Mzee Acha ubishi WA kindezi unaelewa Maana ya forensic investigation ? , unafikiri hao watu wanafanya kazi Kwa mazoea au kupiga ramli ?,unafikiri war criminality incidences huwa zinakuwa detected vipi ?, maiti 200+ in a single mass grave na watu wote ni civilians with bullets wounds na signs za torture ,watu wamefungwa tapes na kamba mikono na miguu na kuzikwa ,nyuso nyingine zimetobolewa macho , wengine wameminywa sehemu za Siri , watoto wadogo kabisa na wazee wengi Wana majeraha ya risasi nyuma ya vichwa , hizo si clear evidences kabisa za deliberately and planned execution ? ,ni bomb gani Hilo toka jeshi la Ukraine linalofunga raia miguu na mikono na kuwapa majeraha za risasi na majeraha ya mateso miilini ? we sijui unaongea utumbo gani hapa ,zile ni lab test ,autopsy na kila kitu kinachunguzwa , we unadhani mtu akiuawa na kuzikwa ndio haiwezi kujulikana nini sababu ya kifo chake .
Arguments zako zote ni weak ,Putin na genge lake ni war criminals and they will soon pay up the price