957][emoji2957]

Warusi wa buza walijaribu kujipa moyo kwamba daraja lilikamilika ndani ya saa 24 [emoji2957]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Rudieni kushambulia Tena miundombinu ya Russia,mtapimiwa Mara 1000 zaidi!

Hii vita inaenda ukingoni, EU na USA wataimaliza mezani maana kadri siku zinavyoenda, disunity inaongezeka. Ona yanayotokea Italy [emoji634] , Germany [emoji629] na France [emoji632] .

USA [emoji631] anakaribia kuingia kwenye recession ( source: bloomberg).

Nchi zinachagua upande sasa, nchi nyingi zenye resources zinataka kuingia BRICS ili kuimarisha shilingi (currency) yao kupitia Global currency system inayotaka kuanzishwa.
 
Huh mara oooh USAID wanawejengea vyoo, mara oooh mnapewa msaada wa Net na 'ndom'. Haya sasa [emoji90]

IMG_20221019_163218_283.jpg


The fight between Russia and Collective West it's a fighting between 'Good' and 'Evils'... Kila mmoja kwa nafsi yake anajua aliko egemea.

Team Pro Russia... Popote mlipo... Stay safe buddies [emoji2772].
 
Back
Top Bottom